Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya TAKUKURU na CAG. Asema Corona haitazuia Uchaguzi Mkuu 2020

Tumemmisi huku DSM. Muulize anarudi lini mjini ili tupambane wote dhidi ya Covid 19
 
Hajapanic ila ni lile kundi lilizoea kusikia maskendo kama Epa,Escrow au Tril 1.5 zimepigwa ili waanze kuizodoa serikali. Sasa wakati huu hayo mambo hayapo.

Hayo mambo yapo sana ila hayaruhusiwi kutangazwa. Tofautisha kutokutangazwa kwa jambo na kutokuwepo.
 
Hivi kumbe tuna ikulu tatu, Naomba moja apewe DAB atasaidia maendeleo ya viwandar
 
Kama naona Kuna mpinzani anaandaliwa kupewa zanzibar. Tafta tu popconz za kutosha anza kuangalia hii mivie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda wote huo Seif alikuwa kwenye kesi
Kwenye kesi gani bwashee?

Lipumba alichota sh 300m akaingiza kwenye account binafsi kumkwepa maalimu Seif kwa sababu kwa mujibu wa katiba ya Cuf matumizi yote ni lazima yaidhinishwe na Katibu mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…