Wewe jamaa umenifanya nimecheka usiku huu wa saa saba na dakika mbili. Sijui kama nitalala.Alijua atatoka ndiyo maana hakuwa na pressure
Yaani katoka sello nashavu dodo utazani alikuwa kwenye nyumba ya kifahari iliyosheni Kila kitu yaani mazagazaga kama yoote
Hapo ndio kajikoki. Ishu ya Katiba mpya itarindima vibaya sana.Kwa weledi wa aina yake Mheshimiwa Rais Samia amemaliza hoja zote za wapinzani sasa ni wakati wa kuchapa kazi.
Unajuaje haikuwa ghafla. Ilibidi Rais aonane naye mapema kabla Mambo hayaja haribika, waweke Mambo sawa. Maana Rais ndio aliyeiambia dunia kwamba Mbowe Ni Gaidi na alikimbia kujificha nje ya nchi.
Kazi ya kudai katiba mpyaKwa weledi wa aina yake Mheshimiwa Rais Samia amemaliza hoja zote za wapinzani sasa ni wakati wa kuchapa kazi.
It’s obvious kuna bargaining nyumba ya pazia.Thats all am saying...
Everything was planned...
Aliyekunywesha sumu ndio anakupa maziwa unafurahi na kumtembelea...
Bila mama ningefungwa...
Mama demokrasia sana[emoji16]
Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki.
It’s obvious kuna bargaining nyumba ya pazia.
Mtu alieshinda kesi kwa haki awezi kuwa mnyenyekevu hivyo baada ya mateso yote aliyopitia.
Muhimu kwa Mbowe aache mikwara uchwara sijui akiamua nchi aitaongozoka and his nonsense rhetoric ya kuitisha maandamano nchi nzima keshapewa somo awezi cheza na dola ikiamua.
Hoja nzuri lakini sidhani kama history ya Mandela ipo kichwaniShangaa na wewe!
CCM itatawala Tanzania kwa muda mrefu sana maana inajua jinsi ya kuwa manipulate wapinzani na hata wananchi!
Jamaa kafungwa na Samia miezi nane. Kwa muda wote huo kaitwa gaidi.
Kapotezewa muda wake kwa kesi ya mchongo.
Leo kaachiliwa bila masharti yoyote na CHADEMA wanampongeza yuleyule aliyemfunga.
Mbowe kapotezewa muda wake kwa miezi yote hiyo na hawezi kupata fidia yoyote ile!
Badala yake anaalikwa ikulu ili aende kumshukuru mtu yule yule aliyemfunga hapo awali!
Only in Tanzania!!!!!
Upumbuvu mwingine huu. Rais anamkaribisha Gaidi Ikulu?Mwenyekiti ni gaidi aliyepo likizo.
Upumbavu ulioanzishwa na mwendazake huku mazwazwa wasio na akili waku-support upumbavu huo, yaani kutofautiana kiitikadi uligeuzwa ukaonekana ni uadui hata kufikia kuwinda kuuana kwa kutunguana risasi mchana kweupe.Hii ndio aina ya siasa tunayoitaka Tanzania. Scientific politics. Kukubali siasa ziondoe ubinadamu wetu ni tatizo kubwa lililokuwa linatunyemelea. Safi kabisa.
Nakubali kwamba my Integrity could be equated to what you said I could be too much of a Dunce[emoji106]. Thank you. Ujinga wa chat yako ni kumlaumu Mbowe kisa amealikwa Ikulu na kukubali mwaliko.Onyesha huo upumbavu ulipo?
.Shangaa na wewe!
CCM itatawala Tanzania kwa muda mrefu sana maana inajua jinsi ya kuwa manipulate wapinzani na hata wananchi...
Mbowe huyu huyu iliyewagome sellouts waliokuwa wakimshawishi aombe msamaha, upumbavu mwingine umepitiliza yaani leo walewale waliosema Mbowe ni gaidi hatatoka gerezani wanakuja na upumbavu mpya alimradi wajifajiri kwa wishful thinking zao.Na jino zima unalitambuaje?
Huu mchezo mtakaoumia ni ninyi wanaharakati wa Mitandaoni.mbowe hawezi kukubali kurudi kwenye matatizo