Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

Umesahau tabia nyingine za wazungu hao hao.
1.Unyonyaji.
2.Uonevu hasa Kwa ngozi nyeusi.
3.Unafiki kutoa tabasamu fake we unajua upendo.
4.uchawi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzungu na mtu mweusi yupi mnafiki ?
Mzungu na mtu mweusi yupi tapeli na mnyonyaji ?
Ulishafanya kazi au biashara na mzungu na ukalinganisha ilivyofanya na mweusi ?
Watu weusi tuna matatizo mengi
 

Mbaya zaidi wale wenye hela nyingi huona wenye vipato vidogo wanataka kuwapiga na mwisho gruoup hufa kifo cha mende.

😬😬, Hata ingekuwa ni wewe, lazima ushituke mkuu, kufanya miradi na maskini ni ngumu sana,

β€’ Maana maskini, kichwa chake hapo kitakuwa kiwaza kupiga nyoka tu, angalau apate ya sigara.
 
Tabia asilia za mtu mweusi.
1.Ujivuni
2.Ujuaji
3.Kejeli/Dharau
4.Wivu/Husda
5.Anasa

Tabia asilia za mzungu.
1.Upendo
2.Huruma
3.Kujitoa
4.Kusaidia wasiojiweza
5.Kujali zaidi utu.

NB: Mtu ukishamjua hakupi tabu.
β€’ Tabia za mzungu ni zuri ikiwa wao kwa wao,, ila hawezi kumpenda mu Africa hawa iweje

β€’ Sisi wa Africa, : Maskini anatamani uwe maskini kama yeye, au atafanya kila mbinu ili ufilisike.

β€’ Sisi wa Africa : Tajiri naye anatamani maskini abaki na umasikini ule ule, ili tajiri aendelee kuabudiwa na maskini
 
Magroup yakishaanza michango ndio kifo chao..


Nilikuwa kweny group la ukoo hata watu siwajui sema surname zinafanana...Sasa tulikuwa tunachanga kila mwezi elfu 5...Trend ilikuwa nzuri ila kuna siku ilitokea tatizo ya ghafla inahitajika million 1 ...Wote walikaa kimya mimi sichangii ila nilitoa kwa mkupuo walikaa kimya wote ...
 
Unajua Corona tu ilivyochachamaa Co's kibao zikafunga ofisi watu kibao wenye age ya 40's walirudisha mpira kwa kipa?.Huo Ni mfano mmoja tu, Maisha yana mambo mengi Sana.
β€’ πŸ€”πŸ€”, Hao ni 40 years part 2, wanafanya kazi, bila kusave pesa kwenye account,

β€’ The same to na wale, akifukuzwa kazi leo, gafla anageuka kuwa chokoraa, kwa sababu alikuwa haweki akiba.
 
Vijijini wapo kibao wanakaa kwao ,mjini ndio kuna ubepari ... Wengine huko kijijini wao na watoto wao wanalelewa na wazee wao kazi hawana ,maisha sio rahisi kwa wengine..
 
anatokea kijana wa la saba mwendesha bodaboda mjanjamjanja anaanzisha group la whatsap kwa classmates wake wote walioajiriwa na wenye biashara zao eti waanzishe kampuni ya ujenzi au store ya kuuza vifaa tiba na dawa. Wanachanga wawili watatu wengine hawachangi wakihofia hela zao kupigwa na group linajifia kimyakimya
 
Mi kuna group la ukoo sijaungwa huko na sitaki waniunge, group limesheheni wasomi watupu tena ni watu wazito kwenye nchi hii wakiongoza idara nyeti za serikali. Mi darasa la saba na kahela kangu ka chai ya asubuhi nitachangia nini huko, kwanza nitasilizwa hoja zangu na elimu kubwa sina? Sina shobo na group hilo la ukoo sitaki kuwa na inferiority complex nikose raha na amani
 
Sidhani kama nikisema mzungu unanielewa. Kuna tofauti kubwa kati ya mzungu na mu Asia.
 
Rubbish
 
nakumbuka siku nilihuduria kikao cha msiba kanda ya kaskazini mimi kama mkwe wife kanitambulisha kwa mjomba wake kila dakika mjomba ananiuliza umekuja na gari gani
ikabidi tu nimpotezee wao wanadhani kila anayemwoa binti yao ni tajiri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe hali teteee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…