Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Wapi nilipoandika kwamba wateuliwe wote? Unadhani hakuna maccm walionuna kuwaona hawa Malaya wa kisiasa ambao wengine hawana hata mwaka ndani ya maccm wakiwa kwenye Baraza Haramu la Mawaziri!? 😳
....Baraza ni zuri...limebalance mahitaji,malengo na kasi ya AWAMU HII.....

Sasa CCM ina wafia chama zaidi ya milioni 10....wanaweza kuteuliwa wote?!!
 
Mmeachana na habari wakina mama wsbunge Covid-19 mnahania kwenye udini! Wabunge bhana !
Yaani acha mie hata wazo la dini sikuwa nalo nilikuwa naangalia kina mama wangapi, nakutana na udini daa nazani ni elimu ndogo/ au ni zile elimu unasoma bila kuelimika unasoma na kutoka mwenyewe si makosa yao
 
Kigwangallah nje. Atulie sasa ale vizuri pesa alizokwapua
 
Yaani acha mie hata wazo la dini sikuwa nalo nilikuwa naangalia kina mama wangapi, nakutana na udini daa nazani ni elimu ndogo/ au ni zile elimu unasoma bila kuelimika unasoma na kutoka mwenyewe si makosa yao
Huwezi kua na wasiwasi maana hata kama baraza Zima lingekua wakristo tupo Ndio furaha yako
 
Kama hao members wa covid19 wangekuwepo ndani, ingekuwa sawa kusema jamaa details zake zinatoka jikoni.

Otherwise alichofanya ni kubashiri tu kwa kuangalia trend ya Jiwe ya kufanya teuzi siku za mwisho wa week.
 
Hivi kigogo ni mwanamke au mwansume..? Huyu jamaa noma alitabili tena alisema na weekend hii na imekuwa
 
1. Wizara ya Maji -Aliyeteuliwa Juma Aweso


2. Wizara ya Habari , Utamaduni Sanaa na Michezo- Aliyeteuliwa Innocent Bashungwa

3.Ofisi ya Waziri Mkuu , Sera , Bunge , Vijana na Wenye Ulemavu Aliyet Jenister Mhagama .

4.Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Aliyeteuliwa Doroth Gwajima ( Mbunge mpya alikuwa naibu katibu mkuu )


5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais- Aliyeteuliwa Mkumbo Kitila


6. Wizara ya Katiba na Sheria- Aliyeteuliwa Mwigulu Nchemba .


7. Wizara ya Elimu , Sayansi na Teknolojia- Aliyeteuliwa Prof Joyce Ndalichako


. 8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi - Aliyeteuliwa Mashimba Mashauri Ndaki .

9. Wizara ya Maliasili na Utalii- Aliyeteuliwa DK Ndumbalo Damas .

10. Wizara ya Ofisi ya Rais- TAMISEMI Suleiman Jaffo

11. Wizara ya Madini- Aliyeteuliwa Dotto Biteko


12. Wizara ya Nishati- Aliyeteuliwa Dkt Medard Kalemani .

13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi- Aliyeteuliwa ( mbunge mpya ) , Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho ( alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi
 
Back
Top Bottom