Uchaguzi 2020 Ikiwa Dkt. Magufuli atafanikiwa kushinda, aachane na agenda za kuminya Upinzani

Shida sio Magufuli, ila ni wshauri wake. Hivi leo una weza kuzuia redio na tv kweli? Zisitangaze habari fulani? Su wao Ccm ndio wana jidanganya hizo habari hazionekani?? Mambo ya utopolo kabisa
sio kwamba hawapendi tu kuzisikia?
 

Umeandika upuuzi ...bao lako lililokutunga wewe bora llingemwagwa baharin samaki wale ..wewe ni mtu wa ovyo
 
Kama kuna mtu Magufuli na CCM wanapaswa kumlaani ni yule aliyetoa wazo la kumpiga risasi Lissu. Huyo ndo mwanaCCM Mpumbavu kuliko wote japokuwa wakati anatoa wazo lake la kipumbavu aliungwa mkono.

sidhan kama magufuli ana nia mbaya ya kuminya demokrasia ila kuna watu wanatumika na nchi za nje kuharibu nchi, hio ata ingekua ni mm no way than elimination! imagine mtu anafurahia eti kisa tanzania imeingia kwenye mtatizo,, we angalia vyama vingine vinavofanya kampeni za kistarabu na wanaweka maslahi ya nchi mbele ushawahi kuskia wanasumbuliwa?

sasa hawa wengine ni wa kushuhulikia mpaka wahame nchi, hatuwezi kuruhusu upuuzi kama huu, na unafki
 
Mkuu kama umeyaona yaliyo moyoni mwangu na kuyaweka kwenye maandishi. Watu wengi wanashadadia upinzani sasa hivi kwasababu ya aliyoyafanya jiwe ambayo hatukuyategemea kabisa. Siyarudii kuyataja kwasababu tayari ushayasema, wengine hawakuwa wanachama wa vyama vya upinzani ila watawapigia kura upinzani especially Lissu kwasababu yakutopendezwa na udhalimu wote uliokuwa ukifanyika kipindi hiki chote cha miaka 5.
 
Watanzania wengi tumemchoka huyu mwenye kudharau raia na Taasisi ya Urais

Anakwambia maendeleo hayana vyama, hapo hapo kesho yake anaponda wananchi wa jimbo fulani kwa kumchagua mpinzani na kuwaambia nendeni mkamdai huyo mbunge wenu maendeleo. Hivi kweli kauli kama hii inatoka kwa kiongozi mkuu wa nchi?
God forbids
 
watu wanaongezeka kwenye mikutano ya Lissu kutaka kujua ni vitu gani hivyo ambavyo serikali haitaki tuvisikie kwenye vyombo vya habari.
Watu wamepata sehemu ya kusikia vitu ambavyo walizuiliwa kwa miaka 5 wasivijue.
Natamani Prof. Assad angekuwa mwanasiasa
 
Atafanikuwa kushinda ? Huyo ni mshindi tayari. We vipi ?
 
Kama mtu alizaliwa na roho mbaya ataendelea kuwa na roho mbaya!
 
Magufuli akifanikiwa kushinda urais awamu hii ndio ataongeza mbinyo na baadhi ya viongozi wa upinzani itabidi waende uhamishoni la sivyo yatawakuta yaliyomkuta Lisu 2017.

Mniombeeee nisiwe na kiburi.
 
Ukiwa mpinzani, ccm hawaoni kazi kuku smash
 
Shida sio Magufuli, ila ni wshauri wake. Hivi leo una weza kuzuia redio na tv kweli? Zisitangaze habari fulani? Su wao Ccm ndio wana jidanganya hizo habari hazionekani?? Mambo ya utopolo kabisa
Tunamlaumu mshauri yupi hapo ?
 
kushinda Urais sio kama kuokota nazi ndugu! , endeleeni kuota ,huu uchaguzi kwenye Urais msijidanganye , pambanieni ubunge tu!.. maan si vibaya kuishi kwa matumaini !.
Sikiliza wewe DC wa Kitopeni,, mwaka huu mpaka mjambe cheche Lissu kawakamateni mmekamatika. Magufuli hashindi Urais full stop!
 
Umeandika upuuzi ...bao lako lililokutunga wewe bora llingemwagwa baharin samaki wale ..wewe ni mtu wa ovyo
Mtu wa ovyo sababu nimezungumza ukweli mtupu ambao ata wewe na huo ubongo wako wa mende unaujua.
 
Sikiliza wewe DC wa Kitopeni,, mwaka huu mpaka mjambe cheche Lissu kawakamateni mmekamatika. Magufuli hashindi Urais full stop!
Ila Magufuli ana all necessary means za kumuwezesha kuwa rais wa awamu ijayo unlike Tundu Lisu anayetegemea kura za wananchi pekee.

The struggle is real.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…