#COVID19 Ikulu, imekaaje viongozi kuchomwa chanjo ya Corona bila wauguzi kuvaa gloves?

Hawa Johnson & JJ ndio wanatakiwa kufungiwa kabisa, wanajaribu kutudanganya kwamba ugonjwa pekee kwa sasa ni UVIKO-19 na hakuna magonjwa mengine tunayoweza kuambukizana?
 
mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Umesema muhudunu wa bar
 

Kwenye hilo zoezi hapo bila gloves kuna uwezekano mkubwa Sana wa watu kuambukizana Hepatitis B.
Wewe umekariri HIV tu
Utakuwa ni mpuuzi flani usiyeelewa aina za contagious diseases na jinsi zinavyombukizwa.
Kama hiyo Hepatitis B ni rahisi Sana kuambukizana hata kwa jasho tu wewe sijui unachangia nini
 
"Mimi ni Mama wa Watoto 4, Bibi wa wajukuu, mke lakini pia Rais na Amir Jeshi Mkuu nisingejitoa mwenyewe kujipeleka kwenye kifo nikijua nina majukumu yote haya, hii chanjo ni ya wataalamu na wataalamu wetu wamejiridhisha, NIKO TAYARI Kuchanjwa" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
 
Chanjo ni hiari wakuu ,tuache conspiracy ,kama hautaki acha usichome waacheni wanaotaka ,mabilionea wanachanja ,wewe mwenzangu na mimi account ina zero nukta mbili unasema mabeberu wanataka kukuua.
Unaiga kuandika yanayozunguka mitandaoni!
Ni jambo rahisi kama la Gwajima, una hakika anachochanjwa bilionea ni sawa na unachochanjwa wewe? Chanjo yenyewe ya msaada!
Hata anachochanjwa waziri mkuu ni kile utakachochanjwa wewe kesho
 
Hauwezi kuwa serious wewe. Mhudumu wa afya haujui hata umuhimu wa preventive measures?
Huyu sio muhudumu wa afya manake hata hiyo huduma ya RCH mfano Huduma ya ukunga eti kawaida kuifanya bila kutumia gloves.
Amenishangaza Sana huyo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…