Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

Iwe isiwe nimedhamiria hizi pesa niendelee kuwa nazo tu maana hakika ni sabuni ya roho, ndio maana niko ughaibuni kwa watu huku nabeba maboksi ili nizishike tu maana huko bongo mimi nakuwa mfalme na napewa kiti cha mbele kila mahali.
Masuala ya kuwa masikini jeuri yamepitwa na wakati...
 
Wee
β€’ 🀣🀣🀣🀣, Dah, umetisha sana,

β€’ hapo elewa Kabisa kwenye orodha ya watu muhimu wewe haupo Kabisa,
Brother tutafute Hela jamani,yaani Hadi wazazi waliokuzaa wanakunyanyapaa na kumtukuza mtoto wao mwenye pesa.Mwenye pesa ndio anaitwa Kwa jina la ukoo,yaani yeye ndio identity,yeye ndio pride of the family......
mfano
utasikia "hii fensi kajenga "Dadi"Mapunda hiyo dadi ni kivumishi maana yake "baba"halafu utasikia
Halafu utasikia aliendelea kusema

"""Ile mihogo pale mbegu alileta "Erasto"........

Hapo kimsingi huyo Mapunda ni mdogo,Aliayetanguliwa kuzaliwa ni Erasto,,lakini heshima ataibeba mdogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

maana huko bongo mimi nakuwa mfalme na napewa kiti cha mbele kila mahali.
πŸ˜€πŸ˜€, kwa mwendo huu, nina imani Kabisa utatafuta hela, iwe jua, iwe mvua, ili heshima yako isishuke Kiwango.
 
Umeongea ukweli lakini..
 
Ndo huwa hivyo mkuu, Hata uwe mpole na heshima vipi, kama hela hamna, huwezi ukaeleweka kwenye ukoo. 😟😟😟,
 
Hivi mnazijua pesa nyie watu weusi au mnavimbiana na vihela vya nyanya?

Hivyo vichenchi vya mboga ndio vinawatisha hadi mtake kuua udugu!
😁😁, Ukiwa una hela ya kubadilishia mboga, kutwa mara Tatu siyo Mbaya. Heshima utapewa.
 
Solusheni ni kuhama ukoo tu.
 
Hii yote ni kutokujiamin tu. Pesa zina msimu mkuu na kila binadamu ana msimu wake so kama huna usihisi uko kwenye fungu la kukosa hapana.
Correct mkuu, ila kuna wale wa milele na milele, hela hazipatikani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…