Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Hahahha... Yani siasa bana!

Mtu anakufunga miezi karibu 9 alafu mwishowe anakwambia njoo tuyajenge, alafu unaanza kushangilia!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Shangaa na wewe!

CCM itatawala Tanzania kwa muda mrefu sana maana inajua jinsi ya kuwa manipulate wapinzani na hata wananchi!

Jamaa kafungwa na Samia miezi nane. Kwa muda wote huo kaitwa gaidi.

Kapotezewa muda wake kwa kesi ya mchongo.

Leo kaachiliwa bila masharti yoyote na CHADEMA wanampongeza yuleyule aliyemfunga.

Mbowe kapotezewa muda wake kwa miezi yote hiyo na hawezi kupata fidia yoyote ile!

Badala yake anaalikwa ikulu ili aende kumshukuru mtu yule yule aliyemfunga hapo awali!

Only in Tanzania!!!!!
 
Na jino zima unalitambuaje?
Huu mchezo mtakaoumia ni ninyi wanaharakati wa Mitandaoni.mbowe hawezi kukubali kurudi kwenye matatizo
Hapana, lakini nikiona jibu bovu siwezi kushindwa kulitambua.
 
Shangaa na wewe!

CCM itatawala Tanzania kwa muda mrefu sana maana inajua jinsi ya kuwa manipulate wapinzani na hata wananchi!

Jamaa kafungwa na Samia miezi nane. Kwa muda wote huo kaitwa gaidi.

Kapotezewa muda wake kwa kesi ya mchongo.

Leo kaachiliwa bila masharti yoyote na CHADEMA wanampongeza yuleyule aliyemfunga.

Mbowe kapotezewa muda wake kwa miezi yote hiyo na hawezi kupata fidia yoyote ile!

Badala yake anaalikwa ikulu ili aende kumshukuru mtu yule yule aliyemfunga hapo awali!

Only in Tanzania!!!!!
Hamtakosa la kusema nyie Mataga,kila mara mnahamisha magoli.
 
Wanasiasa washayajenga, sie tumebakia kwenye mataa. Mbowe anakubaliana kushirikiana na Serikali punde tu baada ya kutoka Segerea walipomuweka kwa miezi kadhaa kwa shutuma ambazo akili haisadiki.
Uhuru Kenyatta ali shake hand na raila Odinga
Now we see Samia shaking hands with Mr Mbowe. This is a sign of political maturity.

People like
Paul kagame
Yoweri Kaguta Meseveni and the likes of them need to copy from these matured democratcally elected leaders of Tanzania na Kenya.

Waache mambo ya kishamba shamba
 
Shangaa na wewe!

CCM itatawala Tanzania kwa muda mrefu sana maana inajua jinsi ya kuwa manipulate wapinzani na hata wananchi!

Jamaa kafungwa na Samia miezi nane. Kwa muda wote huo kaitwa gaidi.

Kapotezewa muda wake kwa kesi ya mchongo.

Leo kaachiliwa bila masharti yoyote na CHADEMA wanampongeza yuleyule aliyemfunga.

Mbowe kapotezewa muda wake kwa miezi yote hiyo na hawezi kupata fidia yoyote ile!

Badala yake anaalikwa ikulu ili aende kumshukuru mtu yule yule aliyemfunga hapo awali!

Only in Tanzania!!!!!
Vipi angefungwa si ungeshangilia kuwa gaidi kafungwa?
 
Mbowe na makomandoo watatu wanaonekena kuwa wahanga wa utawala na siasa za jiwe zaidi kuliko mrithi wake. Wanaoonekana kukerwa na kuteseka zaidi siku ya leo ni mataga na hardliners kwenye system waliorithiwa kutoka enzi za jiwe na hao ndio watatupiwa lawama yote ya sakata la Mbowe. Hili ni jambo zuri kwa afya ya taifa na demokrasia yetu.
Shangaa na wewe!

CCM itatawala Tanzania kwa muda mrefu sana maana inajua jinsi ya kuwa manipulate wapinzani na hata wananchi!

Jamaa kafungwa na Samia miezi nane. Kwa muda wote huo kaitwa gaidi.

Kapotezewa muda wake kwa kesi ya mchongo.

Leo kaachiliwa bila masharti yoyote na CHADEMA wanampongeza yuleyule aliyemfunga.

Mbowe kapotezewa muda wake kwa miezi yote hiyo na hawezi kupata fidia yoyote ile!

Badala yake anaalikwa ikulu ili aende kumshukuru mtu yule yule aliyemfunga hapo awali!

Only in Tanzania!!!!!
 
Nilikua nashangaa mbowe huyuhuyu ahukumiwe jela miaka kadhaa labda mwingine
 
Kudai uhuru ni kuwapa wachaga madara, wasipokuwa na madaraka Taifa halipo guru. Ndiomaana hata Lowasa akawa sio mafisadi tena alipojiunga na wachaga wenzie kudai uhuru wa wachaga
Hakika wewe ni wakala wa uovu, udhaifu na ukabila!
 
Shangaa na wewe!

CCM itatawala Tanzania kwa muda mrefu sana maana inajua jinsi ya kuwa manipulate wapinzani na hata wananchi!

Jamaa kafungwa na Samia miezi nane. Kwa muda wote huo kaitwa gaidi.

Kapotezewa muda wake kwa kesi ya mchongo.

Leo kaachiliwa bila masharti yoyote na CHADEMA wanampongeza yuleyule aliyemfunga.

Mbowe kapotezewa muda wake kwa miezi yote hiyo na hawezi kupata fidia yoyote ile!

Badala yake anaalikwa ikulu ili aende kumshukuru mtu yule yule aliyemfunga hapo awali!

Only in Tanzania!!!!!
Wakati fulani tusitoe hoja za Kitoto nakulaumu tu. Kwa hiyo una conclude kwamba Mama Samia ndio alimfunga Mbowe? Umesahau kuwa hii kesi imekuwa formulated enzi ya Ndugu yako Mwendazake? Ok Mbowe kafutiwa kase then kaitwa Ikulu kuitikia wito wa Rais. What is wrong with that?? Angekataa kuitikia wito ungemwita shujaa?.
 
Shangaa na wewe!

CCM itatawala Tanzania kwa muda mrefu sana maana inajua jinsi ya kuwa manipulate wapinzani na hata wananchi!

Jamaa kafungwa na Samia miezi nane. Kwa muda wote huo kaitwa gaidi.

Kapotezewa muda wake kwa kesi ya mchongo.

Leo kaachiliwa bila masharti yoyote na CHADEMA wanampongeza yuleyule aliyemfunga.

Mbowe kapotezewa muda wake kwa miezi yote hiyo na hawezi kupata fidia yoyote ile!

Badala yake anaalikwa ikulu ili aende kumshukuru mtu yule yule aliyemfunga hapo awali!

Only in Tanzania!!!!!
 
Shangaa na wewe!

CCM itatawala Tanzania kwa muda mrefu sana maana inajua jinsi ya kuwa manipulate wapinzani na hata wananchi!

Jamaa kafungwa na Samia miezi nane. Kwa muda wote huo kaitwa gaidi.

Kapotezewa muda wake kwa kesi ya mchongo.

Leo kaachiliwa bila masharti yoyote na CHADEMA wanampongeza yuleyule aliyemfunga.

Mbowe kapotezewa muda wake kwa miezi yote hiyo na hawezi kupata fidia yoyote ile!

Badala yake anaalikwa ikulu ili aende kumshukuru mtu yule yule aliyemfunga hapo awali!

Only in Tanzania!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hapa sina mbavu kwa jinsi machadema yanavyoshangilia!

Kamata, weka ndani miezi nane, aahhh sina nia na kesi, njoo ikulu, shangilia!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Tuwe na akiba ya maneno, Kuna watu watateseka Sana na mitazamo Yao.
 
Back
Top Bottom