Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Hahahha... Yani siasa bana!

Mtu anakufunga miezi karibu 9 alafu mwishowe anakwambia njoo tuyajenge, alafu unaanza kushangilia!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ndivyo Mandela alivyokuwa Rais wa Africa Kusini na apartheid kuisha Africa kusini!

Ndivyo Hichilema alivyofanyika Rais wa Zambia na Lungu kukubali kuondoka!
 
Aiseeee
 
Nasisitiza tu, ukisikia mtu anamzungumzia vizuri au vibaya mtu fulani usiyemfahamu, usiwe mwepesi wa kuamini kile ulichoambiwa.

Tusiyoyajua ni mengi kuliko tunayoyajua!
Na si rahisi kujua kusudi la huyo anayekusimulia huo wema au ubaya wa mtu husika!

Wanasiasa ni kama ndg, wakigombana shika jembe ukalime, wakipatana beba kikapu ukavune!```😆😆👌
 
Mchana niliwaambia wenzio mwamba kafika bei.
Hawakuelewa

Bei umefika wewe. Afike Bei kwa lipi?. Kuonana na Rais ndio kufika Bei. Ilibidi aonane na Rais maana yeye ndio alimtangaza BBC kuhusu ugaidi.
 
 


Tunashukuru Raisi Samia kusikiliza watu wenye nia njema na nchi yetu lakini Vilevile tunamshukuru kwa kugundua wale matapeli wa vyombo vya usalama ! Yaani mtu gaidi akakutane na Rais wa nchi lazima tukubali hii tulifika pabaya hata Raisi amegundua hilo.
 
Mai
Usiseme utadhani, ila uliyoyasema ndo ukweli huo. Sisi wananchi wa kawaida huwa tunafanyiwa maigizo na kuyapokea yalivyo ndo maana ikaitwa sirikali.

Maigizo yanategemea interpretation yako. Kuna watu mpaka leo wanaamini kifo Cha Rais Magufuli Ni maigizo.
 
Uzuri wa Mbowe , sio mropokaji kama makamu mwenyekiti wake, ana subra , mtulivu, msikivu na mvumilivu. Natamani Lissu na Lema waige japo hayo machache ya mh Mbowe.
 
unajua nini.?
Mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu
D
Samia akamtoa unajua ni bure?
Bei umefika wewe. Afike Bei kwa lipi?. Kuonana na Rais ndio kufika Bei. Ilibidi aonane na Rais maana yeye ndio alimtangaza BBC kuhusu ugaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…