Hakuna andiko lolote Mungu aliposema Sabato au siku ya Saba ni Jumamosi.Mimi Ni Anglican,Ila nakubaliana na wewe Sabato Ni jumamosi,,sijui hata kwa Nini naendelea kuivunja hii amri......Nje ya mada lakini,niliwahi sikia msemo "there's no Christmas without snow"Hivi ule mti tunaopamba Christmas Ni wanini jamani??maana naona barafu zimeanguka je wakati Messiah anazaliwa Bethlehem barafu zilikuwa zinaanguka hapo mjini?
Kama hajui na hajajifunza kama wewe nilivyokufundisha Atakwenda na ni muaminifu kwa anachokijua haya kama ni MSTARI mmoja Atakwenda.Mtumishi ngoja nikuulize swali. Unaamini kwamba mtu asiyeshika sabato ya jumamosi hataenda na Yesu ikiwa unyakuo ukitokea sasa hivi? Au hataenda mbinguni na kurithi nchi mpya?
Nilitaka kuhoji same!?Jumamosi ndio itakupeleka mbinguni?
Eden Siku ya Saba ya Sabato iliongezwa katika wiki. Siku sita za uumbaji ya saba ya mapumziko. Ikaandikwa Mungu akapumzika.Unachanganya mambo.
Amri ya kupumzika siku ya Saba haikuanzia Edeni.
Fafanya plz tupe funguMtumishi ngoja nikuulize swali. Unaamini kwamba mtu asiyeshika sabato ya jumamosi hataenda na Yesu ikiwa unyakuo ukitokea sasa hivi? Au hataenda mbinguni na kurithi nchi mpya?
Hii hatukazanii, tunakumbusha kama Mungu alivyowakumbusha wayahudi.Nilitaka kuhoji same!?
Yaani dhambi zote zilizotuzunguka na tunazofanya, mtu anakomalia sabato, as if ndiyo funguo ya kuingilia mbinguni!
Ninapenda mtu ashawishi wanadamu tusiue, tusiibe, tusiingiwe na tamaa, tusinyanyase wajane na yatima,
Mtu kakazania kushinikiza Sabato !
Sikujua kwamba sda kuna mafundisho potofu namna hii.Kama hajui na hajajifunza kama wewe nilivyokufundisha Atakwenda na ni muaminifu kwa anachokijua haya kama ni MSTARI mmoja Atakwenda.
Tunaokolewa kwa neema inayotutaka tuachane na ubaya wote na dhambi maana neema inanguvu kuliko dhambi. Kama kuna mtu anasema anYesu alafu anasema hawezi kuikumbuka sabato hajui maana ya neema.
Pia kuna upotofu pia kwenye maandiko yako. Unyakuo ni fundisho potofu lingine ambalo linafundishwa na modern charismatic movements ambalo ukilikagua kwa kina utakutana udanganyifu.
Kujiepusha natumia, Kuna kwa Yesu Mara ya Pili. Tukio hilo litakuwa wazi kila mtu ataona sio unyakuo wa sirisiri.
Ila akija na wewe nimekuelekeza ukapuuza. Huendi. Mbinguni wanaenda waliookolewa kwa neema ambalo neema hiyo imewapa uwezo wa kutii kila agizo la mfalme wa wafalme. Sio cheap grace inayohubiriwa kwenye mimbari na madhabahu za kipigaji ili kuongeza wadhambi wengi waliohamasika na kusisimka wakiacha kutubu chinu ya mwamvuli wa neema feki.
Mungu ni mfalme. Akitoa kauli no kwa faida ya RAIA ya ufalme wako.ukiamua kuanza weekend yako jumatatu ni dhambi?
Barikiwa.Sikujua kwamba sda kuna mafundisho potofu namna hii.
Basi mimi naomba nitoke kwenye mjadala.
Nashukuru. Amani ya Bwana iwe nawe.
kwaio nikiamua kuiacha jumatano kwaajili ya Mungu nitakua nimetenda dhambi?Mungu ni mfalme. Akitoa kauli no kwa faida ya RAIA ya ufalme wako.
Ukiamua kuwa mcha Mungu unakuwa umeamua kuishi kwa maelekezo ya Mungu sio matakwa binafsi. Kufanya hivyo ni kujitangazia Uhuru dhidi ya maelekezo ya Mungu.
Unaweza kupanga ratiba utakavyo ila ratiba ya Mungu kukupa Jumamosi uiache kwa ajili ya Mungu.
Inafaida kubwa, Mungu hawezi kutoa kitu ambacho hakifai kwa watoto wake.
Umetype Sana ila umejikoroga SanaSio kweli.
Mimi ninasali jumapili na ndio siku sahihi kwa wakristo sababu ni siku ya UFUFUKO WA YESU MWENYEWE, ni siku ya USHINDI, NI SIKU KUKOMBOLEWA TOKA UTUMWA DHAMBI NA MAUTI, hiyo ndio sabato ya agano jipya, sio KIVULI TENA CHA SABATO YA KWANZA JUMAMOSI, sabato ya agano la kale.
Ni kweli sabato ni jumamosi kama siku ya saba ya juma. Lakini kwa sasa tangu ufufuko wa Yesu ni kivuli cha mambo ya kale agano la kale. Kwa lugha ingine ni Unasali jumapili kama kumbukunbu ya kukombolewa toka katika utumwa wa dhambi kwa tendo la ufufuko wa Yesu siku ya kwanza ya juma jumapili, sabato ya jumamosi kama siku ya saba ya juma ilikuwa ni siku ya kumbukumbuu ya wana wa israeli kukombolewa toka utumwani misri, sasa wewe Joann na wakristo wengine wote ni lini ulikombolewa toka utumwani misri ?, kilichofanyika ni wewe na wakristo wengine wote mlikombolewa toka katika UTUMWA WA DHAMBI NA KRISTO MWENYEWE SIKU YA KWANZA YA JUMA JUMAPILI, na hiyo ndio siku ya wewe kufanya kumbukumbu na sio jumamosi sabato ya kiyahudi kumbukumbu ya kukombolewa toka utumwani MISRI.
Ndio maana hata wayahudi haters wa yesu walipomletea habari za sabato yao aliwaambia "MIMI NDIYE HUYO BWANA WA SABATO", na mbele huko aliwaambia wanafunzi wake nisikilizeni MIMI (refer tukio la kutokewa na mabii wa kale musa na eliya kule mlimani). Na baadae baada ya yesu kupaa mbinguni wanafunzi wake walifafanua zaidi juu ya hilo na kuwaambia wayahudi na wengine waliokywa wakingangania sabato ya kale kuwa HIYO ILIKUWA NI KIVULI CHA MAMBO YAJAYO YAANI KRISTO MWENYEWE ALIYE KUFA NA KUFUFUKA KAMA ALAMA YA UKOMBOZI NA KUISHINDA MAUTI.
mwendo wa kula makande tu
Nitaplan kuleta mada ya hili jambo. Kwa sasa soma Mathayo 24.Fafanya plz tupe fungu
Ukiamua kuiacha sio dhambi ila isiwe mbadala wa Sabato. Hata wakristo wa rumi walikuwa wanaweka tofauti kati ya siku na siku.kwaio nikiamua kuiacha jumatano kwaajili ya Mungu nitakua nimetenda dhambi?
Kutii kitu gani?Utii ni muhimu sana katika kupokea neema ya Mungu. Adam, Hawa, Kaini, Lameki... walishindwa kutii maagizo ya Mungu. Na matokeo yake unayajua. Hauwezi kuwa rebellious halafu ukategemea somehow kuingia mbinguni.
kwahio siku ya sabato hutakiwi kufanya kazi yoyote?Ukiamua kuiacha sio dhambi ila isiwe mbadala wa Sabato. Hata wakristo wa rumi walikuwa wanaweka tofauti kati ya siku na siku.
Sabato imeshasetiwa na Mfalme Bro. Haina mjadala.
Hata Mimi huwa natoa wiki nzima kutafakari. Jumatano Mara nyingine ila sio mbadala wa sabato ya Jumamosi.
Na hata usipotoa Mungu hana haki ya kukudai maana hata hivyo ameshakupa sabato hizo nyingine kakwambia kafanye kazi kama wanafunzi wa Yesu walivyokuwa wakiitumia Jumapili kwenda kulima.
Ukorofi tu wa kisasa ndio umetufikisha hapa.
Umenena vema!Sio kweli.