IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Katibu mkuu kiongozi ndo sawa na White House Chief of Staff?

Kama ni sawa, tatizo liko wapi endapo Rais aliyepo madarakani atamteua mtu kutoka kwenye chama chake?
Katibu Mkuu Kiongozi ni zaidi ya White House Chief of Staff.Huyo ni Head of Civil Service ukiondoa politicians.

Basically mawaziri, manaibu waziri na rais ni politicians, sio pure civil servants.

Civil service wizarani inaongozwa na katibu mkuu wa wizara.

Na huyu "Katibu Mkuu Kiongozi" ndiye kinara wao.

Kuna miongozo very specific inayokataza watu wa civil service kujiingiza katika siasa.

Sasa mtu party stalwart kama Bashiru, katoka kuwa Katibu Mkuu wa CCM, unaenda kumpa kazi ya kuongoza civil service, eti atenganishe civil service na siasa!

Kituko.
 
Ile mambo ya kutenganisha chama na utumishi ni story tu...maana watumisho wote wa serikali wa kuteulia huwa ni wanachama wa chama.

Alafu ni muhimu sana kwa mtumishi kuwa ccm ili aweze itekeleza ilani ya chama vizuri bila mgongano wa kimaslahi.
 
Katibu mkuu kiongozi ndo sawa na White House Chief of Staff?

Kama ni sawa, tatizo liko wapi endapo Rais aliyepo madarakani atamteua mtu kutoka kwenye chama chake?
Chief Secretary kule nadhani wanamuita chief of state. Au unaonaje?
 
Haya twende..! Katibu Mkuu Kiongozi lazima awe balozi..!
 
Katibu mkuu kiongozi ndo sawa na White House Chief of Staff?

Kama ni sawa, tatizo liko wapi endapo Rais aliyepo madarakani atamteua mtu kutoka kwenye chama chake?
White house or State House?
 
Anaenda kuwa na mamlaka kiduchu kuliko aliyokuwa nayo akiwa KM wa Chama.
 
Kama ataachana na siasa kwa kuacha kuwa katibu mkuu wa CCM, nini mbaya?

Magufuli kakiuka katiba kwa kumteua?
 
Aiseeeee !!!!
 
Kwanini Katibu Mkuu hajatoka Mtwara?
Ana ukaribu na mtu yeyote wa Mtwara ??

Kijazi ambaye ni inner circle yake alitoka Lake zone ??

Huyo Dr Abbas ambaye ni mtu wa Mag, amepewa vyeo viwili ( Msemaji wa Serikali na KM wizara ya habari ) ni Kutoka kanda ya ziwa ?

Narudia tena Magu ana genge lake tu, kubwa ni alilotoka nalo wizara ya ujenzi.
 
I am lost ... I have decided to rest my mind for a while... May be I will understand someday
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…