Wapelekee moto wa kuzimu kabisa , washenzi sanaNakuambia nilishika hela miaka ya nyuma hapo kidogo kwenye 2013 nikiwa yanki tu nakuambia nyumbani nilikua nasikilizwa kama mfalme, kwenye 2018 mambo yakayumba kwa takribani miaka miwili ndio hapo niliona rangi zao wana familia[emoji23] mpaka rangi za girlfriend wangu....aloo asikuambie mtu hela ni muhimu sana nilionja joto ya jiwe.
Mungu si athumani mambo yakaturudi kuwa super mwaka 2020 naona wote wanajipendekeza na mimi nawaonjesha joto ya jiwe sasa[emoji23][emoji23]
Mtu ambaye anakutreat kama mtu ukiwa na kitu halafu anakutreat kama takataka ukiwa huna kitu ,huyo hakufai , hata kama ni mzazi wako
Ni kumuonyesha ukauzu mpaka siku anaingia kaburini huko asikusahau kabisa