IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

Dr. Bashiru akiona hiyo picha ya mwisho si anaweza kuzimia kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
We si MATAGA..
 
Kweliii!! Eti akina Mkapa na JK walikuwa wakwapuaji, wakati mwingine tujifunze kubakiza akiba ya maneno - hivi report ya CAG umetoa picha gani kuhusu awamu ya tano??
 
I was being sacarstic to him mkuu.Infact mimi ni mtaalam wa Microbiology na specifically Virology.What you have included in your comment should make you ponder more about C-19.The whole concept about C-19 as stipulated by the compromized western and scientists is a hoax.The so called C-19 virus has never been isolated and therefore does not adhere to Kock's postulates,which are necessary for any pathogen to be considered as a disease causing pathogen.So in principle there is no disease to-date called C-19 disease,ni utapeli.

Furthermore,none of the so called C-19 vaccines has been approved by any European approval body as a vaccine,so they are experimental and whoever accepts the shot is a Guinea pig.It's funny that the Big Pharma producing these experimental drugs cannot be held accountable for any health hazard accruing from the shot.To me World governments approving the shots to their citizens are collaborative in the genocide expected in some six months to two years from now,despite the fact that already deaths and harm as a result of the shots are already being reported.

The so called C-19 vaccine is infact a DNA gene altering technology,aimed at programming human bodies to be factories for manufacturing virus.It is also meant to destroy the human immune system and therefore make it succumb to the virus the body produces and other pathogenic diseases.It is a nightmare scenario to humanity mkuu.
 
Wewe si msukuma?
 
Uhusiano uchwara!Huwezi kutengeneza uhusiano/ushirika na masikini mwenzako halafu ufanikiwe!
 
Mawazo ya mtu mjinga na masikini wa kupindukia
Mjinga mama 'ako walivyotangaza mahindi yana sumu kuvu we unafikiri ulimwengu ulichukuliaje mahindi yetu,kwa nini hawakufuata utaratibu tuliowekeana ktk jumuiya ya afrika mashariki??.baada ya kupima na kubainika hayana sumu kwa nini hawakufungua mipaka??..we huwezi kuwa kiongozi choko wewe, unafikiri wakenya kufungia mahindi yetu ni wajinga..!!?

Hivi mbona sisi watanzania ni wazembe kiasi hiki!??..
 
Magu waliwajaza ujinga sana Watanzania halafu wakamtukuza wakamuita Mungu !! Mungu orijino akachukia akafanya yake
Hayo ni maneno na mawazo ya vijiweni mkuu,hayako based on rationality.
 
Sumu kuvu ndivyo wasemavyo
Sumu kuvu walienda wataalamu wa tz wakakutana na wa kutoka Kenya pale namanga,wakapima wakakuta hayana sumu kuvu lakini wakaendelea kuyafungia tu,hadi hapo juzi serikali ya tz ilipoamua kufungia magari ya Kenya kuingia tz,na leo ndo tunaona huo ujumbe..
Jamani tusidhani hao wakenya wanatupenda saaaana,sio watu wazuri kwetu tukiendelea na huu uzembe wetu wa kuamini ukarimu wao kwetu
 
Kweliii!! Eti akina Mkapa na JK walikuwa wakwapuaji, wakati mwingine tujifunze kubakiza akiba ya maneno - hivi report ya CAG umetoa picha gani kuhusu awamu ya tano??
Magufuli asingeweza kuwa kila mahali wakati wote mkuu.Lazima walioko chini yake wamsaidie.Kwani kuna mahali CAG kaonyesha kwamba Magu kaiba.Jamani hata common sense mnakosa.This was planned and pure sabotage,ili Magu aonekane kwamba kashindwa kusimamia serikali.Unaweza kuona jinsi hata watendaji wake wakuu,including Speaker, wanavyomgeuka sasa.
 
Samia ameamua kurudisha makao makuu ya serikali Dar? Maana siku za karibuni shughuli nyingi za Ikulu zinafanyikia Dar badala ya Dom.
ikulu ya dodoma bado haijakamilika.....refer project plan..
tuliambiwa huenda 2025 ndo ikawa imekamilika..
 
Anayekuambia siasa za Ki-communist zimepitwa na wakati ni mwalimu wa vipofu.Mkuu tunaelekea as we speak to a One World Government,where Communism modelled on the Chinese system will be the political system.
Hamna kitu kama hicho.

Odhis *
 
Anayekuambia siasa za Ki-communist zimepitwa na wakati ni mwalimu wa vipofu.Mkuu tunaelekea as we speak to a One World Government,where Communism modelled on the Chinese system will be the political system.
siasa za kiujamaa haziwezi kufaulu kamwe.....na hiyo one world government haiwezekani kamwe....acheni kuwafanya wazungu kama miungu na waabudiwa wenu.....mwenye mamlaka na ulimwengu ikiwemo dunia yetu ni aliyeiumba pekee, majini na watu wanazaliwa na kufa..
 
Sasa JPM yuko wapi ?!

Odhis *
 
Hii vaccination ni shida huko ndugu zetu wa DRC wanalia, hebu msikilizeni huyu ndugu yetu.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…