Unaonekana umeumia sana Mbowe kuachiwa.Hahaaha!!!! vichwa panzi mnasahau mapema ngoja mwezi ujao tena muanze kumnanga mama yenu anayeupiga mwingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana umeumia sana Mbowe kuachiwa.Hahaaha!!!! vichwa panzi mnasahau mapema ngoja mwezi ujao tena muanze kumnanga mama yenu anayeupiga mwingi.
Mkuu umelewa au mbona comment yako haielewekiMwanamke ndiye asiye na uanaume ndani yake ila wanaume wote wana uanawake ndani yao na ndio maana wao ndio wenye kutuletea watoto wa kiume ama wa kike.......
"Mwamba tuvushe" ndembendembeee
Usijali mpendwa😀Ukisikia anatafuta kudumu nishtue Pliz Nipo hapa hapa,anastahihili sana🤔
Kila jambo na wakati, Leo ni wakati wa Mbowe.Mungu wa mbinguni ni mwema!
Akina Swila na wale waliomnyima chakula Mbowe kwa miezi 5 wakiona hii picha sijui hata wanawazaje!
Najiuliza tu kulikuwa na ulazima wa gani aende leo leo? Au ndiyo kondisheni mojawapo ya kutoka? Anyway ngoja niendelee kula bisi, karibu mtaani FAM.
Binafsi naona ni mbinu za medani tu,kumset ili apewe mwongozo na marking schemes ya the do's and the don't
Sisi hatujui kitu ila mbona nyie wanaharakati wa ikulu mmenuna? [emoji1787][emoji1787]
Decapitating blow to the course of opposition.
Freeman Mbowe has committed to behaving better by practicisng “civilized politics.”
Promises that Nelson Mandela vociferously declined to make prior to his release from the brutish concentration labor camps of apartheid regime.
Inakuuma vumilia tu teh teh tehWewe mwenyewe unateseka kwa jinsi mwamba alivyosema sasa atafanya siasa za kistaarabu
Na ninyi mmezoea matusi na fujo sasa sijui utahama tena hicho chama au?
Hiyo nchi nzima lini?Mmandegesi akili za kimaskini uchoyo uchawi .....sasa Mikutano ya Chadema inaanza nchi nzima ...kama hupendi Burundi sio mbali
Nikuulize mkuu, katika uzoefu wako, tukio kama hili uliwahi kuliona wapi duniani!
Komedi hizi huenda zinapatikana Tanzania pekee.
Ili nisikuache na malowelowe, piga picha hapo akiwepo Mwalimu Nyerere anafanya haya tunayoyaona leo!
Huyu mtoto wa ubatizo wa baba wa taifa ameonewa huruma baada ya kamasi kumtoka....kwani akina Bagonza ,Sheikh Ponda ,Katimba hukuwasikia wakiubembeleza HURIA yake?!!! 🤣Mkuu umelewa au mbona comment yako haieleweki
Mbowe yuko sahihi, upinzani nchi hii hauonekani kuweza au ni vigumu sana kupambana na Chama dola, jambo muhimu ni CDM kujua jinsi ya kuegemea upande mmoja ili upande mwingine(mataga/hardliners) ukipasue CCM.Mwenyekiti amekosea sana.
Hawa watesi wametuumiza sana. Mwenyekiti ana busara na hekma ni kweli, lakini angetulia kwanza tujipoze majeraha ya hawa watesi wetu. Imekuwa haraka sana hii.
Hiyo siku ya kumponda ikija tutamponda lakini kwahili la leo tunampa pongezi wacha tusubiri hilo la kuja kumponda.Mimi sina shida na Mbowe wala mama yako.
Sema nimekataa kuwa kichwa panzi kama wewe.
Huyu ndiye yule aliyesema Mbowe gaidi mbele ya bbc na salim kikeke.
Huyu ndiye aliyesema Lukuvi na Kabudi wanautaka uraisi baadae akasema ni wachapakazi
na watapewa nafasi maalum.
Huyu ndiye aliyesema mmeanza chokochoko.
Baada ya kumtoa spika ndiye aliyemwalika ikulu wazungumze.
Kuitwa kwa mbowe ikulu haina uspesho huo kwa huyo mnayemwita mama yenu
kwa sababu hajawahi kujua anasimamia.
Siku si nyingi mtafungua thread za kumponda hapa hapa.
Hiyo ya kutoka mahabusu inatosha..hawezi kumteua maana Mbowe sio CCM.Amteue basi awe hata mkuu wa wilaya ya Arumeru
Ili kukuza Demcrasia
Mleteni yule aliyesema tusubiri ushahidi wooote anao.Yule sillo aulete sasa.Muda mfupi tu alikuwa anampigia mwamba salute wakati akiingia ikulu.Tunaomba mwenye ile clip tafadhali.Naiona Tanzania Mpya hii hapa...
Mwendazake alituelekeza mkondo wa kuzimu!
Sasa tushikamane sote tudai uhuru kamili tusonge mbele na ujenzi wa taifa letu!
Una uhakika gani kuwa alikuwa mbali na mke wake? Mengine yaache kama yalivyo, wewe cheza na keyboardHata kama ila ninachojua alikuwa mbali na familia yake kwa miezi 6
Mtu hata ishi kwa mkate tuMungu wa mbinguni ni mwema!
Akina Swila na wale waliomnyima chakula Mbowe kwa miezi 5 wakiona hii picha sijui hata wanawazaje!
Nimefungua uzi kushukuru kuachiwa kwake.Unaonekana umeumia sana Mbowe kuachiwa.
Kumpa pole sawasawa, msamaha hapana....Samia kaamua kumuomba msamaha na kumpa pole Freeman.