kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Uko wapi nikupe ofa uje kuwachapa mikonoKwa mie nawachapa wote mikono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi nikupe ofa uje kuwachapa mikonoKwa mie nawachapa wote mikono
Nipo ngerengereUko wapi nikupe ofa uje kuwachapa mikono
Mtafuteni yule KOMANDOO wa MBOWE akusimulieni vizuri.
Magereza ndio mwisho wa matatizo hata Mjeda atatubu akiingia kwenye 18 za magrwza, inshort Askari Magrza ndio askari anaeweza kukutana na askari wa jeshi lolote na kumsurubu.Hawa wote wanashughulika nakurekebisha nidhamu kwa njia ya adhabu. MP wa magereza anashughulikia nidhamu za wafungwa wakorofi(raia).
MP wa Jwtz anashughulikia nidhamu za askari wakorofi... narudia,ASKARI wakorofi!Nawote huwa wanaogopwa katika maeneo yao. Sasa fikiria Kam MP wa JW anaogopwa na askari watukutu,vipi umlinganishe nahuyu anayeogopwa na raia(wafungwa).
Kinachofanya magereza waonekane hatar nikwasababu wale wafungwa wanapopata adhabu huwa wanazisimulia mtaani..hii nitofauti na askari ambao Mambo yakambini huishia humohumo.Huwez kuwasikia wakilalamikia adhabu wanazopata pale wanapokosea.
Kwa maoni yangu MP wa JW ni wabaya kuliko wa magereza
Bora jwtz babu..huyo wa magereza ni kwa ajili ya waluopinda,unadhani fikra zake zikoje!?Na nimeanzisha hii Mada makusudi ili nipate Uthibitisho wa hawa Watu Wawili kutoka katika hizi Taasisi Muhimu nchini TZ.
Alifanyaje?Kwa jinsi nlisikia private maro akilia kama mtoto kipindi kafungiwa kwenye chumba cha ma mp bora nikamatwe na magereza
Unamjua komandoo au unaropoka tu?Hujawahi kuona Magereza wanavotembeza kichapo.
Kuwa Mwanajeshi haimaanishi wewe ni mkomavu kuliko Raia wote, kumbuka kuna majambazi wanazichapa kuliko makomandoo wa JWTZ. Sasa hao majambazi wanatunzwa na hao MAGEREZA.
NI RAHISI KUMPA ADHABU ASKARI KWA KUWA KULE NI UTII TU, LKN KUMPA ADHABU RAIA AMBAYE ANAWEZA KUKUCHENJIA MKAZICHAPA NI HATARI SANA.
KWANGU NI BORA NIKUTANE NA JWTZ naweza toka natambaa (JKT imenikuta sana hii)
Lkn MAGEREZA unatoka umezimia
Bushlawayer jichangeNa kwa nini Askari akupe adhabu? Kwa kigezo na Sheria ipi ? I mean, anakupa adhabu yeye kama nani ?
Alitoroka lindoAlifanyaje?
Usijisifie kuwa hao JWTZ uliwagonga na wakakuacha tu ukweli ni kwamba hiyo Siku huenda uliwakuta ndiyo wametoka Kupokea Mishahara yao ama iko mbioni kutoka.C rahisi mwanajeshi au magereza kumpiga raia wa kawaida bila sababu ila hawa police wengine form four failure ni bure kabisa akili hawana kabisa unaweza kuta upo kituoni ukapigwa bonge kofi bila sababu ya msingi.sheenzy sana
Respect kwa jwtz hawa jamaa hawana mambo ya kishamba kabisa, kwa bahati mbaya nilishwahi gonga basi lao nikapusua taa yao ila walikuwa calm waliniambia niwe makini wakaondoka zao,sipati picha kama ningepasua taa za hawa Polisi tahira