Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
• Hizo zitakuwa mila zenu mkuu, Maana hata sisi kabila letu, Mwanamke hata awe mkubwa kiasi gani, Siwezi kumuachia kiti/kigoda akae, ( labda awe mama angu wa kinizaa)Sio pesa tu mim nimekulia familia ambayo watoto wa kiume wana thaman sana sisi wa kike takataka ,vitu vizuri vyote wanatunziwa wa kiume ,wajukuu wanapendwa wa kiume kama kuku imepikwa ni kidogo inatunzwa ya wanaume nyie wa kike mle maharage
Mbeya kuzuri sana .
Njia haina expire date kwenye maisha yangu kwasababu hata uwezo wa kuwasaidia ninao ila siwezi kuwasaidia Nyafwili
Nimeumizwa na mengi na ndugu bad enough kwa baba na mama kwasasa nimebaki mimi tu hivyo hawa ndugu wa pembeni hawawezi kunipa stress zozote sababu siwazingatii maana washaniumiza sana na hilo wanalijua so wataongea sana ila hakuna mwenye access ya kuniingia kwa undani.
Ndugu ni wazuri lakini ndugu ni wabaya pia tuishi humo blood.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
• Hizo zitakuwa mila zenu mkuu, Maana hata sisi kabila letu, Mwanamke hata awe mkubwa kiasi gani, Siwezi kumuachia kiti/kigoda akae, ( labda awe mama angu wa kinizaa)
• Kwa maneno uliyo Sema hapi juu, Alafu uwe maskini, [emoji848], sijui itakuwaje??
Zaidi Na hao matajiri wawili wanapambana kabisa ili wengine msifike level zao..Hasa hasa sisi rangi nyeusi, Ni changamoto sana, utakuta kwenye familia wawili ni matajiri haswa ila wanaobakia ni maskini wa kutupwa.
Wanakuona umepoteza network kabisa🤣🤣😅😅😁😁, kama huna hela, Hata ukitoa mawazo, wanahisi kama unawapotosha vile.
😁😁, Unaweza kuwa umesoma fresh, ila ukikaa zaidi ya miaka 6-7 home bila ajira , tayari unawekwa level ya umaskini na ni mtu ambaye ulienda kupoteza mda shuleni. ( kwa hiyo huna faida yeyote ile)Wanakuona umepoteza network kabisa🤣🤣😅😅
Popote unapoishi hapa duniani ndugu yako ni yule wakuzaliwa hawa wajinga wa kuitwa sijui watoto wa mama mdogo , sijui wa aunt , sijui binamu ni takataka kama watu baki fanya uwezavyo watupe nje ya mizunguko yako .Sana yaan ndugu majina tu kiukweli ukikaa mbali nao unapata amani ya moyo kabisa,mim kuna ndugu siwasilian nao kabisa na wala sikanyagi makwao
Kuna ndugu zetu zaman walikuwa wana uwezo yaan wakija bib mzaa mama anasema hawa ndio wajukuu zangu sasa [emoji23][emoji23][emoji23],pesa zimewaishia wanaishi maisha mabaya mpaka huruma wamekuwa wapoleee kama sio wao mpaka wamerudi kuish nyumba ya bib alipofariki wameuza nyumba zote
Duh ni hatari ila bro zako wanakujali?Sio pesa tu mim nimekulia familia ambayo watoto wa kiume wana thaman sana sisi wa kike takataka ,vitu vizuri vyote wanatunziwa wa kiume ,wajukuu wanapendwa wa kiume kama kuku imepikwa ni kidogo inatunzwa ya wanaume nyie wa kike mle maharage
[emoji1787][emoji1787]Kabisa
Nakumbuka madogo krismas moja Moshi...wananiambia...bro kashushe mkaa kwenye gari...[emoji52]..lilinitoka tusi na babu akanitetea...
Sasa hivi alhamdulilah siendi Moshi kwa kuomba lift.
• Tabia ya kuwa wanyenyekevu na kuheshimiana ni jambo la kupongezwa, kwani inaweza kuchangia kujenga mazingira mazuri ya kijamii na kuimarisha udugu.Hii nadhani inategemea na koo au familia na mtazamo wa familia au ukoo katika masuala mbalimbali ya maisha, familia yetu au ukoo wetu sisi hukutana Kila ikikaribia nusu ya mwaka, familia zote za ukoo popote zilipo pale huenda kijijini kule kwenye makutano na huandaliwa tafrija yoyote tu Ili kuchangamsha na watu hukaa vizuri na kusalimiana na kuheshimiana, tena wenye nacho Huwa wanyenyekevu sana very humble, kwetu sisi hakuna hicho kitu hivyo inategemea kama nilivyosema huko juu.