Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

Kabisa
Nakumbuka madogo krismas moja Moshi...wananiambia...bro kashushe mkaa kwenye gari...😐..lilinitoka tusi na babu akanitetea...
Sasa hivi alhamdulilah siendi Moshi kwa kuomba lift.
Nakumbuka madogo krismas moja Moshi...wananiambia...bro kashushe mkaa kwenye gari...😐

Ukiwa huna hela, utasikia mpe soda mirinda nyeusi huyo.
 
Umaskini ni mbaya sana, hasa pale ikiwa ndani ya ukoo wewe ndiye maskini zaidi kuliko wengine, epuka mikusanyiko ya familia hadi uwe na pesa.

• Ikiwa unajua wewe ndiye masikini zaidi kati ya ndugu zako au hufanyi vizuri kwenye masuala ya kifedha, ninapendekeza uepuke matukio ya familia au mikusanyiko hadi uwe na pesa. Kama kuna ulazima wa kuhudhuria, keti kwa huruma kwenye kona kama mgeni. Waruhusu watu wanaotoa chakula na zawadi wakuhudumie kama mmoja wa wageni, ili usije ukajiaibisha. Usikae karibu na mahali ambapo chakula na vinywaji vinatolewa , kaa sehemu ambayo utaonekana ni mtu tu wa kawaida.

Hii itakusaidia:-
Kuepuka Mizozo: Tofauti kubwa za kiuchumi zinaweza kusababisha mizozo na mvutano ndani ya familia. Kwa kuiepuka mikusanyiko, inaweza kupunguza nafasi ya kutokea mizozo inayohusiana na masuala ya pesa.

Kuhifadhi Heshima: Kuepuka mikusanyiko kunaweza kusaidia kuhifadhi heshima ya kila mwanafamilia. Baadhi wanaweza kujisikia vibaya kuhusu hali yao ya kiuchumi, kujitenga au kukaa mbali nao inaweza kusaidia kuzuia aibu au kujisikia kutengwa.

Kupunguza Mizaha na Kupotosha: Kwa kuepuka kuchanganyikana na familia, inaweza kuzuia mizaha au vitendo visivyofaa vinavyoweza kutokea kutokana na tofauti za kiuchumi.

Kutoa Nafasi ya Kibinafsi: Kujitenga inaweza kutoa nafasi kwa kila mwanafamilia kushughulikia masuala yao ya kiuchumi kwa faragha bila shinikizo la umma au kujitetea.

Kuepuka Uonevu: Tofauti za kiuchumi zinaweza kusababisha hisia za uonevu au wivu. Kuepuka mikusanyiko kunaweza kupunguza nafasi ya hali hizo kutokea na kuhifadhi amani ndani ya familia.
Sio kifamilia tuu hata kama Kuna watu umesoma nao ni rika Moja, wakati huo labda ulikuwa mjanja wa darasa angalau mambo safi kidogo kiuchumia au kichwani

Kuna Yale makundi ya mliosoma nao pamoja ,wengine Sasa wapo mamtoni, linguine lilikuwa ndio uzembe darasa Zima Sasa wametoboa kimaisha, kwenye kundi like wanazungimzia mipango mikubwa ya kimaisha ambako wewe uwezo huo HAUNA, michango mingi na mizito

Kimbia kwenye hilo kundi left kabisa Anza kupambana kwa level ya uchumi wako na kundi lako kwa Sasa liwe line mnaloendana nalo. Tofauti na hapo utadharaulika au kuulazimisha mambo uingie kwenye uhalifu
 
Mimi nafikiri shida moja ya familia nyingi ni kubwa wabinafsi na kukosa upendo baina yao kama familia ina upendo lazima mbebane, hutamdharau mwingine.

Sisi huwa tunakutana kila mwaka kwa wazee, hatuangalii nani anayo zaidi apewe heshima Lah wote tunaheshimiana hata kama mmoja tunajua anakipatato kidogo basi huwa tunamsupport ili wote tuende level.
Mimi nafikiri shida moja ya familia nyingi ni kubwa wabinafsi na kukosa upendo baina yao kama familia ina upendo lazima mbebane, hutamdharau mwingine.

Hasa hasa sisi rangi nyeusi, Ni changamoto sana, utakuta kwenye familia wawili ni matajiri haswa ila wanaobakia ni maskini wa kutupwa.
 
Mambo ya pesa labda kwenu, huku kwetu kawaida kwanza mambo ya ukoo sijawahi kukaa kikao tangu nazaliwa ...Huo muda sana labda emergency kama kuzika hata harusi sishiriki.

Pesa sio kila kitu ila ni muhimu sana.
Wewe umejitenga sana mkuu, ila kuna makabila kila mwisho wa mwaka lazima wakutane, wenzio wamekuja wamenona mifukoni, alafu wewe unaenda shingo imenyonyoka, jua limewaka mfukoni. 😐
 
Wewe umejitenga sana mkuu, ila kuna makabila kila mwisho wa mwaka lazima wakutane, wenzio wamekuja wamenona mifukoni, alafu wewe unaenda shingo imenyonyoka, jua limewaka mfukoni. 😐
Huo ushamba sio wote wanaenda...Maisha haya kila mtu ana ratiba zake kikubwa kupush wazazi wapata kitu....Ndugu pia ila vikao mwisho wa siku ugomvi tu ..
 
Sio kifamilia tuu hata kama Kuna watu umesoma nao ni rika Moja, wakati huo labda ulikuwa mjanja wa darasa angalau mambo safi kidogo kiuchumia au kichwani

Kuna Yale makundi ya mliosoma nao pamoja ,wengine Sasa wapo mamtoni, linguine lilikuwa ndio uzembe darasa Zima Sasa wametoboa kimaisha, kwenye kundi like wanazungimzia mipango mikubwa ya kimaisha ambako wewe uwezo huo HAUNA, michango mingi na mizito

Kimbia kwenye hilo kundi left kabisa Anza kupambana kwa level ya uchumi wako na kundi lako kwa Sasa liwe line mnaloendana nalo. Tofauti na hapo utadharaulika au kuulazimisha mambo uingie kwenye uhalifu

Sio kifamilia tuu hata kama Kuna watu umesoma nao ni rika Moja, wakati huo labda ulikuwa mjanja wa darasa angalau mambo safi kidogo kiuchumia au kichwani.

• Asilimia kubwa, majamaa yaliyo kuwa majinga darasani ndo yanamiliki mpunga wa kutosha,

• ila kama umesoma mpaka degree, alafu ukarudi tena mwanzo kuendesha bodaboda, dah 😎😎
 
Back
Top Bottom