Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Laughter is the best medicine.Hivi unayo akili timamu, hata kuwaza tu kuleta mada kaama hiyo hapa; bila kujali uzito wa matukio husika?
Sina maneno ya kukwambia kuhusu ujinga ulioufanya hapa.
Hopeless Kabisa!
Actually nilianza kukupa heshima siku za hivi karibuni; kumbe bado ni mbuzi mkubwa kabisa!
Hahaha Asante ila mimi na wewe ni kenge na siyo mbuziHivi unayo akili timamu, hata kuwaza tu kuleta mada kaama hiyo hapa; bila kujali uzito wa matukio husika?
Sina maneno ya kukwambia kuhusu ujinga ulioufanya hapa.
Hopeless Kabisa!
Actually nilianza kukupa heshima siku za hivi karibuni; kumbe bado ni mbuzi mkubwa kabisa!
Je, Kipindi cha JPM ungewaza hivi????GTs,
Hebu fikiria tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya yote akiwa katika ziara ya kikazi jijini Dar es Salaam, Rais Dkt Samia alieleza kushangazwa na uamuzi huo wa mamlaka bila kujumuisha majadiliano ya wazi na viongozi wa dini. Rais alisisitiza kuwa serikali yake inaheshimu uhuru wa kidini na haitavumilia matumizi mabaya ya madaraka kwa kuzuia watu kushiriki ibada zao kwa misingi isiyoeleweka.
Katika hatua nyingine, Rais Dkt Samia ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kufuatia kushindwa kwake kushughulikia matukio ya utekwaji wa watu yanayoendelea kushika kasi nchini. Dkt. Samia alisema serikali haiwezi kufumbia macho vitendo vya kihalifu vinavyohatarisha usalama wa raia na kuvuruga amani ya nchi. Aliahidi kuchukua hatua kali kwa watendaji wote wa umma wanaoshindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo, akisisitiza kuwa suala la utekaji halitavumiliwa na linahitaji hatua za haraka na za kimkakati kutoka kwa vyombo vya usalama.
Wadau nimewaza hivyo, je ikitokea Rais Dkt Samia kafanya hivyo CCM viherehere hawataitisha press kumsifia Rais Dkt Samia? Je wana JF tutamsifia?
Says who?Laughter is the best medicine.
🫵🤓🤓GTs,

Kununanuna kunakufanya uwe kichaa na kufa haraka.Says who?
Is there data backing up that claim?
I know, it's only a saying to cover for awkward moments.
🤣 🤣 🤣kwa hili mweka mada nakutusi komamanga mkubwa wewe maana nilijua ni taarifa ya kweli..
Hata sijui nisemeje kuonyesha 'disappointment' iliyonifunika kujuwa kuwa unafanya utani na maswala ya aina hiiHahaha Asante ila mimi na wewe ni kenge na siyo mbuzi
Hakuna kitu kama hicho.Kununanuna kunakufanya uwe kichaa na kufa haraka.
🤣 🤣 🤣Ukisoma juujuu unaeza sema jamaa hana akili lkn ukisoma vizuri ndo utagundua huyu mwandishi hana akili kabisaaà!!!!
🤣 🤣 🤣Hivi unayo akili timamu, hata kuwaza tu kuleta mada kaama hiyo hapa; bila kujali uzito wa matukio husika?
Sina maneno ya kukwambia kuhusu ujinga ulioufanya hapa.
Hopeless Kabisa!
Actually nilianza kukupa heshima siku za hivi karibuni; kumbe bado ni mbuzi mkubwa kabisa!
Kichwa cha mada hakisemi hivyo.Pole bosi, nimewaza in case ikitokea
Hapana.
Pamoja na uozo ilionao CCM; katika hili la utekaji, inatumiwa tu na genge linalomshikilia Samia ndani ya chama hicho.
GTs,
Hebu fikiria tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya yote akiwa katika ziara ya kikazi jijini Dar es Salaam, Rais Dkt Samia alieleza kushangazwa na uamuzi huo wa mamlaka bila kujumuisha majadiliano ya wazi na viongozi wa dini. Rais alisisitiza kuwa serikali yake inaheshimu uhuru wa kidini na haitavumilia matumizi mabaya ya madaraka kwa kuzuia watu kushiriki ibada zao kwa misingi isiyoeleweka.
Katika hatua nyingine, Rais Dkt Samia ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kufuatia kushindwa kwake kushughulikia matukio ya utekwaji wa watu yanayoendelea kushika kasi nchini. Dkt. Samia alisema serikali haiwezi kufumbia macho vitendo vya kihalifu vinavyohatarisha usalama wa raia na kuvuruga amani ya nchi. Aliahidi kuchukua hatua kali kwa watendaji wote wa umma wanaoshindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo, akisisitiza kuwa suala la utekaji halitavumiliwa na linahitaji hatua za haraka na za kimkakati kutoka kwa vyombo vya usalama.
Wadau nimewaza hivyo, je ikitokea Rais Dkt Samia kafanya hivyo CCM viherehere hawataitisha press kumsifia Rais Dkt Samia? Je wana JF tutamsifia?
Kama hauamini kuwa mawazo ni hatari katika maisha yako na yamesababisha maradhi na vifo utakuwa mtu wa ajabu.Hakuna kitu kama hicho.