Kuna yule jamaa anajigamba kwamba kile kikosi cha chinjachinja alikuwa anakiongoza yeye.Utekaji ni msimamo wa Chama cha Mauaji .
Mwana CCM yeyote ni lazima aunge mkono suala la utekaji .
Ukipinga utekaji unaachwa nje au unatekwa au kufunguliwa kesi kwa sababu unapingana na msimamo wa Chama na Serikali.
Tumeibiwa vya kutosha
Tumepandishiwa bei vya kutosha
Tumewekewa vikokotoo vya kutosha
Watu wetu wametekwa vya kutosha Watu wetu wameuawa vya kutosha
Wapiga kura wamedharauliwa vya kutosha
Dini zimedharauliwa vya kutosha
Watu wamebambikiwa kesi vya kutosha
Bunge limekua la hovyo vya kutosha
Madiwani wamekuwa wapiga dili vya kutosha
Mawaziri wamejilimbikizia mali vya kutosha
Viongozi wa dini wauawa vya kutosha.
Rais amekua dikteta vya kutosha
Vyombo vya dola vimeipendelea CCM vya kutosha .
Uwezo wa kuiondoa CCM makarakani tunao .
Sababu ya kuindoa CCM madarakani tunayo .
Nia ya kuiondoa CCM madarakani tunayo
Sasa watanzania tuna kazi moja tu kuzuia bunge lisivunjwe na uchaguzi usifanyike bila marekebisho ya tume ya uchaguzi .
Sasa haioni kuwa matope yote yanaenda kwake!!!?Hapana.
Pamoja na uozo ilionao CCM; katika hili la utekaji, inatumiwa tu na genge linalomshikilia Samia ndani ya chama hicho.
Hahahah comrade Lucas Mwashambwa najua utashusha bonge la uzi kumpongeza hahahahaNaona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe
Wewe mbona hujatekwa ?!Utekaji ni msimamo wa Chama cha Mauaji .
Mwana CCM yeyote ni lazima aunge mkono suala la utekaji .
Ukipinga utekaji unaachwa nje au unatekwa au kufunguliwa kesi kwa sababu unapingana na msimamo wa Chama na Serikali.
Tumeibiwa vya kutosha
Tumepandishiwa bei vya kutosha
Tumewekewa vikokotoo vya kutosha
Watu wetu wametekwa vya kutosha Watu wetu wameuawa vya kutosha
Wapiga kura wamedharauliwa vya kutosha
Dini zimedharauliwa vya kutosha
Watu wamebambikiwa kesi vya kutosha
Bunge limekua la hovyo vya kutosha
Madiwani wamekuwa wapiga dili vya kutosha
Mawaziri wamejilimbikizia mali vya kutosha
Viongozi wa dini wauawa vya kutosha.
Rais amekua dikteta vya kutosha
Vyombo vya dola vimeipendelea CCM vya kutosha .
Uwezo wa kuiondoa CCM makarakani tunao .
Sababu ya kuindoa CCM madarakani tunayo .
Nia ya kuiondoa CCM madarakani tunayo
Sasa watanzania tuna kazi moja tu ,kuzuia bunge lisivunjwe na uchaguzi usifanyike bila marekebisho ya tume ya uchaguzi .
Hii hadithi inatufundisha nini?GTs,
Hebu fikiria tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya yote akiwa katika ziara ya kikazi jijini Dar es Salaam, Rais Dkt Samia alieleza kushangazwa na uamuzi huo wa mamlaka bila kujumuisha majadiliano ya wazi na viongozi wa dini. Rais alisisitiza kuwa serikali yake inaheshimu uhuru wa kidini na haitavumilia matumizi mabaya ya madaraka kwa kuzuia watu kushiriki ibada zao kwa misingi isiyoeleweka.
Katika hatua nyingine, Rais Dkt Samia ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kufuatia kushindwa kwake kushughulikia matukio ya utekwaji wa watu yanayoendelea kushika kasi nchini. Dkt. Samia alisema serikali haiwezi kufumbia macho vitendo vya kihalifu vinavyohatarisha usalama wa raia na kuvuruga amani ya nchi. Aliahidi kuchukua hatua kali kwa watendaji wote wa umma wanaoshindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo, akisisitiza kuwa suala la utekaji halitavumiliwa na linahitaji hatua za haraka na za kimkakati kutoka kwa vyombo vya usalama.
Wadau nimewaza hivyo, je ikitokea Rais Dkt Samia kafanya hivyo CCM viherehere hawataitisha press kumsifia Rais Dkt Samia? Je wana JF tutamsifia?
Ameziomba wapi hizo bilion 15 una document? Shetani mkuu ni bibi yenu tunahitaji kumkataa bibi yenu na mambo yake yote na kazi zake zote tuache kupambana na vijimatawi.Bashungwa kadandia Gari la ibirisi kawa shetani kuliko waliopita na kibaya zaidi kwa Bashungwa ni kuomba bilion 15 kazi maalum ya kudidimiza demokrasia na vitendo haramu vya kishetani
Kumbe ni mawazo tu....GTs,
Hebu fikiria tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya yote akiwa katika ziara ya kikazi jijini Dar es Salaam, Rais Dkt Samia alieleza kushangazwa na uamuzi huo wa mamlaka bila kujumuisha majadiliano ya wazi na viongozi wa dini. Rais alisisitiza kuwa serikali yake inaheshimu uhuru wa kidini na haitavumilia matumizi mabaya ya madaraka kwa kuzuia watu kushiriki ibada zao kwa misingi isiyoeleweka.
Katika hatua nyingine, Rais Dkt Samia ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kufuatia kushindwa kwake kushughulikia matukio ya utekwaji wa watu yanayoendelea kushika kasi nchini. Dkt. Samia alisema serikali haiwezi kufumbia macho vitendo vya kihalifu vinavyohatarisha usalama wa raia na kuvuruga amani ya nchi. Aliahidi kuchukua hatua kali kwa watendaji wote wa umma wanaoshindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo, akisisitiza kuwa suala la utekaji halitavumiliwa na linahitaji hatua za haraka na za kimkakati kutoka kwa vyombo vya usalama.
Wadau nimewaza hivyo, je ikitokea Rais Dkt Samia kafanya hivyo CCM viherehere hawataitisha press kumsifia Rais Dkt Samia? Je wana JF tutamsifia?
Labda ilionekana udharura...! Lakini, mara ya Mwisho ilisemekana Muhusika hakupokea barua....halafu yupo wapi Sasa hivi huyu Muhusika? Kaenda mlimani kufungwa zile siku saba?Yupo wapi?Swali gumu ni je, Askofu ndie kanisa?.
Nafikiri ilitakiwa iende barua ya onyo kabla ya yote sababu ukiangalia Askofu ni mtumishi tu wa kanisa wala kanisa sio mali yake. Kuna bodi ya wadhamini na kuna waanzilishi pia.
Tumeenda haraka sana.
Ila hili litazidi kuvuruga mambo maana askofu ana aina ya waumini sio watu wa kutumia maarifa ya kawaida. Wao watatfsiri kama vita vya kiroho. Kitu mbaya sana hiyo.Labda ilionekana udharura...! Lakini, mara ya Mwisho ilisemekana Muhusika hakupokea barua....halafu yupo wapi Sasa hivi huyu Muhusika? Kaenda mlimani kufungwa zile siku saba?Yupo wapi?
Wewe unaiota CHADEMA, mimi naiamini Tanzania.Endelea kuota hadi 2030.
Chadema imekula kwao.
Inaona.Sasa haioni kuwa matope yote yanaenda kwake!!!?
Kikwete tu ndiye angeweza kufanya hivyo. Samiah hajui siasa na inaelekea kila kitu anashauriwa naye anatekeleza bila kuchanganya na zake.GTs,