Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Atajuwa wapi huyo Kiroboto kuwa Mbowe ni tajiri wakati analipwa kwa kuandika hapa jukwaani upupu.Tayari ni Tajiri kabla wewe hujazaliwa!!.. Mwenzako alikua anafanya kazi BOT wewe hata wazazi wako walikua hawajakutana!!
Yaani anauliza utajiri kwa Mbowe mtu walie muharibia biashara zake nyingi Kama Klabu Bilicanas, mashamba yake na kufunga akaunti zake za benki lakini mwanaume akawa ngangari mpka wakampa kesi ya Ugaidi hewa.