Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

Ila
Ila km kweli we ulikuwa mtoaji basi hao marafiki walikufanyia vibaya..
Ila wengi wenu wa huko mnapenda sana OFFER..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eve wee Una nn? Nimecheka had machozi.
 
Ila

Ila km kweli we ulikuwa mtoaji basi hao marafiki walikufanyia vibaya..
Ila wengi wenu wa huko mnapenda sana OFFER..
Khaaaa watu wa mikoa hapana kwakweli, tutakua tunawapandisha treni la mwakyembe wakahangaike wenyewe
 
Yani sirudii asee hiyo sio tabia nzuri, nimeacha kazi zangu mambo yangu nampeleka mtu yeye anashindwa kuonesha walau anathamini....ila we nitakupeleka😁

Bado amekubebesha mizigo na mafurushi ya vitu vyake. Ooh! Ahsante Rafiki, acha nimpange Demi utupeleke chimbo, tutakutoa hata ukwaju wa jero. Haurudi midomo Mikavu
 
Tumekosa sisi tusamehewe tusamehewe
Ila na nyie wenzangu acheni majisifu ona sasa tunadharaulika na wa kupuliza
 
Nimechomoka asubuhi sana nipo Ikwiriri naelekea Masasi...hatari sana hatari kubakuba
 
Hao wa kukaa ni ma jobless mzee au wanafunzi..tunaongelea tayar kwa watu wanajiweza.ambaye km una inshu mkoani mwake anakukampani kwa ile tym ambayo mtakuwa wote free na inshu zingine..
Kama unajiweza kakae hotelini
 
Mnaongeaga hivi baada ya kupata,lakini ukute mpaka kufikia hapo kuna watu wamekusaidi pakubwa,na usizani labda umemaliza mwendo bado sana ndugu yangu,labda wewe au wanao nao watakuja itaji tena msaada
 
Machoyo sana mamtu ya huko,huwa siyatafuti nikienda huko.
We ndo kama mimi,,, cha msingi nna pesa ya kuniweka sehemu ya nini kwenda kujibanza kwa mtu ingawa wakijua ulikuwepo mjini na hujahangaika kuwatafuta wanakuja na lawama lukuki wakati ungewatafuta ungepigwa chenga
 
Uliwahi kimsikia Trump alituitaje siye waafrika
Hiyo ni Africa kwa ujumla, kuna kasulu, lagos, tunduma, kondoa, johannesburg.

Tuje swali la msingi, kama ukilinganisha dar na duniani dar ni kijiji vipi ukilinganisha kakonko/simiyu/dodoma na duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…