Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHi game dk 90 +10, Arsenal 2-City 1
Ngoja tuone mkuuHii una win
Marefa wa epl wanabetiArsenal wanaongoza ila wapo pungufu, sizani kama City atamwacha Arsenal half ya pili. Ila Arsenal leo alikuwa game plan yake na the way anavyo cheza, waliplan vizuri. Refa nae kazingua ile faulo ya kawaida tu haikuwa na kadi amesha haribu kechi.
Mkeka ukakatika..? Imenikumbasha juz hull city 1st half kala moja aisee nikaenda bar kupiga vyombo nikiamin hapa nishakula mkeka aisee si akarudisha second half na kuongeza .Kuna fala mmoja juzi huko X kabla ya kushinda mkeka wa mamilioni kaanza kuomba atafutiwe pisi ya kwenda kuburudika nayo
Alibakisha game ya Monaco vs Barca..... dk za mwanzo Barca kala umeme
Kuna fala mmoja juzi huko X kabla ya kushinda mkeka wa mamilioni kaanza kuomba atafutiwe pisi ya kwenda kuburudika nayo
Alibakisha game ya Monaco vs Barca..... dk za mwanzo Barca kala umeme
Yeah akachanaAlimpa barcelona??
Hahaa dogo wa wapi?kumbe kubet ni rahisi tu.Usiwaze mkuu mkeka utatiki tu,juzi shinda jana kuna dogo kanunua nyumba kwa 16mil pesa alizopata kwene kubet,unaambiwa dogo alivyotajiwa tu bei hajasema hata nipunguzie dogo kakubali hapo hapo biashara ikaisha
Hata usiangalie maana mambo yanavyoenda huku, mhindi kaenda kuroga🤣20 mkuu hata mechi sitaki kuiangalia
Mhindi kaenda KurogaMuanzilishi wa thread una hali gani sasa😂😂😂😂😂
Mtamfanya azimie mleta uzi🤣Man city Goooooooooooooooal alvaro Morata