Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Katibu Mkuu Kiongozi ni zaidi ya White House Chief of Staff.Huyo ni Head of Civil Service ukiondoa politicians.Katibu mkuu kiongozi ndo sawa na White House Chief of Staff?
Kama ni sawa, tatizo liko wapi endapo Rais aliyepo madarakani atamteua mtu kutoka kwenye chama chake?
Basically mawaziri, manaibu waziri na rais ni politicians, sio pure civil servants.
Civil service wizarani inaongozwa na katibu mkuu wa wizara.
Na huyu "Katibu Mkuu Kiongozi" ndiye kinara wao.
Kuna miongozo very specific inayokataza watu wa civil service kujiingiza katika siasa.
Sasa mtu party stalwart kama Bashiru, katoka kuwa Katibu Mkuu wa CCM, unaenda kumpa kazi ya kuongoza civil service, eti atenganishe civil service na siasa!
Kituko.