Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Kabisa kwa asilimia kubwa bila pesa no ndoa/mahusiano.Yah sisi watu wa maandiko tunaita generation x yaani kizazi Cha siku za mwisho we uoni hata ndoa zilivyo sasa bila pesa hakuna ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kwa asilimia kubwa bila pesa no ndoa/mahusiano.Yah sisi watu wa maandiko tunaita generation x yaani kizazi Cha siku za mwisho we uoni hata ndoa zilivyo sasa bila pesa hakuna ndoa
Ni kwelii......wao wameona sio jawabu baada ya kuwa nazo ma karne kwa ma karne.Hela sio jawabu la kila kitu waulize wazungu
Brother tutafute Hela jamani,yaani Hadi wazazi waliokuzaa wanakunyanyapaa na kumtukuza mtoto wao mwenye pesa.Mwenye pesa ndio anaitwa Kwa jina la ukoo,yaani yeye ndio identity,yeye ndio pride of the family......• 🤣🤣🤣🤣, Dah, umetisha sana,
• hapo elewa Kabisa kwenye orodha ya watu muhimu wewe haupo Kabisa,
Kwa sababu tunazitafuta na hatuzikuti.Ni kwelii......wao wameona sio jawabu baada ya kuwa nazo ma karne kwa ma karne.
Kwa upande wetu ndio mpango mzima.
Iwe isiwe nimedhamiria hizi pesa niendelee kuwa nazo tu maana hakika ni sabuni ya roho, ndio maana niko ughaibuni kwa watu huku nabeba maboksi ili nizishike tu maana huko bongo mimi nakuwa mfalme na napewa kiti cha mbele kila mahali.
Masuala ya kuwa masikini jeuri yamepitwa na wakati...
😀😀, kwa mwendo huu, nina imani Kabisa utatafuta hela, iwe jua, iwe mvua, ili heshima yako isishuke Kiwango.maana huko bongo mimi nakuwa mfalme na napewa kiti cha mbele kila mahali.
Umeongea ukweli lakini..Umaskini ni mbaya sana, hasa pale ikiwa ndani ya ukoo wewe ndiye maskini zaidi kuliko wengine, epuka mikusanyiko ya familia hadi uwe na pesa.
• Ikiwa unajua wewe ndiye masikini zaidi kati ya ndugu zako au hufanyi vizuri kwenye masuala ya kifedha, ninapendekeza uepuke matukio ya familia au mikusanyiko hadi uwe na pesa. Kama kuna ulazima wa kuhudhuria, keti kwa huruma kwenye kona kama mgeni. Waruhusu watu wanaotoa chakula na zawadi wakuhudumie kama mmoja wa wageni, ili usije ukajiaibisha. Usikae karibu na mahali ambapo chakula na vinywaji vinatolewa , kaa sehemu ambayo utaonekana ni mtu tu wa kawaida.
Hii itakusaidia:-
• Kuepuka Mizozo: Tofauti kubwa za kiuchumi zinaweza kusababisha mizozo na mvutano ndani ya familia. Kwa kuiepuka mikusanyiko, inaweza kupunguza nafasi ya kutokea mizozo inayohusiana na masuala ya pesa.
• Kuhifadhi Heshima: Kuepuka mikusanyiko kunaweza kusaidia kuhifadhi heshima ya kila mwanafamilia. Baadhi wanaweza kujisikia vibaya kuhusu hali yao ya kiuchumi, kujitenga au kukaa mbali nao inaweza kusaidia kuzuia aibu au kujisikia kutengwa.
• Kupunguza Mizaha na Kupotosha: Kwa kuepuka kuchanganyikana na familia, inaweza kuzuia mizaha au vitendo visivyofaa vinavyoweza kutokea kutokana na tofauti za kiuchumi.
• Kutoa Nafasi ya Kibinafsi: Kujitenga inaweza kutoa nafasi kwa kila mwanafamilia kushughulikia masuala yao ya kiuchumi kwa faragha bila shinikizo la umma au kujitetea.
• Kuepuka Uonevu: Tofauti za kiuchumi zinaweza kusababisha hisia za uonevu au wivu. Kuepuka mikusanyiko kunaweza kupunguza nafasi ya hali hizo kutokea na kuhifadhi amani ndani ya familia.
Hata ukopitilizwa hapo njiia hapa hulalamiki maana hujachangia mafuta ..Huna hela unakuballi yote• 😁😁, Hata wakuachie hela, haiwezi kuzidi Tsh.7000/-
• Au Utasikia mpeni lift huyo, tutamuacha pale njia panda. 😀
Ndo huwa hivyo mkuu, Hata uwe mpole na heshima vipi, kama hela hamna, huwezi ukaeleweka kwenye ukoo. 😟😟😟,Wee
Brother tutafute Hela jamani,yaani Hadi wazazi waliokuzaa wanakunyanyapaa na kumtukuza mtoto wao mwenye pesa.Mwenye pesa ndio anaitwa Kwa jina la ukoo,yaani yeye ndio identity,yeye ndio pride of the family......
mfano
utasikia "hii fensi kajenga "Dadi"Mapunda hiyo dadi ni kivumishi maana yake "baba"halafu utasikia
Halafu utasikia aliendelea kusema
"""Ile mihogo pale mbegu alileta "Erasto"........
Hapo kimsingi huyo Mapunda ni mdogo,Aliayetanguliwa kuzaliwa ni Erasto,,lakini heshima ataibeba mdogo😂😂😂😂😂
Mungu atupambanie Kwa kweli...Ndo huwa hivyo mkuu, Hata uwe mpole na heshima vipi, kama hela hamna, huwezi ukaeleweka kwenye ukoo. 😟😟😟,
Solusheni ni kuhama ukoo tu.Umaskini ni mbaya sana, hasa pale ikiwa ndani ya ukoo wewe ndiye maskini zaidi kuliko wengine, epuka mikusanyiko ya familia hadi uwe na pesa.
• Ikiwa unajua wewe ndiye masikini zaidi kati ya ndugu zako au hufanyi vizuri kwenye masuala ya kifedha, ninapendekeza uepuke matukio ya familia au mikusanyiko hadi uwe na pesa. Kama kuna ulazima wa kuhudhuria, keti kwa huruma kwenye kona kama mgeni. Waruhusu watu wanaotoa chakula na zawadi wakuhudumie kama mmoja wa wageni, ili usije ukajiaibisha. Usikae karibu na mahali ambapo chakula na vinywaji vinatolewa , kaa sehemu ambayo utaonekana ni mtu tu wa kawaida.
Hii itakusaidia:-
• Kuepuka Mizozo: Tofauti kubwa za kiuchumi zinaweza kusababisha mizozo na mvutano ndani ya familia. Kwa kuiepuka mikusanyiko, inaweza kupunguza nafasi ya kutokea mizozo inayohusiana na masuala ya pesa.
• Kuhifadhi Heshima: Kuepuka mikusanyiko kunaweza kusaidia kuhifadhi heshima ya kila mwanafamilia. Baadhi wanaweza kujisikia vibaya kuhusu hali yao ya kiuchumi, kujitenga au kukaa mbali nao inaweza kusaidia kuzuia aibu au kujisikia kutengwa.
• Kupunguza Mizaha na Kupotosha: Kwa kuepuka kuchanganyikana na familia, inaweza kuzuia mizaha au vitendo visivyofaa vinavyoweza kutokea kutokana na tofauti za kiuchumi.
• Kutoa Nafasi ya Kibinafsi: Kujitenga inaweza kutoa nafasi kwa kila mwanafamilia kushughulikia masuala yao ya kiuchumi kwa faragha bila shinikizo la umma au kujitetea.
• Kuepuka Uonevu: Tofauti za kiuchumi zinaweza kusababisha hisia za uonevu au wivu. Kuepuka mikusanyiko kunaweza kupunguza nafasi ya hali hizo kutokea na kuhifadhi amani ndani ya familia.
😂Na hawana muda wa kukuuliza unatumia kinywaji gan utashangaa tuu unatupiwa li mo energy uhangaike nalo na usijandanye useme hutumii utaambiwa unaleta fujo