Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

nani ataidai wakati abubakar katoka jela kapelekwa ikulu kwenda kulegezwa kwanza unafikiri waliyoyaongea mbele ya waandishi ndiyo waliyozungumza wenyewe? una cheza na mamlaka wewe
Jiandae kisaikolojia
 
Maza alifanya faster kukutana na Mbowe ili kupoza asije akamwaga cheche siku akihutubia wanachama wake.
 
Kumbe jiwe ndio alimkamata Mbowe?

Kumbe yule aliehojiwa na bbc na kusema Mbowe ni gaidi alikuwa jiwe?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Tatizo la siasa za nchini kwetu zinamlenga mtu na sio sera. Yaani kama upinzani hawampendi kiongozi anayetawala wakati huo, basi wanatengeneza chuki. Ndio maana kuna haja ya watu kujua tofauti ya uzalendo na utaifa.

Ukiwa mzalendo hutapendelea wala kuegemea upande wowote,badala yake utasimamia kweli pasipo ubinafsi wala chuki!
Screenshot_20220305-113316_1646469225861.jpg
 
Tatizo la siasa za nchini kwetu zinamlenga mtu na sio sera. Yaani kama upinzani hawampendi kiongozi anayetawala wakati huo, basi wanatengeneza chuki. Ndio maana kuna haja ya watu kujua tofauti ya uzalendo na utaifa.

Ukiwa mzalendo hutapendelea wala kuegemea upande wowote,badala yake utasimamia kweli pasipo ubinafsi wala chuki!View attachment 2139513
Nani mwenye chuki, au unadefine chuki Kama kudai haki? You must be hopeless!
 
Aise, siasa ni ngumu kuliko physics wakuu
Kemia, fika biologia, hesabati, sijui masomo ya kwenda kuishi a gani tupa kuleeee, Anza na kivukoni enzi zile Sasa itaitwa chuo cha uongozi!!!! Utapeta kuliko mhaziri wa chuo kikuu chochote.
 
Kabla ya kuachiwa aliambiwa awe na adabu.
Kwa tafsiri ya kisiasa aache kuisumbua serikali.
ATAWEZA KUACHA KUONGEA ILI AWE NA ADABU.?
Mbowe hawezi kufika bei otherwise angeshaunga juhudi kitambo na ndiyo sababu watu wa CHADEMA wanamng'ang'ania asitoke kwenye kiti, kitu wanachoogopa CHADEMA ni jinsi watu walivyo unpredictable. Imagine walivyowaamini watu kama Zitto na Slaa lakini wakaja kujionea kuwa ni watu wanaofika bei, hivyo kuna mwanasiasa awaeza kuwa mzuri sana kwa 'parapata' za jukwaani lakini linapokuja suala na principles akawa anayumba, mwanasiasa wa hivyo hafai kuongoza chama ambacho ni makini.
 
Nani mwenye chuki, au unadefine chuki Kama kudai haki? You must be hopeless!

I think, you are the one who is hopeless. Sorry for telling u that!

Ukifuatilia siasa za hapa nchini kwa mwaka mmoja, je kuna kuna sera zozote za chama tawala ambazo zimebadilishwa?
Aliyebadilika ni mtu (kiongozi) sera ni zilezile na itikadi ni zilezile.
Na ndio maana nimesema, harakati nyingi za kisiasa hutazama mtu na sio chama. Kwa kinachoendelea inadhihirisha wazi kwamba chama hakina tatizo bali tatizo ni mtu anayeongoza kutokana na chama husika. Akionekana ni 'MTU' mwema kwa kundi fulani anasifiwa na akionekana mbaya kwa kundi hilohiko, hadi chama chake na nchi inaonekana ya hovyo. Nothing has been changed! Be wise!👍
 
Kwa kweli mambo yanaenda Kasi sana tangu march 2021 mpaka leo hii.
Tunamshukuru mh Raisi Samia na Mh Mbowe kwa hekima za hali ya juu
 
Kabla ya kuachiwa aliambiwa awe na adabu.
Kwa tafsiri ya kisiasa aache kuisumbua serikali.
ATAWEZA KUACHA KUONGEA ILI AWE NA ADABU.?
Aliambiwa na nani na akajibu vipi, andika kwa kutulia utoe habari kamili.
 
I think, you are the one who is hopeless. Sorry for telling u that!

Ukifuatilia siasa za hapa nchini kwa mwaka mmoja, je kuna kuna sera zozote za chama tawala ambazo zimebadilishwa?
Aliyebadilika ni mtu (kiongozi) sera ni zilezile na itikadi ni zilezile.
Na ndio maana nimesema, harakati nyingi za kisiasa hutazama mtu na sio chama. Kwa kinachoendelea inadhihirisha wazi kwamba chama hakina tatizo bali tatizo ni mtu anayeongoza kutokana na chama husika. Akionekana ni 'MTU' mwema kwa kundi fulani anasifiwa na akionekana mbaya kwa kundi hilohiko, hadi chama chake na nchi inaonekana ya hovyo. Nothing has been changed! Be wise!👍
Sera ni zile zile tofauti ni wasimamizi. Kwa hiyo utekelezaji wa sera unategemea mtu na ndiyo sababu kunakuwa na Uchaguzi ili kupata msimamizi bora.
 
Nikweli hakuna mtu anaombea mwingine awe kule maana SI kuzuri kabisa ila kwenda direct Jana Ikulu binafsi naona ilikuwa mapema sana
Kwenda direct Ikulu kutabadilisha kwa kiasi kikubwa hotuba atakayotoa kwa wana Chadema na waandishi wa habari. Bila shaka hotuba yake itaondoa maneno makali ambayo angetoa kama asingekwenda.
 
Sera ni zile zile tofauti ni wasimamizi. Kwa hiyo utekelezaji wa sera unategemea mtu na ndiyo sababu kunakuwa na Uchaguzi ili kupata msimamizi bora.
Ndivyo ilivyo mkuu.
Na ndio hapo tunaona wazi kwamba, tatizo sio chama fulani kukaa madarakani kwa muda mrefu bali tatizo ni wale wanaoongoza. Nadhani hii ni hoja pana sana na inahitaji mjadala. Je, siasa za hapa nchini, tatizo ni chama tawala au kiongozi? Kama samia anaonekana mwema na mwingine alionekana mbaya, ilihali wote wanatokana na chama kimoja; je tatizo ni mtu au chama?[emoji848]
 
Back
Top Bottom