Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Kipi kilichoishangaza dunia, ugaidi na ushahidi wake au Mbowe kuwa huru na kujadiliana na rais.
 
Karibu Katiba Mpya Nchini Tanzania
nani ataidai wakati abubakar katoka jela kapelekwa ikulu kwenda kulegezwa kwanza unafikiri waliyoyaongea mbele ya waandishi ndiyo waliyozungumza wenyewe? una cheza na mamlaka wewe
 
Kama mbowe hajafika Bei?
Mbowe hawezi kufika bei otherwise angeshaunga juhudi kitambo na ndiyo sababu watu wa CHADEMA wanamng'ang'ania asitoke kwenye kiti, kitu wanachoogopa CHADEMA ni jinsi watu walivyo unpredictable. Imagine walivyowaamini watu kama Zitto na Slaa lakini wakaja kujionea kuwa ni watu wanaofika bei, hivyo kuna mwanasiasa awaeza kuwa mzuri sana kwa 'parapata' za jukwaani lakini linapokuja suala na principles akawa anayumba, mwanasiasa wa hivyo hafai kuongoza chama ambacho ni makini.
 
kwayoooote uliyoongea ulikuwa unafikiri hata siku moja kuwa halima mdee angeweza kuwasaliti chadema? hapo ndiyo ujifunze usimwamini mwanasiasahata siku moja kwanza mbowe jana kaenda kulegezwa ikulu hana ujanja tena
 
Kipi kilichoishangaza dunia, ugaidi na ushahidi wake au Mbowe kuwa huru na kujadiliana na rais.
siyo kuwa huru kutolewa gerezani hata nyumbani hajafika mojakwa moja kwenda kunyooshwa ikulu
 
de Klerk ndo alimfunga Mandela?
Alifungwa na mahakama enzi za apartheid system na de Klerk alikuwa ni rais wakati wa mfumo wa apartheid, hivyo alifungwa wakati wa mfumo huo huo uliomtoa gerezani.
IMG-20220304-WA0015.jpg
 
Mungu wa mbinguni ni mwema!

Akina Swila na wale waliomnyima chakula Mbowe kwa miezi 5 wakiona hii picha sijui hata wanawazaje!
Unajitoa wakati ulikuwa shabiki mandazi wa hiyo kesi, sema mwishoni mwishoni hapa ndo ukaanza kujishtukia
 
Kuachiwa Mbowe ni jambo kubwa nje na ndani ya nchi.kwa akili ya kawaida,ni ameachiwa basi. Lakini nyuma ya pazia kuna mengi sana
Nikweli hakuna mtu anaombea mwingine awe kule maana SI kuzuri kabisa ila kwenda direct Jana Ikulu binafsi naona ilikuwa mapema sana
 
Tanzania tunahitaji haki ijisimamie yenyewe. Kuondoa huu uwezekano wa watu fulani kuweza kuwaweka korokoroni wengine kwa sababu na maslahi yao na pia kuwatoa. Haitoshi pongezi na shangwe ziimbwe kwa haya. Yapasa kuwa na haki iliyo huru na kweli. Uadilifu ni msingi.
 
kwayoooote uliyoongea ulikuwa unafikiri hata siku moja kuwa halima mdee angeweza kuwasaliti chadema? hapo ndiyo ujifunze usimwamini mwanasiasahata siku moja kwanza mbowe jana kaenda kulegezwa ikulu hana ujanja tena
That's your wishful thinking, aliwekwa gerezani ili alegeze msimamo na akakomaa sasa atalegeza msimamo baada ya chifu Hangaya kuwekwa pressure na EU?
All in all rais huyu hajakaa ki visasi, ukatili, uuaji wala roho ya kiibilisi kama alivyokuwa mtangulizi wake.
 
Hivi siku Wana CHADEMA wakija Gundua kua Mbowe ni Afisa kipenyo Wa inner ya inner cycle sijui itakuaje?!

Hata wakuu wa nchi taarifa hii huwa hawapewi, Ila Mama alikaza, alitaka kumpoteza, ikafikia hatua Sasa hakuna namna, ikabidi apewe taarifa ya kua huyu ni mwenzao katika ujenzi wa taifa. Asante Baba wa taifa kwa kuasis watch Dog.

Dk. Slaa, Hongera kwa kustaafu kazi maalum. Lakini Consultancy yako itaendelea. Legacy yako itadumu kwa kipindi kirefu.

Hawa makomandoo Wana bahati Sana, issue yao ilidhaniwa kua ile ya MKKIRU.

Na huenda wakakamatwa tena.

Oh!, kumbe asubuhi imefika!? Kumbe naota?! Duh!, afadhali. Mapigo ya moyo naona yapo 120b/m. Pressure imepanda.
 
Hiki ulichoeleza hapa kuhusu hizo XX na XY ni kama hali ikienda inavotegemewa, ceteris peribus.
Kuna wakati hali ya mtu kuwa mwanaume au mwanamke haikai sawa kwenye mizania.
The higher the population is, the more deviant cases.
Statistical normal distribution curve iko hivyo...ndio maana SD, Variance, Standard Errors zipo. It's well documented.
 
Back
Top Bottom