Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Huwezi kua nazo maana wenzako wamejaa wizara zoteChuki utakuwa nazo wewe mkuu, ila mie simo kwenye migongano ya dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kua nazo maana wenzako wamejaa wizara zoteChuki utakuwa nazo wewe mkuu, ila mie simo kwenye migongano ya dini
Bashe yupo kwenye nafasi ileile naibu waziri kilimoKigwa, bashe out
Hakuna hata mmoja.Zanzibar kuna Waziri?
....Baraza ni zuri...limebalance mahitaji,malengo na kasi ya AWAMU HII.....
Sasa CCM ina wafia chama zaidi ya milioni 10....wanaweza kuteuliwa wote?!!
Waislamu wanajipendekeza Kwa mtu anaewaonyesha chuki za wazi kabisaNilikua nafanya uchambuzi hapa, nilidhani ni mimi tu niliyeona. Hii ni hatari aisee.
Yaani acha mie hata wazo la dini sikuwa nalo nilikuwa naangalia kina mama wangapi, nakutana na udini daa nazani ni elimu ndogo/ au ni zile elimu unasoma bila kuelimika unasoma na kutoka mwenyewe si makosa yaoMmeachana na habari wakina mama wsbunge Covid-19 mnahania kwenye udini! Wabunge bhana !
😆😆😆Kwani kafanyaje? Mbona mkuku mkuku??
Ina maana wabunge wote hawakusoma shule!Waislam mlikataa shule kutaka madrassa imekula kwenu hiyo !
Haya sawa, endelea kuomba nanyi mtapata, lakini lazima vigezo viwepo si toa ndugu hiyoHuwezi kua nazo maana wenzako wamejaa wizara zote
Angela naye kaliwa kichwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna mchaga wala mpare atakayetoboa kwenye serikali hii ya Magufuli.
Labda Angela Kairuki.
aliandika Twitter na imekuwa kweliKigogo ni namba wani spy? Utabiri wake Ni zaidi ya ule Sheikh Yahya Hussein
Huwezi kua na wasiwasi maana hata kama baraza Zima lingekua wakristo tupo Ndio furaha yakoYaani acha mie hata wazo la dini sikuwa nalo nilikuwa naangalia kina mama wangapi, nakutana na udini daa nazani ni elimu ndogo/ au ni zile elimu unasoma bila kuelimika unasoma na kutoka mwenyewe si makosa yao
sijui... nisaidieKigogo ndo nani?
Tanzania nzima kuna watu watatu tu Ndio wanakidhi Vigezo vya uwaziri?Haya sawa, endelea kuomba nanyi mtapata, lakini lazima vigezo viwepo si toa ndugu hiyo