GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Chief Ortambo Ikumenye ondoa hilo neno lako la 'ikiwa' kwani ninachojua afe Mmaasai au afe Mmang'ati Dkt. Magufuli anaenda tu Kushinda tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatoshinda , wachambuzi wanadai hatovuka 20%Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania.
Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa kushinda, ni kuacha kabisa kuwachokonoa wapinzani...
Tutaona hayo mengi watakayoongea. Mengine tumeshaanza kuyasikia mtu anafananisha bwawa la kidatu/nyumba ya mungu na Stieglers Gorge. Eti nayo ni mabwawa yalijengwa huko nyuma.Mkuu ni kuwa na washauri wabovu.
Unafikiri angewaacha waendelee na harakati zao leo hii wangeongea nini?...
Sasa si ujibu maendeleo uliyoyaona?jibu kwa hoja. Mimi katka wilaya yangu sjaona barabara ya lami,sjaona hospital iliyojengwa ispokua ya mission,sjaona shule ktk awamu hii iliyojengwa na kukusanya watoto wa maskini watembeao umbali mrefu kw mana ya boarding school,sjaona vijij vikiunganishwa na madarsja kuunganisha shughuli za wananchi nk.sasa wewe kama umeona usitkane Bali jibu kwa hoja. Mara nyingi mnaongea vitu ambavyo sisi wakijjn havna tija kwetu mfano ndege. Fly over sisi hivi havitusaidii!!Jomba usiseme maendeleo hatujayaona..sema wewe hujayaona..unaendelea kudanganyika..tu..endelea hivyohivyo jomba..kwanza tatizo kubwa nadhani ulitegemeaga biashara za madili..ambazo nyingi zimekufa..tafuta kazi ya kufanya jomba kuliko kuja na hoja zisizokuwa na mbele Wala nyuma..watakucheka watu. Umeandika jina lako Kama mkulima, hivi ni kweli hata kilimo kimekushinda...Basi wewe umeshindikana
Hahaha unajifurahisha eeeh..Sasa umeshafurahi...aaaya nenda kakojoe ulale Sasa jombaHatoshinda , wachambuzi wanadai hatovuka 20%
Hakuna mtu anayemshauri hivyo Magu, walishindwaje kumshawishi Kikwete na Mkapa.Shida sio Magufuli, ila ni wshauri wake. Hivi leo una weza kuzuia redio na tv kweli? Zisitangaze habari fulani? Su wao Ccm ndio wana jidanganya hizo habari hazionekani?? Mambo ya utopolo kabisa
Hakuna maendeleo Tanzania, unailinganisha na nchi gani kwa maendeleoJomba usiseme maendeleo hatujayaona..sema wewe hujayaona..unaendelea kudanganyika..tu..endelea hivyohivyo jomba..kwanza tatizo kubwa nadhani ulitegemeaga biashara za madili..ambazo nyingi zimekufa..tafuta kazi ya kufanya jomba kuliko kuja na hoja zisizokuwa na mbele Wala nyuma..watakucheka watu. Umeandika jina lako Kama mkulima, hivi ni kweli hata kilimo kimekushinda...Basi wewe umeshindikana
hayo yote yatahitimisha utawala wake oct,28/2020Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania.
Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa kushinda, ni kuacha kabisa kuwachokonoa wapinzani.
Wapinzani waachwe na kuishi maisha yao na ku play part yao kama kusudi la kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
Binafsi pamoja na kuegemea upande wa CCM ila sijafurahishwa kabisa na baadhi ya matukio ndani ya miaka mitano iliyopita ya kukandamiza upinzani.
Tukio la kupigwa risasi Lisu, hila za kununua viongozi wa upinzani, vitabaki kama doa lisilofutika kwa utawala wa kwanza wa Magufuli. Ni moja wapo ya mbinu chafu za kisiasa karne hii ya utandawazi.
Kwa hizi wiki chache za ujio wa Lissu na mapokeo yake, ni kama vile upinzani umekuwa na nguvu maradufu pamoja na hila zote hizo chafu.
Najua wanadamu hukosea, Magufuli rais wangu kweli hapo ni mahali alikosea, lakini ana uwezo wa kuparekebisha endapo akichaguliwa tena.
Awaache upinzani waishi maisha yao kama maana ya kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini.
Sikilza wewe mwana CCM. Magufuli hashindi uraisi mwaka huu. Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025 ni Tundu Antipas Lissu!
Kama wewe unasoma Biblia nenda kasome hadithi ya Mfalme Saul na Mfalme Daudi alafu Njoo hapa niambie kama umeona tofauti yeyote kati ya yanayoendelea baina ya Magufuli na Tundu Lissu!
Kwani Kina James delicious , Nabii Tito na Kelvin Events wapo Tanzania au nje ya Tanzania ya magufuliHiyo biblia umeibinafsisha. Mzee wa kutopeep kwenye people’s Bedrooms
Nchi yetu imechafuliwa sana kwenye ulingo wa kimataifa.
Upinzani haujawahi minywa, isipokuwa upinzani ulijisahau na kuhisi kuvunja taratibu za kidemokrasia sii tatizo kwani walifanya hivyo kwa miaka mingi hivyo wakaamua kuhalalisha, sasa matokeo yake ndio wanayaona hivi sasa mwishowe wanaanza kulalamika ya kuwa wanaminywa.Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania.
Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa kushinda, ni kuacha kabisa kuwachokonoa wapinzani.
Wapinzani waachwe na kuishi maisha yao na ku play part yao kama kusudi la kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
Binafsi pamoja na kuegemea upande wa CCM ila sijafurahishwa kabisa na baadhi ya matukio ndani ya miaka mitano iliyopita ya kukandamiza upinzani.
Tukio la kupigwa risasi Lisu, hila za kununua viongozi wa upinzani, vitabaki kama doa lisilofutika kwa utawala wa kwanza wa Magufuli. Ni moja wapo ya mbinu chafu za kisiasa karne hii ya utandawazi.
Kwa hizi wiki chache za ujio wa Lissu na mapokeo yake, ni kama vile upinzani umekuwa na nguvu maradufu pamoja na hila zote hizo chafu.
Najua wanadamu hukosea, Magufuli rais wangu kweli hapo ni mahali alikosea, lakini ana uwezo wa kuparekebisha endapo akichaguliwa tena.
Awaache upinzani waishi maisha yao kama maana ya kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini.
MarekaniHakuna maendeleo Tanzania, unailinganisha na nchi gani kwa maendeleo
Point BroAkifanikiwa kupewa urais awasikilize wananchi wanataka nini asilazimishe wananchi kukubali na kusifia anavyotaka yeye.
Watu wamefunga ili kitokee kitu aondoke duniani. Watu wanamuomba mungu kwa udi na uvumba hayo yatokee. Siku hiyo bia zitaadimika. Amesababisha taarifa ya habari hatusikilizi wala kuangalia, tupo mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya nje.Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania.
Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa kushinda, ni kuacha kabisa kuwachokonoa wapinzani.
Wapinzani waachwe na kuishi maisha yao na ku play part yao kama kusudi la kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
Binafsi pamoja na kuegemea upande wa CCM ila sijafurahishwa kabisa na baadhi ya matukio ndani ya miaka mitano iliyopita ya kukandamiza upinzani.
Tukio la kupigwa risasi Lisu, hila za kununua viongozi wa upinzani, vitabaki kama doa lisilofutika kwa utawala wa kwanza wa Magufuli. Ni moja wapo ya mbinu chafu za kisiasa karne hii ya utandawazi.
Kwa hizi wiki chache za ujio wa Lissu na mapokeo yake, ni kama vile upinzani umekuwa na nguvu maradufu pamoja na hila zote hizo chafu.
Najua wanadamu hukosea, Magufuli rais wangu kweli hapo ni mahali alikosea, lakini ana uwezo wa kuparekebisha endapo akichaguliwa tena.
Awaache upinzani waishi maisha yao kama maana ya kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini.
Itakuwa Mwigulu Nchemba au Makonda.Kama kuna mtu Magufuli na CCM wanapaswa kumlaani ni yule aliyetoa wazo la kumpiga risasi Lissu. Huyo ndo mwanaCCM Mpumbavu kuliko wote japokuwa wakati anatoa wazo lake la kipumbavu aliungwa mkono.
Kwa akili za hivyo vichwa viwili inawezekana.Itakuwa Mwigulu Nchemba au Makonda.