Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Shangaa na wewe!Hahahha... Yani siasa bana!
Mtu anakufunga miezi karibu 9 alafu mwishowe anakwambia njoo tuyajenge, alafu unaanza kushangilia!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
CCM itatawala Tanzania kwa muda mrefu sana maana inajua jinsi ya kuwa manipulate wapinzani na hata wananchi!
Jamaa kafungwa na Samia miezi nane. Kwa muda wote huo kaitwa gaidi.
Kapotezewa muda wake kwa kesi ya mchongo.
Leo kaachiliwa bila masharti yoyote na CHADEMA wanampongeza yuleyule aliyemfunga.
Mbowe kapotezewa muda wake kwa miezi yote hiyo na hawezi kupata fidia yoyote ile!
Badala yake anaalikwa ikulu ili aende kumshukuru mtu yule yule aliyemfunga hapo awali!
Only in Tanzania!!!!!