Ikitokea Rais Samia akakemea kufungwa kanisa la Gwajima na kutengua uteuzi wa Bashungwa CCM hawatamsifia?

Dah kumbe unafikiri? katika kufikiri kwako kwanini IGP asiwekwe pembeni maana uwaziri ni cheo cha kisiasa
 
Fake news n alengo lako halitakamilika. Simpendi Samia. Lakini namchukia Gwajima zaidi kwa unafiki wa kutaka kula kotekote na kutumikia mabwana wawili.
 

Hawezi, ni kiziwi
 
Elewa maana yangu ya "GENGE".
Nilisha andika mara kadhaa kuhusu haya unayoweka hapa. Hiyo siyo "CCM" kwa maana ya chama.

Watu hupenda kufumba fumba sana haya mambo; hata sielewi ni sababu zipi ya kufumba hivyo.
CCM sasa hivi inaongozwa na tawi lake la siku nyingi, BAKWATA. Pamoja na kwamba nisingependa kuhusisha watu wote wa dini hiyo katika haya; lakini ukweli ni kwamba BAKWATA , kama taasisi ndiyo inayoiendesha CCM ya Samia Suluhu Hassan sasa hivi.
Lakini, hata hilo, sidhani kuwa BAKWATA inabariki mambo kama hayo ya kuteka na kuua. Ni baadhi ya watu wachache; haata humu JF wamo, na wanajulikana kwa misimamo yao kwa nini wanatetea yanayofanywa na genge la Samia.
Kiongozi wa genge hilo ni Samia mwenyewe; kwa hiyo, kama unahusisha chama na Mwenyekiti wake, bila ya mikutano iliyopitisha hayo yanayofanyika kichama. Basi hapo na iwe CCM kuhusika katika maovu yote haya.
 
Kalamu nchi yetu niw iko na mambo mengi. Yaani viongozi hasa wa kisiasa wanafanya baadhi ya maamuzi ya ovyo mno
Naamini kwa dhati ya moyo wangu, haya yatakoma tu hivi karibuni. Hakuna atakayeweza kuzuia dhoruba linalokuja.
 
Kama hauamini kuwa mawazo ni hatari katika maisha yako na yamesababisha maradhi na vifo utakuwa mtu wa ajabu.
Mkuu 'Hismastersvoice' unamweleza mtu mwenye uelewa na ufahamu mpana zaidi wa hayo mambo.
"Stress', ambayo ndiyo unayoilenga wewe hapa ina vitu vingi sana ndani yake.
 
Hahahah hebu fikiria tu ikitokea hivyo, yaani chawa wote wataitisha press
Mwenyekiti wa kujiteua mwenyewe wa Taasisi ya "Mitano Tena Kwa Samia," Bw. Steve Nyerere kaitisha press leo hii saa 4 asubuhi pale Leaders.
 
Subutuuu yako wewe, hao wote lao moja Ndugu yangu
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 

Endelea kuota hadi 2030.
Chadema imekula kwao.
 
Endelea kuota, this time Gwajima hachomoki
 
Muungano ufe Tanganyika idai uhuru wake maana mkoloni kaburu toka Zanzibar anawatesa anawamaliza watanganyika kwa kafara kupitia utekaji wa Polisiccm
 
Haiwezekani hata kidogo.
Kufungiwa Kanisa la Askofu Gwajima kimemfurahusha sana kwasababu anafikiri waumini wataenda kuswali misikitini.
 
Alisikitishwa pia na kutekwa na baadae kifo cha Ali Kibao,baada ya siku chache akasema kifo ni kifo tu๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Haiwezekani hata kidogo.
Kufungiwa Kanisa la Askofu Gwajima kimemfurahusha sana kwasababu anafikiri waumini wataenda kuswali misikitini.
Waumini wanamsomea Albadiri na wenzake ccm watamkataa mda si mrefu na Dr mpango kuwa Rais wa mpito
 
Muungano ufe Tanganyika idai uhuru ili Dikteta kaburu ibirisi wa Zanzibar abakie kwao
JPM alikuwa Mzanzibari? Mbona aliwapiga nyundo za uhakika kuliko hata Rasi mpendwa Dk. Samia? Ukileta kiburi mahala popote pale unanyooshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ