IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

Jambo la afya kwa mshikamano wa Taifa letu. Hongera rais kwa kufuata utengemano na amani ya nchi. Hili linakupa heshima wewe zaidi kuliko hao wageni wako toka upinzani. Wanavyozidi kuonekana ikulu kila wakati ndio na umaarufu wako unapanda na wao kushuka kisiasa.
 
Nadhani Mama anataka maelewano zaidi katika issue ya wale Covid 19 mjengoni.
That is the issue ila lile suala CHADEMA wakikubali any compromise na ccm watakuwa wamepoteza pambano kwa kurusha taulo
 
Mbowe ni CCM Full stop mtanielewa 2035 !!

Nilisema Mrema ni CCM mwaka 1996 watu wakanijia juu:

Nikaandika hapa kwamba Dr SLAA ni CCM ilikuwa mwaka 2009 na kadi yake ilikuwa imelipiwa hadi 2020

Hawa wote wako Upinzani na wanaalipwa na serikali
Wa mtaani ndo utanibishia….

Britanicca
 
Kwa hiyo Mbowe ataanza kufidiwa zile kadhia zote kwa kodi ya wananchi wanyonge?
 
Wanasiasa lao moja tu,acha wagawane keki ya taifa..
Wewe nawe umepitwa na wakati bado unawaza siasa [emoji1787][emoji1787]achana na wanasiasa shikamana na kuwatafuta wazalendo , pigia kura wazalendo , shikamana na wazalendo ,wasikilize wazalendo ,chagua wazalendo , achana kabisa na takataka za wanasiasa
 
🤣🤣🤣tangu Mrema alipata kura yangu till today, kweli nimekuwa outdated.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…