Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

DPP, Mahakama, TISS, Jeshi la Polisi, TAKUKURU na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ufanyanyaji kazi wake ni sawa na taasisi zingine za serikali zilizo independent kama TANESCO, halmashauri, mkoa, Bandari, Uhamiaji, TPDC, EWURA, PPRA, NSSF and so forth.

Hizo taasisi zote ni independent on books; lakini raisi anaweza influence sio kwa katiba ila kwa maslahi ya nchi au yake.

Magufuli angetaka kumfungulia case Mbowe kwa ushahidi uliotumika chini ya admin angefanya ivyo ndani ya muda wake, J.K angetaka kumfungulia case Mbowe ya mabomu Arusha na kuitisha maandamano ya vurugu angefanya ivyo. Hayo makosa yote yapo katika orodha ya penal codes na sheria zake.

Maana yake nini Mbowe akushitakiwa kwa J.K na Magufuli ni kwa sababu itakuwa walizuia tu.

Vinginevyo TISS, DPP, Mahakama, TAKUKURU bila ya kuingiliwa na wana siasa can do a lot of damage.

Given the evidence Mbowe kashitakiwa na vyombo husika wala mama Samia ahusiki na mashtaka, siasa zimeingia kuzima kesi tu kwa mustakabali mpana wa nchi. Na hakuna mtu anaewatuma kufanya kazi za undercover ni sehemu ya majukumu yao kuzuia uhalifu na kushitaki, sasa CDM viongozi wao wakikutwa na hatia wanaingiza siasa as if hizi taasisi za ulinzi zipo kama majina tu.

Lakini kwa ushahidi uliotumika Magufuli angekuwa na nia nae hiyo kesi angeigiza zamani

Vyombo vingine pia vinamamlaka ya kulinda nchi kwa sheria zilizozianzisha ivyo vyombo kwa hiyo sio kila hatua zao ni siasa.

Wakikuona unatumika na watu wa nje wakafanya yao sio lazima wametumwa na mwanasiasa au raisi ni katika majuku yao tu.

That is to say based on evidence kwenye case ya Mbowe jamuhuri ilithibitisha there was enough evidence of ‘mens rea’ ndio maana mahakama ikaona kuna kesi ya kujibu.

Muhimu hapa ni kuacha kujiongopea mtu kama ni invisible katika mipango ya ovyo jamaa wakiamua kufanya yao mziki keshauona; bila ya msamaha wa nyuma ya pazia wa kisiasa taasisi zingine zingemmaliza Mbowe kwa mipango yake ya kipuuzi with evidence.

Tueshimu sheria za nchi, usivinje halafu ulaumu wanasiasa kama ilivyo kwa wafuasi wa CDM, hope Mbowe kajifunza somo lake.
Ndeeeefu ila upuuzi mtupu!
 
Ukimya wa Mnyika Leo nilijua kuna muongozo umeratibiwa.
Kibatala,tumepata taarifa kwa askari magereza kuwa Mbowe anaumwa.
DPP hana nia yakuendelea na kesi.
Mbowe Ikulu,amepata nafuu mda gani.
Cha msingi ametoka sasa wewe unataka nini
 
kama nimemuelewa

Mwanaume ana Chromosomes XY
Mwanamke ana Chromosomes XX

Hiyo X ya Mwanaume ikiungana na X ya mwanamke ndio anazaliwa mtoto wa Kike

Chromosome Y ya Mwanaume ikiungana na X ya mwanamke ndio anazaliwa mtoto wa Kiume.

Ndiposa mdau anasema Mwanaume anaye Mwanamke ndani yake.

c.c. Jumbe Brown
Hiki ulichoeleza hapa kuhusu hizo XX na XY ni kama hali ikienda inavotegemewa, ceteris peribus.
Kuna wakati hali ya mtu kuwa mwanaume au mwanamke haikai sawa kwenye mizania.
The higher the population is, the more deviant cases.
 
Siasa bhana hapo bibi anaonekana humble na kindly basi atasifiwa na kujipatia ka gepu fulani moyoni kwa watu fulani fulani
nashangaa Mbowe's camp hawajaliona hilo, wanazidiwa hesabu na Samia, of all the people..... Tulidhani wanadai kukutana na Rais as a party, as a movement, sasa Mbowe katolewa jela kajikimbiza Ikulu peke yake.... Ataomba tena kukutana na Rais ?

hajaonana hata na supporters wake, watu walio push atolewe jela, haja spend hata 15min na familia yake, kaenda kusujudu Ikulu the same night... what was the rush ?

breki ya kwanza ya Mandela out of jail was Kiwalani, D'Salaam, sio Pretoria kupiga picha Ikulu ya makaburu, kwa saab alitambua Kaburu sio aliemtoa jela bali Wabongo walioitia presha dunia kudai apartheid ifumuliwe... Mbowe anadhani Samia ndio kamtoa jela... thoughtless, costly blunder. Mbowe, unazidiwaje mahesabu na mtu kama Samia ?
 
Najiuliza tu kulikuwa na ulazima wa gani aende leo leo? Au ndiyo kondisheni mojawapo ya kutoka? Anyway ngoja niendelee kula bisi, karibu mtaani FAM.

Binafsi naona ni mbinu za medani tu,kumset ili apewe mwongozo na marking schemes ya the do's and the don't
Kuachiwa Mbowe ni jambo kubwa nje na ndani ya nchi.kwa akili ya kawaida,ni ameachiwa basi. Lakini nyuma ya pazia kuna mengi sana
 
..Ssh kaamua kumuomba msamaha Fam.
Dola imeiangukia Chadema hii imedhihirisha Serikali haiwezi kufanya makubaliano yoyote bila kuishirikisha Chadema maana dhambarau wapo lkn statement ya Ikulu inataja Chadema hii watawala wajue Nchi ni yetu sote tuheshimiane
 
Mama kawahi kumuita ikulu kumuomba mwamba msamaha kabla hajatapika nyongo
Mama hapa kaonesha akili kubwa hakusubiri vikao vya wansfiki wa ccm.

Watu wa mjini tunaita hakukubali kulala na kidari po Amelala nacho Siro na genge walio mlisha tangopori Ukweli kawatemea tangopori lao hadharani na kuanzia sasa Mama,Lisu,Mbowe na wapenda maendeleo ya haki ni kitu kimoja.

Mama anaenda kuongoza nchi kwa ulaini sanaa hata kura atapata nyingi ila wabunge ccm wasahau na Lisu na Mbowe hawata gombea urais watashambulia Ubunge kwanza huku wakim kava MAMA amalize kazi ya kuleta haki nchini.

Hongera sana Mama umeipiga zaidi ya Maradona Mungu akulinde Heshima kwako!!!!!!!!
 
Najiuliza tu kulikuwa na ulazima wa gani aende leo leo? Au ndiyo kondisheni mojawapo ya kutoka? Anyway ngoja niendelee kula bisi, karibu mtaani FAM.

Binafsi naona ni mbinu za medani tu,kumset ili apewe mwongozo na marking schemes ya the do's and the don't
Ndio lengo sababu wangemuacha apumzike hawajui angefanya nini lkn pamoja na mambo yote Mbowe anajua anachotafuta sio mtu wa ku compromise
 
Alilishwa matango pori na yeye hakuhusika, mtangulizi wake ndo aliisuka hii kesi
Ukishasikia jina la Sabaya, Kingai, Sirro tayari unaanza kupata harufu ya kundi hatàri la "watu wasiojulikana" na mlezi wao.

MUNGU (SWT) mwenyewe aliingilia kati akalisambaratisha kwa namna alivoona inafaa. Kwa uweza wake tayari mambo yashaanza kurejea kwenye mstari wa utu, umoja, haki, demokrasia na maendeleo.
 
Mbowe usile chochote hapo mjengoni wala kunywa please.
Asante
Kwa wakubwa siasa sio uadui kiasi hicho ila kwa wale makapuku wanaojipendekeza huku mitaani ndio huwa wanabeba matusi ya kila aina na chuki za kila aina ! Wengine huwa mpaka wanawanasa wazee makofi kisha wanazawadiwa u-DC !!
 
Naimani kajifunza sasa, Watanzania tunataka Maendeleo na tumeyaona kuanzia kwa Mwamba hayati Magufuli hadi kwa Mama Shupavu Samia ,
Blah blah blah za wachumia tumbo hazina nafasi tena,

#Kazi Iendeleeeeeee [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Kwa hili tumshukuru sana Mungu, pengine tutaondoa u mungu watu na mediocres wengi kwenye nafasi muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu
Wale wapuuzi wa rangi za keki walitaka kutubakisha hapa
 
Back
Top Bottom