Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

Wacheni kulalama
Zama za kufikia kwa ndugu zimepitwa na wakati otherwise uwe ni mtegemezi
Unajua unasafari jipange kipesa, naulu chakula na malazi
 
Wacheni kulalama
Zama za kufikia kwa ndugu zimepitwa na wakati otherwise uwe ni mtegemezi
Unajua unasafari jipange kipesa, naulu chakula
Bro hizo ni inshu ndogo sn..kwa watu wenye kazi..
Nakupa kisa ya kwa nini nimeleta huu hii thread maana kuna tukio limetokea kwa jamaa yetu na kuna group letu marafiki tuliokuwa karibu huko vyuoni na kwenye yale mambo yetu..

Kimsingi tunapigana sana kampani kuanzia kwenye majanga mpaka kuchangiana harusi n.k

Sasa kuna mwamba mmoja wa hapo mjini kwenye mambo yetu alipigwa na presha ghafla kukimbizwa hsptl..watu wanatafuta watu wanaokaa nae au anapoishi jamaa marafik wote hakuna anaepajua na mara kibao watu kwenye mishe wanakutana nae kwenye kupiga gambe na inshu zingine..
Sasa akawa ni kusubir tu simu itakayopigwa ndio watu watoe taarifa kwamba huyu mtu yuko hsptl,simu yake ina pasword

Ndio watu kwenye group kuanza kuelezea visa km hivyo nao walivyokutana navyo kwa washkaji kibao wa huko..
Maana jamaa alimpeleka hsptl alipata shida sana na aliomba sana jamaa asije kata moto..

Hakuna mtu asie jua mazingira ya hapo Mjini,usipoenda kikazi ,utaenda kibiashara mji unapokea watu kibao,the ishu ni kwamba sehemu yenye mwenyeji rafik ni nzur sn coz kuna zile ABCD mnapeana hata unataka kuwekeza huko...km unavyokuwaga mnajadili kwenye group lenu mambo kibao ya uwekezaji kwenye maeneo husika na changamoto zake..

Lkn ishu ya na maelezo ya wachangiaji ikaja onekana washkaji wa DSM maneno mengi sana kwenye mambo ya biashara ila watu wanapotaka kujua makazi yao hutokea mazingaombwe kibao

Na sababu kubwa pia wengi wenu hujiweka kwenye high profile ya maisha..

Huwezi mtu wa dizaini ukamuamini kibwege.
 
Siku naenda New York kwa mara ya kwanza rafiki yangu alinitelekeza Queens bridge
Kwa sababu we mjinga mjinga. Kwa sisi tulioishi NY, ungeenda ubalozi mdogo wa NY ukaongea na Balozi Kenedi akupe zile floor za juu hazitumiki uwe unaishi humo wakati unajipanga. Tena ungekua unakaa Downtown NY.

Otherwise ungetafuta Mbangladesh mmoja akupe mchongo uwe Cab Driver.
 
Nilisolve hiyo ishu kibave ila jasho lilinitoka,unakuwaje Cab drivee kwenye jiji lile barabara zina lane 8 na ni mgeni haiwezekani
 
Wako hivyo wapuuzi sana. Ukimwambia niko hotel fulani njoo. Faster huyo anakuja
 
πŸ˜„πŸ˜„ Tatizo mkija mkoani hamsemi mnakaa kwny chumba kimoja na sebule πŸ˜„πŸ˜„
 
Mtu wa Dar:dogo ukija dar uje na zawadi.

Dogo wa mkoani:Bro we ukiwa unatoka dar umeshawahi kuleta hata zawadi ya Nazi huku mkoani!
 
Machalii zangu walioenda dar wameharibika sana wakipata smartphone , earphone, viatu pea mbili, suruali fupi zile wanavaa bila soksi, shati 3 na kuvaa miwan nyeusi wanakuja kunivimbia.

Kuna mmoja alirud nikampeleka sehem tukachoma nyama kilo na ugali mbili kwenye stori zake akaanza kukosoa eti dar wanajua kuchoma nyama kuliko huku, eti mara nyingi wachoma nyama wanamjua wakimuona tu huwa hatoi order wanamletea kama kawaida yake.

Alivyomaliza kula nikajisachi nikamwambia aise nimesahau hela hebu lipia alafu nakurudishia maana Nina card tu mfukon, jamaa akaanza kutoka jasho tu.
 
Jamaa umeamua kutuchana live bila chenga🀣🀣
 
πŸ˜„πŸ˜„ Watu wa Dar kila mtu hua anasema yuko bize na michongo mingi, unaweza kudhani kila mtu huku Ni bakhresa/Mo huku Ila njoo ujionee maisha Yao Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…