Haikusaidii,, cha msingi shetani ameshindwa ba mapembe zakeNimekuelewa mchepuko wa bro Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikusaidii,, cha msingi shetani ameshindwa ba mapembe zakeNimekuelewa mchepuko wa bro Mbowe
wengi tu nikianza na mwigulu madeluKuna watu WAMENUNA huko MBOGAMBOGA
Ndivyo Mandela alivyokuwa Rais wa Africa Kusini na apartheid kuisha Africa kusini!Hahahha... Yani siasa bana!
Mtu anakufunga miezi karibu 9 alafu mwishowe anakwambia njoo tuyajenge, alafu unaanza kushangilia!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
AiseeeeMwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe amesema kukutana kwa Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz na rais @SamiaSuluhu ikulu ni miongoni mwa jitihada alizokuwa anazifanya yeye binafsi. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umejitahidi sana, lakini ni jibu bovu.Ni masuala ya KUFIKA BEI
Mchana niliwaambia wenzio mwamba kafika bei.
Hawakuelewa
Unaonekana unalala na Mbowe kitanda kimoja si ndio mkuuHaikusaidii,, cha msingi shetani ameshindwa ba mapembe zake
Bei gani? Kutoka kuwa Gaidi mpaka kufikia Bei, na bado mtahamisha magoli yote.
Nasisitiza tu, ukisikia mtu anamzungumzia vizuri au vibaya mtu fulani usiyemfahamu, usiwe mwepesi wa kuamini kile ulichoambiwa.
Tusiyoyajua ni mengi kuliko tunayoyajua!
Na si rahisi kujua kusudi la huyo anayekusimulia huo wema au ubaya wa mtu husika!
View attachment 2139181
Wanasiasa ni kama ndg, wakigombana shika jembe ukalime, wakipatana beba kikapu ukavune!```[emoji38][emoji38][emoji108]
Umejitahidi sana, lakini ni jibu bovu.
Kumbukumbu nzuri
Tutasikia mengi sana kutoka kwa watu kama hao.Aiseeee
Hapana, lakini nikiona jibu bovu siwezi kushindwa kulitambua.Kumbe ulikuwa na jibu lako
View attachment 2139083
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam.
Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki.
Mhe. Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuonesha kwake kujali huku akikubali kuwa msingi mkubwa wa kujenga taila la Tanzania ni kusimama katika haki.
Vile vile, amesema wamekubaliana kufanya siasa za kistaarabu na kiungwana na kuwa yuko tayari kushirikiana na Serikali katika kuleta maendeleo ili nao pia waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
View attachment 2139172
View attachment 2139159
====
Picha Mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022
View attachment 2139037View attachment 2139038View attachment 2139039View attachment 2139058
Usiseme utadhani, ila uliyoyasema ndo ukweli huo. Sisi wananchi wa kawaida huwa tunafanyiwa maigizo na kuyapokea yalivyo ndo maana ikaitwa sirikali.
Uzuri wa Mbowe , sio mropokaji kama makamu mwenyekiti wake, ana subra , mtulivu, msikivu na mvumilivu. Natamani Lissu na Lema waige japo hayo machache ya mh Mbowe.View attachment 2139083
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam.
Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki.
Mhe. Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuonesha kwake kujali huku akikubali kuwa msingi mkubwa wa kujenga taila la Tanzania ni kusimama katika haki.
Vile vile, amesema wamekubaliana kufanya siasa za kistaarabu na kiungwana na kuwa yuko tayari kushirikiana na Serikali katika kuleta maendeleo ili nao pia waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
View attachment 2139172
View attachment 2139159
====
Picha Mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022
View attachment 2139037View attachment 2139038View attachment 2139039View attachment 2139058
Bei umefika wewe. Afike Bei kwa lipi?. Kuonana na Rais ndio kufika Bei. Ilibidi aonane na Rais maana yeye ndio alimtangaza BBC kuhusu ugaidi.