Polisi wanaoiweka CUF mikononi mwa Lipumba aliyekwisha jiuzulu wanatuhumiwa kula hela ya marehemu.Cuf wamekalia kuti kavu.......wametumbua fedha ya ruzuku bila Katibu mkuu maalimu Seif kuidhinisha!
Bunge lisubiri!Kwahiyo Bunge limeisha ipokea hii ripoti au ukitoka kwa Ikulu ndiyo unaenda kwa Bunge?
Acha ushabiki hakuna mtu aliyepiga 1.5 trill. Kulikuwa na tatizo la ya kubalance mahesabu.CAG alikuwa Prof Assad tu...Huyu wa sasa hutosikia upigaaaji wa 1.5 tril
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]heee jiwe sijamuelewa hapo aliposema ikulu ya chamwino ni kubwa ina km za mraba 34.5 kuliko hifadhi ya Taifa ya saanane yenye km za mraba 2
Kwa kutetea hivi hata wazazi wako ujawahi kuwatetea hivi.Acha ushabiki hakuna mtu aliyepiga 1.5 trill. Kulikuwa na tatizo la ya kubalance mahesabu.
na wewe acha ushabiki, Huko kubalaance ndo upigaji wenyewe, kwanini wasingebalance kabla wakaguzi kuja kukagua?Acha ushabiki hakuna mtu aliyepiga 1.5 trill. Kulikuwa na tatizo la ya kubalance mahesabu.
Kamati ya bunge ilitoa majibu bungeni sasa unataka wewe bwege ndio tukuamini?Kwa kutetea hivi hata wazazi wako ujawahi kuwatetea hivi.
Haya kama sio pesa ni Ujinga wa kuzaliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye accounting hilo ni jambo kawaida kutokea,alafu baadae mnafanya reconciliation.na wewe acha ushabiki, Huko kubalaance ndo upigaji wenyewe, kwanini wasingebalance kabla wakaguzi kuja kukagua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na chadema vipi?Cuf wamekalia kuti kavu.......wametumbua fedha ya ruzuku bila Katibu mkuu maalimu Seif kuidhinisha!
Cuf wamekalia kuti kavu.......wametumbua fedha ya ruzuku bila Katibu mkuu maalimu Seif kuidhinisha!
Very true mkuu,subir tuone mh. rais atavyoagiza.
Dahh... Haya bana. Endeleeni tu kukusanyana.
Hawa wote ninao waona hapa they are vulnerable to virus.
Wakenya wakikuwa sahihi kabisa kumuita vile.
Cuf wamekalia kuti kavu.......wametumbua fedha ya ruzuku bila Katibu mkuu maalimu Seif kuidhinisha!
Usipofanya kazi utakula nini bwashee?!Nimeshangaa sana yaani business as usual
Utafikiri gonjwa liko nje ya mipaka tu
Mungu saidia kwa kweli
Sent from my iPhone using Tapatalk