Ikulu mnaalika watu wenye heshima kijanja kisha mnawazodoa

Mbaya zaidi ni Kwamba Huyo Mrisho Mpoto ni Muislamu
 
wamesahau kuwa kina kitima nao wana jukwaa la kwenda kusemea, kwa waumini wao. wao wana jukwaa la ikulu, wao pia wana jukwaa la madhabahu. sijui wanaipeleka wapi hii nchi.
 
Mbaya zaidi ni Kwamba Huyo Mrisho Mpoto ni Muislamu
Kuwa muislamu siyo tatizo.
Tatizo ni maneno ya kejeli, na wakati viongozi wa juu wa kisiasa walielekeza kuwa kila mtu atoe maoni yake.
Kama, umetoa nafasi hiyo: Kwa nini umsimange aliyetoa maoni?
Na matokeo yake aonekane kama mtoto yatima kwenye nyumba ya mama wa kambo?
 
Nae uroho wa ubwabwa wa ikulu umemponza, mtu umetoka kumzodoa juzi tu leo anakualika halafu bila kujiuliza we huyo kufuata ubwabwa.
Tumia akili ndugu.
Kitima ni daktari wa sheria, ambaye anao uwezo wa kuajiriwa kwa mshahara mzuri sana.
Kuvizia wali tuachie makapuku kama MIMI siyo KITIMA.
 
Muislamu kumkejeli Padre hadharani ni tatizo tena Kubwa tu kama Hujui

Huyo Mrisho Posho za kampeni 2025 ndio ameshazikosa kwa sababu Wagalatia watamkimbia kama Ukoma!
 
TEC ni viongozi wenye influence ndio maana walialikwa IKULU.
Na walisemwa vibaya kutokana na influence yao.
Kwani Mrisho Mpoto ni nani hata awaseme viongozi wa TEC( Na wakati ISSUE Yao ya utoaji maoni ilikuwa na kibali toka kwa viongozi wa juu wa SERIKALI).
Ukiona watu wanakuhangaikia ufike mahali fulani ili wakuponde kwa maneno basi jua kuwa una kitu fulani ambacho ni hatari kwao.
NB
Kwa mujibu kwa baadhi ya maandiko.
Kila nafsi itaonja umauti.Je, unamaana kuwa tuwapuuze watu wote kwa kuwa wote watakufa?, Ni dhahiri yatakuwa mawazo ya kitoto sana. Kwasababu MUNGU MWENYEZI ametupa viongozi mbalimbali wa KISIASA na KIDINI.
Kazi ya viongozi wa DINI ni kukosoa viongozi wa KISIASA pale wanapokosea( Na hii haijaanza leo).
 
Kama kitima
Kama kitima ndo kaamua kuusambaza huu mwaliko basi naiomba mamlaka imkamate mana anajiona kwamba serikali Iko answerable kwake na ameiweka mfukoni
Kwani, Kuna kipengele kimesema kuwa MWALIKO huu usipigwe picha au kuoneshwa kwa yeyote?, Kama hakipo unamkamata KITIMA kwa kutumia KANUNI gani?
 
Tumia akili ndugu.
Kitima ni daktari wa sheria, ambaye anao uwezo wa kuajiriwa kwa mshahara mzuri sana.
Kuvizia wali tuachie makapuku kama MIMI siyo KITIMA.
Kila mara nimekuwa nikisema humu, nchi hii ina watu wajinga na pengine ni namba moja Duniani huwa naona sieleweki.

Hebu fikiria, mtu anasema Mtumishi wa kanisa anayetunzwa na kanisa, Dkt na mwalimu wa chuo kikuu ana uroho wa ubwabwa.

Unaweza kukuta ni mtu mzima kabisa huyo na anategemewa na familia yake, halafu anauona ubwabwa kama kitu kikuubwa sana. Hajafikiria kitu kingine, ila ubwabwa. Ubwabwa kwake ndio kitu cha maana sana.
 
Fr. Kitima nae aachage kupenda mialiko ya Ikulu.
Haipendezi kuibuka leo wakati walishaenda na wakashiriki!
Kama aligundua utofauti wa kadi na MUKTADHA alioukuta alipaswa kuondoka!
Kwenye hili siwezi kuilaumu serikali na genge lake!
Inaoonekana, hujui ulinzi unaokuwepo kwenye maeneo ambayo RAIS anakuwepo.
KIFUPI:-Ni tofauti sana na vikao vya baba mkwe.
 
Jf hakika nimeogopa sana kila kitu kinawekwa wazi
Kweli ujanja kama huuu ninhatari sana kwa taifa
 
Kuzuungukana Kweli Kupo Jamani, Hapo Imeonekana Nia Ovu Ya Kutaka Kuuficha Ukweli
 
Yesu: Ukialikwa harusini kaa siti za nyuma Ili akija Bwana harusi akuulize unakaaje Siti za nyuma Njoo Siti za mbele ufurahie kalamu

Kwa Kawaida ukiwahi Siti za mbele ndio akina Mrisho Mpoto watakuona na kukuletea dhihaka
Unafikiri unajipangia pakukaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…