ibirisi mkoloni kaburu shetani toka Zanzibar hana huruma na watanganyika yeye kazi yake ni kuona watu wanatekwa wanauawa ndiyo furaha yake, mzanzibar anawaua watanganyika kwa msaada wa vibaraka PolisiccmAlisikitishwa pia na kutekwa na baadae kifo cha Ali Kibao,baada ya siku chache akasema kifo ni kifo tu😊😊😊
Pumbavu,uandishi wako siyo mzuri kabisaGTs,
Hebu fikiria tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya yote akiwa katika ziara ya kikazi jijini Dar es Salaam, Rais Dkt Samia alieleza kushangazwa na uamuzi huo wa mamlaka bila kujumuisha majadiliano ya wazi na viongozi wa dini. Rais alisisitiza kuwa serikali yake inaheshimu uhuru wa kidini na haitavumilia matumizi mabaya ya madaraka kwa kuzuia watu kushiriki ibada zao kwa misingi isiyoeleweka.
Katika hatua nyingine, Rais Dkt Samia ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kufuatia kushindwa kwake kushughulikia matukio ya utekwaji wa watu yanayoendelea kushika kasi nchini. Dkt. Samia alisema serikali haiwezi kufumbia macho vitendo vya kihalifu vinavyohatarisha usalama wa raia na kuvuruga amani ya nchi. Aliahidi kuchukua hatua kali kwa watendaji wote wa umma wanaoshindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo, akisisitiza kuwa suala la utekaji halitavumiliwa na linahitaji hatua za haraka na za kimkakati kutoka kwa vyombo vya usalama.
Wadau nimewaza hivyo, je ikitokea Rais Dkt Samia kafanya hivyo CCM viherehere hawataitisha press kumsifia Rais Dkt Samia? Je wana JF tutamsifia?
Magufuli hakuwa na ushetani kama wa huyu ibirisi mama iddy Amin huyu ni shetani wa kutupwaJPM alikuwa Mzanzibari? Mbona aliwapiga nyundo za uhakika kuliko hata Rasi mpendwa Dk. Samia? Ukileta kiburi mahala popote pale unanyooshwa
Hawezi kufanya hivyo hata dk 1. yaani amtumbue waziri wa mambo ya ndani kwa kutokomesha tabia zake (rais) za utekaji?GTs,
Hebu fikiria tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya yote akiwa katika ziara ya kikazi jijini Dar es Salaam, Rais Dkt Samia alieleza kushangazwa na uamuzi huo wa mamlaka bila kujumuisha majadiliano ya wazi na viongozi wa dini. Rais alisisitiza kuwa serikali yake inaheshimu uhuru wa kidini na haitavumilia matumizi mabaya ya madaraka kwa kuzuia watu kushiriki ibada zao kwa misingi isiyoeleweka.
Katika hatua nyingine, Rais Dkt Samia ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kufuatia kushindwa kwake kushughulikia matukio ya utekwaji wa watu yanayoendelea kushika kasi nchini. Dkt. Samia alisema serikali haiwezi kufumbia macho vitendo vya kihalifu vinavyohatarisha usalama wa raia na kuvuruga amani ya nchi. Aliahidi kuchukua hatua kali kwa watendaji wote wa umma wanaoshindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo, akisisitiza kuwa suala la utekaji halitavumiliwa na linahitaji hatua za haraka na za kimkakati kutoka kwa vyombo vya usalama.
Wadau nimewaza hivyo, je ikitokea Rais Dkt Samia kafanya hivyo CCM viherehere hawataitisha press kumsifia Rais Dkt Samia? Je wana JF tutamsifia?
Ukweli mchungu ni kwamba hiyo njia ya kuzuia uchaguzi haiwezi kufanya kazi kwa serikali ambayo iko madarakani kimabavuUtekaji ni msimamo wa Chama cha Mauaji .
Mwana CCM yeyote ni lazima aunge mkono suala la utekaji .
Ukipinga utekaji unaachwa nje au unatekwa au kufunguliwa kesi kwa sababu unapingana na msimamo wa Chama na Serikali.
Tumeibiwa vya kutosha
Tumepandishiwa bei vya kutosha
Tumewekewa vikokotoo vya kutosha
Watu wetu wametekwa vya kutosha Watu wetu wameuawa vya kutosha
Wapiga kura wamedharauliwa vya kutosha
Dini zimedharauliwa vya kutosha
Watu wamebambikiwa kesi vya kutosha
Bunge limekua la hovyo vya kutosha
Madiwani wamekuwa wapiga dili vya kutosha
Mawaziri wamejilimbikizia mali vya kutosha
Viongozi wa dini wauawa vya kutosha.
Rais amekua dikteta vya kutosha
Vyombo vya dola vimeipendelea CCM vya kutosha .
Uwezo wa kuiondoa CCM makarakani tunao .
Sababu ya kuindoa CCM madarakani tunayo .
Nia ya kuiondoa CCM madarakani tunayo
Sasa watanzania tuna kazi moja tu kuzuia bunge lisivunjwe na uchaguzi usifanyike bila marekebisho ya tume ya uchaguzi .
Hivi vikundi vya kishetani ndiyo washauri haramu wa mama iddy Amin dada ibiris mkoloni kaburu toka Zanzibar mtesi wa watanganyikaGenge=Mama mtu, Mkwe, mafwee(playmaker mkuu/mtekelezaji/mpanga mipango +vikosi), mtoto mtu(funder)
pole sana mkuu, 😂 ...Huu ni ujinga wa kitoto kabisa uliofanya hapa.
Hata sielewi kwa nini moderators wanaacha uchafu kama huu hapa.
Bashungwa utekaji mauaji kwake ni Dili ni mchongo ni njia haramu za kujipatia pesa za walipa kodi kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasaHawezi kufanya hivyo hata dk 1. yaani amtumbue waziri wa mambo ya ndani kwa kutokomesha tabia zake (rais) za utekaji?
Matukio ya uonevu ni miradi ya Bashungwa IGP Amos makala na chawaccm ni wizi mpya wa pesa za walipa kodi, hicho kikundi cha kishetani sasa wanapiga pesa kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasa ni watu wa hovyo sanaMimi ningekua raisi ningefanya hivyo, sijui anashindwa nini aisee.
---Tumeibiwa vya kutosha
Tumepandishiwa bei vya kutosha
Tumewekewa vikokotoo vya kutosha
Watu wetu wametekwa vya kutosha Watu wetu wameuawa vya kutosha
Wapiga kura wamedharauliwa vya kutosha
Dini zimedharauliwa vya kutosha
Watu wamebambikiwa kesi vya kutosha
Bunge limekua la hovyo vya kutosha
Madiwani wamekuwa wapiga dili vya kutosha
Mawaziri wamejilimbikizia mali vya kutosha
Viongozi wa dini wauawa vya kutosha.
Rais amekua dikteta vya kutosha
Vyombo vya dola vimeipendelea CCM vya kutosha .
Wamegawana bilion 15 walizopewa juzi na ibirisi mama iddy Amin huyo IGP ni shetani ni kinara wa kumpotosha mama mkoloni kaburu toka ZanzibarDah kumbe unafikiri? katika kufikiri kwako kwanini IGP asiwekwe pembeni maana uwaziri ni cheo cha kisiasa
Bashungwa ana miezi mingapi wizarani? Tokea 2021 mpaka 2024 waziri alikuwa Masauni na utekaji ulikuwepo kama kawaida wala hakuwai kukemea hii inaonyesha suala la utekaji liko juu ya uwezo na mamlaka ya waziri. Kumtoa waziri yeyote au IGP au afisa yeyote wa polisi ni just kufunika kombe mwana haramu apite ili utekaji ukome tunatakiwa kudeal na shina sio tawi, waziri na walioko chini yake ni matawi shina kuu lipo.Bashungwa utekaji mauaji kwake ni Dili ni mchongo ni njia haramu za kujipatia pesa za walipa kodi kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasa
Saivi zigo la nnya lipo kwa raisi, mimi ningekua raisi ningetumbua yeyote tu abebe lawama.Matukio ya uonevu ni miradi ya Bashungwa IGP Amos makala na chawaccm ni wizi mpya wa pesa za walipa kodi, hicho kikundi cha kishetani sasa wanapiga pesa kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasa ni watu wa hovyo sana
Kisa wewe ni mnufaika wa bilion 15 za kazi maalumUzi huu uhamishiwe jukwaa la jokes
Bashungwa kadandia Gari la ibirisi kawa shetani kuliko waliopita na kibaya zaidi kwa Bashungwa ni kuomba bilion 15 kazi maalum ya kudidimiza demokrasia na vitendo haramu vya kishetaniBashungwa ana miezi mingapi wizarani? Tokea 2021 mpaka 2024 waziri alikuwa Masauni na utekaji ulikuwepo kama kawaida wala hakuwai kukemea hii inaonyesha suala la utekaji liko juu ya uwezo na mamlaka ya waziri. Kumtoa waziri yeyote au IGP au afisa yeyote wa polisi ni just kufunika kombe mwana haramu apite ili utekaji ukome tunatakiwa kudeal na shina sio tawi, waziri na walioko chini yake ni matawi shina kuu lipo.