Ikitokea Rais Samia akakemea kufungwa kanisa la Gwajima na kutengua uteuzi wa Bashungwa CCM hawatamsifia?

Hivi unayo akili timamu, hata kuwaza tu kuleta mada kaama hiyo hapa; bila kujali uzito wa matukio husika?
Sina maneno ya kukwambia kuhusu ujinga ulioufanya hapa.

Hopeless Kabisa!
Actually nilianza kukupa heshima siku za hivi karibuni; kumbe bado ni mbuzi mkubwa kabisa!
Laughter is the best medicine.
 
Genge=Mama mtu, Mkwe, mafwee(playmaker mkuu/mtekelezaji/mpanga mipango +vikosi), mtoto mtu(funder)
 
Hivi unayo akili timamu, hata kuwaza tu kuleta mada kaama hiyo hapa; bila kujali uzito wa matukio husika?
Sina maneno ya kukwambia kuhusu ujinga ulioufanya hapa.

Hopeless Kabisa!
Actually nilianza kukupa heshima siku za hivi karibuni; kumbe bado ni mbuzi mkubwa kabisa!
Hahaha Asante ila mimi na wewe ni kenge na siyo mbuzi
 
GTs,
Hebu fikiria tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya yote akiwa katika ziara ya kikazi jijini Dar es Salaam, Rais Dkt Samia alieleza kushangazwa na uamuzi huo wa mamlaka bila kujumuisha majadiliano ya wazi na viongozi wa dini. Rais alisisitiza kuwa serikali yake inaheshimu uhuru wa kidini na haitavumilia matumizi mabaya ya madaraka kwa kuzuia watu kushiriki ibada zao kwa misingi isiyoeleweka.

Katika hatua nyingine, Rais Dkt Samia ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kufuatia kushindwa kwake kushughulikia matukio ya utekwaji wa watu yanayoendelea kushika kasi nchini. Dkt. Samia alisema serikali haiwezi kufumbia macho vitendo vya kihalifu vinavyohatarisha usalama wa raia na kuvuruga amani ya nchi. Aliahidi kuchukua hatua kali kwa watendaji wote wa umma wanaoshindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo, akisisitiza kuwa suala la utekaji halitavumiliwa na linahitaji hatua za haraka na za kimkakati kutoka kwa vyombo vya usalama.

Wadau nimewaza hivyo, je ikitokea Rais Dkt Samia kafanya hivyo CCM viherehere hawataitisha press kumsifia Rais Dkt Samia? Je wana JF tutamsifia?
Je, Kipindi cha JPM ungewaza hivi????
Kweli kila kitabu na zama zake.
Wewe ndo ulikuwa "chawa " enzi za JPM hadi uliweka pamba masikioni
 
jinga sana hili nilivyosoma kichwa cha habari hapohapo nikataka niende page ya ikulu lkn nikasita nikasoma mada nzima ndo naona majanga...
Hahahaha KENZY umenifurahisha jamani
 
GTs,
Hebu fikiria tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya yote akiwa katika ziara ya kikazi jijini Dar es Salaam, Rais Dkt Samia alieleza kushangazwa na uamuzi huo wa mamlaka bila kujumuisha majadiliano ya wazi na viongozi wa dini. Rais alisisitiza kuwa serikali yake inaheshimu uhuru wa kidini na haitavumilia matumizi mabaya ya madaraka kwa kuzuia watu kushiriki ibada zao kwa misingi isiyoeleweka.

Katika hatua nyingine, Rais Dkt Samia ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kufuatia kushindwa kwake kushughulikia matukio ya utekwaji wa watu yanayoendelea kushika kasi nchini. Dkt. Samia alisema serikali haiwezi kufumbia macho vitendo vya kihalifu vinavyohatarisha usalama wa raia na kuvuruga amani ya nchi. Aliahidi kuchukua hatua kali kwa watendaji wote wa umma wanaoshindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo, akisisitiza kuwa suala la utekaji halitavumiliwa na linahitaji hatua za haraka na za kimkakati kutoka kwa vyombo vya usalama.

Wadau nimewaza hivyo, je ikitokea Rais Dkt Samia kafanya hivyo CCM viherehere hawataitisha press kumsifia Rais Dkt Samia? Je wana JF tutamsifia?
🫵🤓🤓
 
Hivi unayo akili timamu, hata kuwaza tu kuleta mada kaama hiyo hapa; bila kujali uzito wa matukio husika?
Sina maneno ya kukwambia kuhusu ujinga ulioufanya hapa.

Hopeless Kabisa!
Actually nilianza kukupa heshima siku za hivi karibuni; kumbe bado ni mbuzi mkubwa kabisa!
🤣 🤣 🤣
 
Hapana.

Pamoja na uozo ilionao CCM; katika hili la utekaji, inatumiwa tu na genge linalomshikilia Samia ndani ya chama hicho.

Ni msimamo wa chama maana walishasema tukiwapoteza polisi msiwatafute .

Lakini pia fuatilia utaona wote wanaopinga mauaji na utekaji hata kama ni maaskofu watapigwa na Makada wa CCM akiwemo Mwenyekiti wao na pia watatokea watu wa dini nyingine ambao ni Makada wa CCM na kusema kuwa watu wanachezea amani ya nchi ndio maana wanashughulikiwa .
TEC iliyojaa wasomi kuliko Taasisi yoyote hapa nchini ilipojaribu kukemea mauaji ,kwa haraka Rais akajitokeza na kuwakemea na kuwaonya wasichanganye dini na siasa .
Akajitokeza makala akakemea maaskofu ,akajitokeza Wasira akakemea maaskofu ,wakajitokeza mashehe na wachawi wa CCM wakawatisha na kuwakemea maskofu .
Sasa hapo inahitajika hesabu ya Calculus au intergration kujua kuwa mfumo wa kuua na kuteka na kubambikia kesi ni msimamo wa chama ?
Kumbe mauaji na utekaji ni suala la siasa ? Kwa hiyo kanisa kuzungumzia mauajia na utekaji linachangana siasa na dini ?

Kwa hiyo ni wazi kuwa utekaji ni moja ya mbinu iliyohalalishwa na Chama na serikali yake kama nyenzo ya kulinda amani .
Yaani wanaona wavuruga amani ni wanaokosoa serikali ya Samia na CCM yake . Na sasa wakaona dawa yao ni kushughulikiwa kikamilifu ikiwemo kupotezwa.

Spika wa bunge Tulia Akson yeye alisema wazi kuwa wanao sema Samia vibaya watanyooka nao .

Uchaguzi ukifika CCM na serikali yake wanaangalia manono yaliyopo ndani ya madaraka na namna rahisi ya kupiga fedha za umma ni kukalia madaraka ya juu ya nchi . Sasa wanachofanya ni kutumia mbinu zote halali na haramu kurudi madarakani. Hapo utu unapotea kabisa . Ndio maana Tulia alisema huu ni mwaka wa uchaguzi masuala ya Mungu na mbinguni hawapo tayari kuyafuata .

Mwenyekiti wa Jumuiya ya wanawake Tanzania Merry Chatanda yeye alisema wazi kuwa Ushindi wa CCM ni lazima na sio Mungu akipenda .

Angalia safu ya Wakuu wa polisi kama kuna mwenye Chembe ya ubinadamu .

Angalia Mchengerwa na Tamisemi ambayo inasimamia uchaguzi .
Mchengerwa hajawahi kuwa mtu mwema kamwe na hata anakotokea ndiko palikokuwa na shida kubwa sana ya ugaidi na mauaji kwenye utawala wa awamu ya nne na tano .

Hivi chama na serikali kama hiyo unawezaje kuitenganisha na unyama unaondelea nchini .
 
Kichwa cha mada hakisemi hivyo.
Basi potelea mbali. Nchi yetu itavuka tu.
Kalamu nchi yetu niw iko na mambo mengi. Yaani viongozi hasa wa kisiasa wanafanya baadhi ya maamuzi ya ovyo mno
 
GTs,
Hebu fikiria tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya yote akiwa katika ziara ya kikazi jijini Dar es Salaam, Rais Dkt Samia alieleza kushangazwa na uamuzi huo wa mamlaka bila kujumuisha majadiliano ya wazi na viongozi wa dini. Rais alisisitiza kuwa serikali yake inaheshimu uhuru wa kidini na haitavumilia matumizi mabaya ya madaraka kwa kuzuia watu kushiriki ibada zao kwa misingi isiyoeleweka.

Katika hatua nyingine, Rais Dkt Samia ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kufuatia kushindwa kwake kushughulikia matukio ya utekwaji wa watu yanayoendelea kushika kasi nchini. Dkt. Samia alisema serikali haiwezi kufumbia macho vitendo vya kihalifu vinavyohatarisha usalama wa raia na kuvuruga amani ya nchi. Aliahidi kuchukua hatua kali kwa watendaji wote wa umma wanaoshindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo, akisisitiza kuwa suala la utekaji halitavumiliwa na linahitaji hatua za haraka na za kimkakati kutoka kwa vyombo vya usalama.

Wadau nimewaza hivyo, je ikitokea Rais Dkt Samia kafanya hivyo CCM viherehere hawataitisha press kumsifia Rais Dkt Samia? Je wana JF tutamsifia?

Tutajua anamatatizo ya akili maana haeleweki
 
Back
Top Bottom