Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa pro meko Kuna tatizo gani litakuwa kwenye hiyo report?Tatizo la huyu CAG ni pro meko sanaa.
Noma sana.ATCL hasara ya BIL 20 aseeee
hasara iliyosomwa inatishaATCL nayo ikaguliwe hatuwezi kuingia hasara kisa "cheap popularity za kisiasa" wakati wananchi wanaumia kuhudumia shirika linalotia hasara ya mabilioni.....Midege ni hasara ,tuna uhaba wa wafanyakazi ni bora wafanyakazi wa ATCL wakasambazwa kwenye mashirika mengine ya serikali.
ni 90b usichakachueATCL hasara ya BIL 60 aseeee
Katiba haimruhusu kumgusa CAGNaona CAG ameanza kujing'atang'ata mapema kabisa[emoji3], Rais usimuangalie mtu usoni. Leo onesha makali yako.
Napendekeza ungeanza na CAG mwenyewe.
That is too much, bado sehemu nyingineShirika LA ndege limetengeneza hasara ya billion 60 mwaka huu na miaka mitano iliyopita/CAG
Nimeshangaa!!60B ndani ya mwaka.
That's a huge loss as a country.
ATCL lazima kufanyike jambo
60B loss kwa mwaka mmoja.ATCL nayo ikaguliwe hatuwezi kuingia hasara kisa "cheap popularity za kisiasa" wakati wananchi wanaumia kuhudumia shirika linalotia hasara ya mabilioni.....Midege ni hasara ,tuna uhaba wa wafanyakazi ni bora wafanyakazi wa ATCL wakasambazwa kwenye mashirika mengine ya serikali.
Billion 60, ni nyingi sana...halafu kwa miaka mitano mfululizo inatumia kodi zetu.ATCL nayo ikaguliwe hatuwezi kuingia hasara kisa "cheap popularity za kisiasa" wakati wananchi wanaumia kuhudumia shirika linalotia hasara ya mabilioni.....Midege ni hasara ,tuna uhaba wa wafanyakazi ni bora wafanyakazi wa ATCL wakasambazwa kwenye mashirika mengine ya serikali.