Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Watajiona mavi sana.Mungu wa mbinguni ni mwema!
Akina Swila na wale waliomnyima chakula Mbowe kwa miezi 5 wakiona hii picha sijui hata wanawazaje!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watajiona mavi sana.Mungu wa mbinguni ni mwema!
Akina Swila na wale waliomnyima chakula Mbowe kwa miezi 5 wakiona hii picha sijui hata wanawazaje!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Una uhakika kuwa ameona comment yako??.Mbowe usile chochote hapo mjengoni wala kunywa please.
Asante
Jiandae kisaikolojianani ataidai wakati abubakar katoka jela kapelekwa ikulu kwenda kulegezwa kwanza unafikiri waliyoyaongea mbele ya waandishi ndiyo waliyozungumza wenyewe? una cheza na mamlaka wewe
Kumbe jiwe ndio alimkamata Mbowe?
Kumbe yule aliehojiwa na bbc na kusema Mbowe ni gaidi alikuwa jiwe?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Nani mwenye chuki, au unadefine chuki Kama kudai haki? You must be hopeless!Tatizo la siasa za nchini kwetu zinamlenga mtu na sio sera. Yaani kama upinzani hawampendi kiongozi anayetawala wakati huo, basi wanatengeneza chuki. Ndio maana kuna haja ya watu kujua tofauti ya uzalendo na utaifa.
Ukiwa mzalendo hutapendelea wala kuegemea upande wowote,badala yake utasimamia kweli pasipo ubinafsi wala chuki!View attachment 2139513
sasa hvi akisema katiba tusubiri kwanza mtasema sawa maana alisemalo mbowe kwenu ni saw mkuuJiandae kisaikolojia
keshatulizwa huyo bwege wao wasitegemee chochote tenaMaza alifanya faster kukutana na Mbowe ili kupoza asije akamwaga cheche siku akihutubia wanachama wake.
Kemia, fika biologia, hesabati, sijui masomo ya kwenda kuishi a gani tupa kuleeee, Anza na kivukoni enzi zile Sasa itaitwa chuo cha uongozi!!!! Utapeta kuliko mhaziri wa chuo kikuu chochote.Aise, siasa ni ngumu kuliko physics wakuu
Mbowe hawezi kufika bei otherwise angeshaunga juhudi kitambo na ndiyo sababu watu wa CHADEMA wanamng'ang'ania asitoke kwenye kiti, kitu wanachoogopa CHADEMA ni jinsi watu walivyo unpredictable. Imagine walivyowaamini watu kama Zitto na Slaa lakini wakaja kujionea kuwa ni watu wanaofika bei, hivyo kuna mwanasiasa awaeza kuwa mzuri sana kwa 'parapata' za jukwaani lakini linapokuja suala na principles akawa anayumba, mwanasiasa wa hivyo hafai kuongoza chama ambacho ni makini.
Na hwatanuna zaidi watakapojua kuwa kwa uungwana "Rais alimpa pole Mbowe"Kuna watu WAMENUNA KWELI KWELI huko MBOGAMBOGA
Chadema Akili Kubwa...
Nani mwenye chuki, au unadefine chuki Kama kudai haki? You must be hopeless!
Aliambiwa na nani na akajibu vipi, andika kwa kutulia utoe habari kamili.Kabla ya kuachiwa aliambiwa awe na adabu.
Kwa tafsiri ya kisiasa aache kuisumbua serikali.
ATAWEZA KUACHA KUONGEA ILI AWE NA ADABU.?
Sera ni zile zile tofauti ni wasimamizi. Kwa hiyo utekelezaji wa sera unategemea mtu na ndiyo sababu kunakuwa na Uchaguzi ili kupata msimamizi bora.I think, you are the one who is hopeless. Sorry for telling u that!
Ukifuatilia siasa za hapa nchini kwa mwaka mmoja, je kuna kuna sera zozote za chama tawala ambazo zimebadilishwa?
Aliyebadilika ni mtu (kiongozi) sera ni zilezile na itikadi ni zilezile.
Na ndio maana nimesema, harakati nyingi za kisiasa hutazama mtu na sio chama. Kwa kinachoendelea inadhihirisha wazi kwamba chama hakina tatizo bali tatizo ni mtu anayeongoza kutokana na chama husika. Akionekana ni 'MTU' mwema kwa kundi fulani anasifiwa na akionekana mbaya kwa kundi hilohiko, hadi chama chake na nchi inaonekana ya hovyo. Nothing has been changed! Be wise!👍
Kwenda direct Ikulu kutabadilisha kwa kiasi kikubwa hotuba atakayotoa kwa wana Chadema na waandishi wa habari. Bila shaka hotuba yake itaondoa maneno makali ambayo angetoa kama asingekwenda.Nikweli hakuna mtu anaombea mwingine awe kule maana SI kuzuri kabisa ila kwenda direct Jana Ikulu binafsi naona ilikuwa mapema sana
Ndivyo ilivyo mkuu.Sera ni zile zile tofauti ni wasimamizi. Kwa hiyo utekelezaji wa sera unategemea mtu na ndiyo sababu kunakuwa na Uchaguzi ili kupata msimamizi bora.
Aliambiwa na nani na akajibu vipi, andika kwa kutulia utoe habari kamili.