Ikitokea Rais Samia akakemea kufungwa kanisa la Gwajima na kutengua uteuzi wa Bashungwa CCM hawatamsifia?

Alisikitishwa pia na kutekwa na baadae kifo cha Ali Kibao,baada ya siku chache akasema kifo ni kifo tu😊😊😊
ibirisi mkoloni kaburu shetani toka Zanzibar hana huruma na watanganyika yeye kazi yake ni kuona watu wanatekwa wanauawa ndiyo furaha yake, mzanzibar anawaua watanganyika kwa msaada wa vibaraka Polisiccm
 
Pumbavu,uandishi wako siyo mzuri kabisa
 
Sema mleta thread enzi za JPM ulikuwa unafurahia rafu alizokuwa anacheza sasa hivi naona haunufaiki ndio unahubiri haki ? Hii ndio tunaita karma
 
JPM alikuwa Mzanzibari? Mbona aliwapiga nyundo za uhakika kuliko hata Rasi mpendwa Dk. Samia? Ukileta kiburi mahala popote pale unanyooshwa
Magufuli hakuwa na ushetani kama wa huyu ibirisi mama iddy Amin huyu ni shetani wa kutupwa
 
Hawezi kufanya hivyo hata dk 1. yaani amtumbue waziri wa mambo ya ndani kwa kutokomesha tabia zake (rais) za utekaji?
 
Ukweli mchungu ni kwamba hiyo njia ya kuzuia uchaguzi haiwezi kufanya kazi kwa serikali ambayo iko madarakani kimabavu
 
Genge=Mama mtu, Mkwe, mafwee(playmaker mkuu/mtekelezaji/mpanga mipango +vikosi), mtoto mtu(funder)
Hivi vikundi vya kishetani ndiyo washauri haramu wa mama iddy Amin dada ibiris mkoloni kaburu toka Zanzibar mtesi wa watanganyika
 
Unamfundisha kazi wakati yeye mwenyewe alishasema hapangiwi cha kufanya
 
Mimi ningekua raisi ningefanya hivyo, sijui anashindwa nini aisee.
 
Hawezi kufanya hivyo hata dk 1. yaani amtumbue waziri wa mambo ya ndani kwa kutokomesha tabia zake (rais) za utekaji?
Bashungwa utekaji mauaji kwake ni Dili ni mchongo ni njia haramu za kujipatia pesa za walipa kodi kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasa
 
Mimi ningekua raisi ningefanya hivyo, sijui anashindwa nini aisee.
Matukio ya uonevu ni miradi ya Bashungwa IGP Amos makala na chawaccm ni wizi mpya wa pesa za walipa kodi, hicho kikundi cha kishetani sasa wanapiga pesa kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasa ni watu wa hovyo sana
 
---
cc: Lucas Mwashambwa | Magonjwa Mtambuka |
 
Dah kumbe unafikiri? katika kufikiri kwako kwanini IGP asiwekwe pembeni maana uwaziri ni cheo cha kisiasa
Wamegawana bilion 15 walizopewa juzi na ibirisi mama iddy Amin huyo IGP ni shetani ni kinara wa kumpotosha mama mkoloni kaburu toka Zanzibar
 
Bashungwa utekaji mauaji kwake ni Dili ni mchongo ni njia haramu za kujipatia pesa za walipa kodi kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasa
Bashungwa ana miezi mingapi wizarani? Tokea 2021 mpaka 2024 waziri alikuwa Masauni na utekaji ulikuwepo kama kawaida wala hakuwai kukemea hii inaonyesha suala la utekaji liko juu ya uwezo na mamlaka ya waziri. Kumtoa waziri yeyote au IGP au afisa yeyote wa polisi ni just kufunika kombe mwana haramu apite ili utekaji ukome tunatakiwa kudeal na shina sio tawi, waziri na walioko chini yake ni matawi shina kuu lipo.
 
Matukio ya uonevu ni miradi ya Bashungwa IGP Amos makala na chawaccm ni wizi mpya wa pesa za walipa kodi, hicho kikundi cha kishetani sasa wanapiga pesa kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasa ni watu wa hovyo sana
Saivi zigo la nnya lipo kwa raisi, mimi ningekua raisi ningetumbua yeyote tu abebe lawama.
 
Watu walawitiwe asiongee alafu Gwajima alomtaja mtoto wake 'mpendwa' kuhusu utekwaji ndiyo aongee!
Kuwa serious na maisha kijana usituchoshe!!
 
Bashungwa kadandia Gari la ibirisi kawa shetani kuliko waliopita na kibaya zaidi kwa Bashungwa ni kuomba bilion 15 kazi maalum ya kudidimiza demokrasia na vitendo haramu vya kishetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…