Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa hata ukijifanya huelewi nafsi lazima iteseke.Nafsi mkuu, utakuta kwenye familia/ukoo vijana wadogo umewazidi umri, lakini kifedha wamekuacha mbali 😟, Moyo lazima uteseke kiasi fulani.
Mzungu na mtu mweusi yupi mnafiki ?Umesahau tabia nyingine za wazungu hao hao.
1.Unyonyaji.
2.Uonevu hasa Kwa ngozi nyeusi.
3.Unafiki kutoa tabasamu fake we unajua upendo.
4.uchawi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Vyote anaongoza mzungu sema mwenzie anatumia akili kumzidiMzungu na mtu mweusi yupi mnafiki ?
Mzungu na mtu mweusi yupi tapeli na mnyonyaji ?
Ulishafanya kazi au biashara na mzungu na ukalinganisha ilivyofanya na mweusi ?
Watu weusi tuna matatizo mengi
Hilo nalo nenoNaam statement ya mwaka. Usipojituma utatumwa
Kuna ule mtindo wa kuanzisha group la waliosoma shule fulani/classmates eti group la kuanzisha mfuko wa maendeleo, mara muanzishe kampuni fulani au mradi fulani wa kujipatia fedha kwa maendeleo. Mbaya zaidi wale wenye hela nyingi huona wenye vipato vidogo wanataka kuwapiga na mwisho gruoup hufa kifo cha mende. Kali zaidi ni wale tuliosoma shule fulani kuanzisha harambee ya kukarabati shule tuliosoma. Sasa hapa ex students watachanga nini na ajira hawana? Hiyo michango ya kukarabati shule wachange wenye ajira tena wenye super scale zinazofanana/karibiana. Wengine wenye vilaki ni kujiabisha tu bora usichange ondoka kwenye mpango huo
Mbaya zaidi wale wenye hela nyingi huona wenye vipato vidogo wanataka kuwapiga na mwisho gruoup hufa kifo cha mende.
• Tabia za mzungu ni zuri ikiwa wao kwa wao,, ila hawezi kumpenda mu Africa hawa iwejeTabia asilia za mtu mweusi.
1.Ujivuni
2.Ujuaji
3.Kejeli/Dharau
4.Wivu/Husda
5.Anasa
Tabia asilia za mzungu.
1.Upendo
2.Huruma
3.Kujitoa
4.Kusaidia wasiojiweza
5.Kujali zaidi utu.
NB: Mtu ukishamjua hakupi tabu.
Magroup yakishaanza michango ndio kifo chao..Kuna ule mtindo wa kuanzisha group la waliosoma shule fulani/classmates eti group la kuanzisha mfuko wa maendeleo, mara muanzishe kampuni fulani au mradi fulani wa kujipatia fedha kwa maendeleo. Mbaya zaidi wale wenye hela nyingi huona wenye vipato vidogo wanataka kuwapiga na mwisho gruoup hufa kifo cha mende. Kali zaidi ni wale tuliosoma shule fulani kuanzisha harambee ya kukarabati shule tuliosoma. Sasa hapa ex students watachanga nini na ajira hawana? Hiyo michango ya kukarabati shule wachange wenye ajira tena wenye super scale zinazofanana/karibiana. Wengine wenye vilaki ni kujiabisha tu bora usichange ondoka kwenye mpango huo
• 🤔🤔, Hao ni 40 years part 2, wanafanya kazi, bila kusave pesa kwenye account,Unajua Corona tu ilivyochachamaa Co's kibao zikafunga ofisi watu kibao wenye age ya 40's walirudisha mpira kwa kipa?.Huo Ni mfano mmoja tu, Maisha yana mambo mengi Sana.
Vijijini wapo kibao wanakaa kwao ,mjini ndio kuna ubepari ... Wengine huko kijijini wao na watoto wao wanalelewa na wazee wao kazi hawana ,maisha sio rahisi kwa wengine..• Miaka 40, ni parefu sana mkuu,
• Miaka hiyo, Hata wazazi wenyewe, watakuchoka kupita kiasi,( kwa sababu wamezeeka au hata nguvu za kukusaidia hawana)
• Miaka hiyo ukiwa bado upo nyumbani, akili inawaza wazazi wako wafe, ili umiliki nyumba, hakuna lingine.
• 😀😀, Wapo mkuu, wanasema uzi huu hauna maana,Bro,Atakaye shupaza shingo akapuuzi huu waraka kitachomkuta ni halali yake
anatokea kijana wa la saba mwendesha bodaboda mjanjamjanja anaanzisha group la whatsap kwa classmates wake wote walioajiriwa na wenye biashara zao eti waanzishe kampuni ya ujenzi au store ya kuuza vifaa tiba na dawa. Wanachanga wawili watatu wengine hawachangi wakihofia hela zao kupigwa na group linajifia kimyakimyaMagroup yakishaanza michango ndio kifo chao..
Nilikuwa kweny group la ukoo hata watu siwajui sema surname zinafanana...Sasa tulikuwa tunachanga kila mwezi elfu 5...Trend ilikuwa nzuri ila kuna siku ilitokea tatizo ya ghafla inahitajika million 1 ...Wote walikaa kimya mimi sichangii ila nilitoa kwa mkupuo walikaa kimya wote ...
Sidhani kama nikisema mzungu unanielewa. Kuna tofauti kubwa kati ya mzungu na mu Asia.• Tabia za mzungu ni zuri ikiwa wao kwa wao,, ila hawezi kumpenda mu Africa hawa iweje
• Sisi wa Africa, : Maskini anatamani uwe maskini kama yeye, au atafanya kila mbinu ili ufilisike.
• Sisi wa Africa : Tajiri naye anatamani maskini abaki na umasikini ule ule, ili tajiri aendelee kuabudiwa na maskini
RubbishUmaskini ni mbaya sana, hasa pale ikiwa ndani ya ukoo wewe ndiye maskini zaidi kuliko wengine, epuka mikusanyiko ya familia hadi uwe na pesa.
• Ikiwa unajua wewe ndiye masikini zaidi kati ya ndugu zako au hufanyi vizuri kwenye masuala ya kifedha, ninapendekeza uepuke matukio ya familia au mikusanyiko hadi uwe na pesa. Kama kuna ulazima wa kuhudhuria, keti kwa huruma kwenye kona kama mgeni. Waruhusu watu wanaotoa chakula na zawadi wakuhudumie kama mmoja wa wageni, ili usije ukajiaibisha. Usikae karibu na mahali ambapo chakula na vinywaji vinatolewa , kaa sehemu ambayo utaonekana ni mtu tu wa kawaida.
Hii itakusaidia:-
• Kuepuka Mizozo: Tofauti kubwa za kiuchumi zinaweza kusababisha mizozo na mvutano ndani ya familia. Kwa kuiepuka mikusanyiko, inaweza kupunguza nafasi ya kutokea mizozo inayohusiana na masuala ya pesa.
• Kuhifadhi Heshima: Kuepuka mikusanyiko kunaweza kusaidia kuhifadhi heshima ya kila mwanafamilia. Baadhi wanaweza kujisikia vibaya kuhusu hali yao ya kiuchumi, kujitenga au kukaa mbali nao inaweza kusaidia kuzuia aibu au kujisikia kutengwa.
• Kupunguza Mizaha na Kupotosha: Kwa kuepuka kuchanganyikana na familia, inaweza kuzuia mizaha au vitendo visivyofaa vinavyoweza kutokea kutokana na tofauti za kiuchumi.
• Kutoa Nafasi ya Kibinafsi: Kujitenga inaweza kutoa nafasi kwa kila mwanafamilia kushughulikia masuala yao ya kiuchumi kwa faragha bila shinikizo la umma au kujitetea.
• Kuepuka Uonevu: Tofauti za kiuchumi zinaweza kusababisha hisia za uonevu au wivu. Kuepuka mikusanyiko kunaweza kupunguza nafasi ya hali hizo kutokea na kuhifadhi amani ndani ya familia.
Huenda ikawa sahihi ila unafiki wao haufikii wa waafrika.Umesahau tabia nyingine za wazungu hao hao.
1.Unyonyaji.
2.Uonevu hasa Kwa ngozi nyeusi.
3.Unafiki kutoa tabasamu fake we unajua upendo.
4.uchawi
😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe hali teteee..nakumbuka siku nilihuduria kikao cha msiba kanda ya kaskazini mimi kama mkwe wife kanitambulisha kwa mjomba wake kila dakika mjomba ananiuliza umekuja na gari gani
ikabidi tu nimpotezee wao wanadhani kila anayemwoa binti yao ni tajiri
4. Umetambuaje mzungu mchawi wakati wenzio wanajua mzungu si mchawi bali anaenda na sayansi?Umesahau tabia nyingine za wazungu hao hao.
1.Unyonyaji.
2.Uonevu hasa Kwa ngozi nyeusi.
3.Unafiki kutoa tabasamu fake we unajua upendo.
4.uchawi
[emoji23][emoji23][emoji23]