Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani ataidai wakati abubakar katoka jela kapelekwa ikulu kwenda kulegezwa kwanza unafikiri waliyoyaongea mbele ya waandishi ndiyo waliyozungumza wenyewe? una cheza na mamlaka weweKaribu Katiba Mpya Nchini Tanzania
Mbowe hawezi kufika bei otherwise angeshaunga juhudi kitambo na ndiyo sababu watu wa CHADEMA wanamng'ang'ania asitoke kwenye kiti, kitu wanachoogopa CHADEMA ni jinsi watu walivyo unpredictable. Imagine walivyowaamini watu kama Zitto na Slaa lakini wakaja kujionea kuwa ni watu wanaofika bei, hivyo kuna mwanasiasa awaeza kuwa mzuri sana kwa 'parapata' za jukwaani lakini linapokuja suala na principles akawa anayumba, mwanasiasa wa hivyo hafai kuongoza chama ambacho ni makini.Kama mbowe hajafika Bei?
Keshanyooka, kaenda kujisalimisha.
kwayoooote uliyoongea ulikuwa unafikiri hata siku moja kuwa halima mdee angeweza kuwasaliti chadema? hapo ndiyo ujifunze usimwamini mwanasiasahata siku moja kwanza mbowe jana kaenda kulegezwa ikulu hana ujanja tenaMbowe hawezi kufika bei otherwise angeshaunga juhudi kitambo na ndiyo sababu watu wa CHADEMA wanamng'ang'ania asitoke kwenye kiti, kitu wanachoogopa CHADEMA ni jinsi watu walivyo unpredictable. Imagine walivyowaamini watu kama Zitto na Slaa lakini wakaja kujionea kuwa ni watu wanaofika bei, hivyo kuna mwanasiasa awaeza kuwa mzuri sana kwa 'parapata' za jukwaani lakini linapokuja suala na principles akawa anayumba, mwanasiasa wa hivyo hafai kuongoza chama ambacho ni makini.
siyo kuwa huru kutolewa gerezani hata nyumbani hajafika mojakwa moja kwenda kunyooshwa ikuluKipi kilichoishangaza dunia, ugaidi na ushahidi wake au Mbowe kuwa huru na kujadiliana na rais.
Utasubiri Sana, keshanyoooshwa mchumia tumbo huyo akale zile za join the chain.Karibu Katiba Mpya Nchini Tanzania
Alifungwa na mahakama enzi za apartheid system na de Klerk alikuwa ni rais wakati wa mfumo wa apartheid, hivyo alifungwa wakati wa mfumo huo huo uliomtoa gerezani.de Klerk ndo alimfunga Mandela?
Siyo Kila mtu atakuwa na mawazo yako......ila ndiyo kitakachotokeaShallow analysis, not Mbowe to be dictated of dos and donts
Unajitoa wakati ulikuwa shabiki mandazi wa hiyo kesi, sema mwishoni mwishoni hapa ndo ukaanza kujishtukiaMungu wa mbinguni ni mwema!
Akina Swila na wale waliomnyima chakula Mbowe kwa miezi 5 wakiona hii picha sijui hata wanawazaje!
Nikweli hakuna mtu anaombea mwingine awe kule maana SI kuzuri kabisa ila kwenda direct Jana Ikulu binafsi naona ilikuwa mapema sanaKuachiwa Mbowe ni jambo kubwa nje na ndani ya nchi.kwa akili ya kawaida,ni ameachiwa basi. Lakini nyuma ya pazia kuna mengi sana
Ngoja tuone nn kitatokeaNdio lengo sababu wangemuacha apumzike hawajui angefanya nini lkn pamoja na mambo yote Mbowe anajua anachotafuta sio mtu wa ku compromise
Zamu ya kulinda kaburi la Burigi bado itakapowafikia watapata akili.Unamaanisha akina Etweege, Comte, Mtambuka, Zandramo&co sio😄
Hata mbinguni tutaingia hivyo hivyo manka!Unajitoa wakati ulikuwa shabiki mandazi wa hiyo kesi, sema mwishoni mwishoni hapa ndo ukaanza kujishtukia
That's your wishful thinking, aliwekwa gerezani ili alegeze msimamo na akakomaa sasa atalegeza msimamo baada ya chifu Hangaya kuwekwa pressure na EU?kwayoooote uliyoongea ulikuwa unafikiri hata siku moja kuwa halima mdee angeweza kuwasaliti chadema? hapo ndiyo ujifunze usimwamini mwanasiasahata siku moja kwanza mbowe jana kaenda kulegezwa ikulu hana ujanja tena
Na katiba ya mboga mbogaTuanze na katiba ya Chadema!
Statistical normal distribution curve iko hivyo...ndio maana SD, Variance, Standard Errors zipo. It's well documented.Hiki ulichoeleza hapa kuhusu hizo XX na XY ni kama hali ikienda inavotegemewa, ceteris peribus.
Kuna wakati hali ya mtu kuwa mwanaume au mwanamke haikai sawa kwenye mizania.
The higher the population is, the more deviant cases.