Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

Hapo ndio umuhimu wa kitu fecha cashout unapoonekana.
Mimi ikibakia timu moja huwa naungalia mkeka dakika zote kama mgongwa wa uangalizi maalum.

Mhindi akileta bei yenye maslahi nafanya naye biashara halafu nabeti

Hapo ndio umuhimu wa kitu fecha cashout unapoonekana.
Mimi ikibakia timu moja huwa naungalia mkeka dakika zote kama mgongwa wa uangalizi maalum.

Mhindi akileta bei yenye maslahi nafanya naye biashara halafu nabeti tena.
Leo dk ya 89 game ya Levekusen mhindi bado kaniachia cashout tena imezidi hadi stake nikawaza sio kawaida yake nikaiacha liwalo na liwe.....matokeo yake ningecashout ule mtaji sasa hivi ningekuwa nalia kilio cha mbwa koko
 
Mimi zamani cashou

Cashout inaraha yake na ubaya ukiona mpaka dakika ya 85 anakuletea cashout ujue huo mkeka una asilimia 95 kuwin
 
Kama ulijua utakula 50M kukosa hata hela kidogo Ni uzembe wa Hali ya juu . Kama ilibaki timu moja unge cover mkeke na double chance ya arsenal wakati alipofungwa moja 2X au hata kabla ninauhakika hungekosa odds 3 au hata 2. Ukiweka 5M (2X) ungejipoosa Ni M zako 15M
 
Kawaida kulose sio riziki yangu
 
Duh kweli mpira hautabiriki, dakika za nyongeza Man city wanasawazisha hapa na dakika mbili baadae wanapata chuma cha tatu. Dakika za jioooooni Man City inamfurahisha mleta uzi. Man city 3 Arsenal 2. Mechi imeisha, mleta uzi kachukue milioni 50 yako. Hongera sana haikuwa rahisi aisee.
Kawaida sana hii kwenye betting
 
Aisee...
Sema nini Kwanza nikupe pole najua machungu ya mkeka kuchanika Kwa timu moja Tu tena timu kama city...

Lakini ukweli mchungu kuna watu Wana roho mbaya jifunze kutunza siri ukikaribia kufanikiwa kuna watu wenye vijicho...

Lakini cha mwisho siku nyingine ikibaki mechi moja cash out... Maana ndo hua zinachana nimeshuhudia visa vingi vya hivo sema siwezi kusimulia...

Mkeka wa Milioni 50 kama kweli ilikua imebaki the cytizen tu... Basi ulikua hukosi japo Milioni 20+
 
Back
Top Bottom