Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Jiulize pia ilipangwa lini na Raisi kukutana na Mbowe?
Haikuwa gafula[emoji16][emoji16]
Najiuliza tu kulikuwa na ulazima wa gani aende leo leo? Au ndiyo kondisheni mojawapo ya kutoka? Anyway ngoja niendelee kula bisi, karibu mtaani FAM.

Binafsi naona ni mbinu za medani tu,kumset ili apewe mwongozo na marking schemes ya the do's and the don't
 
Decapitating blow to the course of opposition.

Freeman Mbowe has committed to behaving better by practicisng “civilized politics.”

Promises that Nelson Mandela vociferously declined to make prior to his release from the brutish concentration labor camps of apartheid regime.

That is the state House press statement, what else did you want it to provide. Did you wish it to state that Mbowe will continue to fight against the government?. The meeting was a reconciliation after the release of Hon Mbowe from the remand.
 
Wewe mwenyewe unateseka kwa jinsi mwamba alivyosema sasa atafanya siasa za kistaarabu
Na ninyi mmezoea matusi na fujo sasa sijui utahama tena hicho chama au?
Inakuuma vumilia tu teh teh teh
 
nimeielewa hiyo rangi ya suruali alovaa Kamanda Mbowe ✌️
 
Mmandegesi akili za kimaskini uchoyo uchawi .....sasa Mikutano ya Chadema inaanza nchi nzima ...kama hupendi Burundi sio mbali
Hiyo nchi nzima lini?
Hampendi kuambiwa ukweli msikate matawi kateni mizizi.
Akili za kitajiri ndio kuwa unasahu kama nyumbu wa ufipa?
Hata Mgogo aliitwa hapo ukilu ila akiitwa mbowe mnaona kama spesho
sana mbowe anastahili zaidi ya kwenda kuitwa ikulu.
 
Nikuulize mkuu, katika uzoefu wako, tukio kama hili uliwahi kuliona wapi duniani!

Komedi hizi huenda zinapatikana Tanzania pekee.

Ili nisikuache na malowelowe, piga picha hapo akiwepo Mwalimu Nyerere anafanya haya tunayoyaona leo!

..Wazungu wana msemo wao, " ukilikoroga lazima ulinywe. "

..Serikali " ilikoroga " suala la Mbowe, na imemlazimu Rais kubeba aibu hii.

..Haiingii akilini gaidi akafutiwa mashtaka halafu siku hiyohiyo akaenda ikulu kuonana na Raisi.

..This will only make sense kama tukikubaliana kwamba Mbowe sio gaidi, na waliomkamata na kumshitaki ndio magaidi.

..Wote waliohusika na kesi dhidi ya Mbowe na wenzake wajitafakari.
 
Mkuu umelewa au mbona comment yako haieleweki
Huyu mtoto wa ubatizo wa baba wa taifa ameonewa huruma baada ya kamasi kumtoka....kwani akina Bagonza ,Sheikh Ponda ,Katimba hukuwasikia wakiubembeleza HURIA yake?!!! 🤣
 
Mwenyekiti amekosea sana.
Hawa watesi wametuumiza sana. Mwenyekiti ana busara na hekma ni kweli, lakini angetulia kwanza tujipoze majeraha ya hawa watesi wetu. Imekuwa haraka sana hii.
Mbowe yuko sahihi, upinzani nchi hii hauonekani kuweza au ni vigumu sana kupambana na Chama dola, jambo muhimu ni CDM kujua jinsi ya kuegemea upande mmoja ili upande mwingine(mataga/hardliners) ukipasue CCM.
 
Mimi sina shida na Mbowe wala mama yako.
Sema nimekataa kuwa kichwa panzi kama wewe.
Huyu ndiye yule aliyesema Mbowe gaidi mbele ya bbc na salim kikeke.
Huyu ndiye aliyesema Lukuvi na Kabudi wanautaka uraisi baadae akasema ni wachapakazi
na watapewa nafasi maalum.
Huyu ndiye aliyesema mmeanza chokochoko.
Baada ya kumtoa spika ndiye aliyemwalika ikulu wazungumze.
Kuitwa kwa mbowe ikulu haina uspesho huo kwa huyo mnayemwita mama yenu
kwa sababu hajawahi kujua anasimamia.
Siku si nyingi mtafungua thread za kumponda hapa hapa.
Hiyo siku ya kumponda ikija tutamponda lakini kwahili la leo tunampa pongezi wacha tusubiri hilo la kuja kumponda.
 
Naiona Tanzania Mpya hii hapa...
Mwendazake alituelekeza mkondo wa kuzimu!
Sasa tushikamane sote tudai uhuru kamili tusonge mbele na ujenzi wa taifa letu!
Mleteni yule aliyesema tusubiri ushahidi wooote anao.Yule sillo aulete sasa.Muda mfupi tu alikuwa anampigia mwamba salute wakati akiingia ikulu.Tunaomba mwenye ile clip tafadhali.
 
Unaonekana umeumia sana Mbowe kuachiwa.
Nimefungua uzi kushukuru kuachiwa kwake.
Naona mtu anayejielewa ni Sarungi tu hakushangilia kipindi kile mnashangilia mama anaupiga mwingi,
na sasa hashangilii huu upuuzi wa kuitwa ikulu.
Mbowe hajakosea kwenda ikulu lakini vichwa panzi mnavyoshangilia kama vile hamfahamu aliyemwita ndiye
aliyeitangazia dunia ni gaidi.
 
Back
Top Bottom