Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Katibu Mkuu Kiongozi na wakati huo huo Balozi? Kivipi? Ataiwakilisha nchi kwenye nchi gani? Mbona kuna utata hapa? Tafadhali fafanulieni kabla wananchi hawajahoji!!!View attachment 1712543Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (Katibu Mkuu Kiongozi)
Sawa.Mkuu,
Unalalamika kwamba mimi nalalamika sana.
Lakini wewe unanizidi kulalamika.
Unalalamika kwamba nitalalamika kuhusu vitu ambavyo sijalalamikia bado!
Kama vile umekuwa time traveler uliyeenda katika alternate universe na kuona nalalamika halafu ukarudi hapa kutoa ripoti.
Stick to the facts please.
Uchama kila Rais amefanya ila huyu hana aibu hata kidogo. Ngoja tuone kama ataenda kuwa mtumishi wa mwanasiasaN ahii ndiyo message iliyotumwa hapa loud and clear.
Hivi hakuna watanzania wengine wenye sifa ya kushika hiyo post?View attachment 1712543Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (Katibu Mkuu Kiongozi)
Hata Rais Biden anafanya u chama.Uchama kila Rais amefanya ila huyu hana aibu hata kidogo. Ngoja tuone kama ataenda kuwa mtumishi wa mwanasiasa
OyeeeeehKanda ya ziwa oyee
Amechaguliwa kuwa balozi na katibu mkuu respectivelyAkimiliza au akiondolewa ukatibu mkuu ataendelea kuwa balozi.
Katibu mkuu kiongozi ndo sawa na White House Chief of Staff?
OyeeeeehKanda pendwa ya jiwe
Hivi huwezi kuwa Chief Secretary bila kuwa balozi? alafu I'm thinking out loud ..... Pale lumumba iyo nafasi atapewa nani obviously lazima ajiuzulu ukatibu wa CCM.
Wewe ungependa ateuliwe nani?Hivi hakuna watanzania wengine wenye sifa ya kushika hiyo post?
Naona Magu anacheza na hao hao makada waaminifu wa CCM!
Mara kampa ubunge Polepole, wakati akiendelea kushika nafasi yake ya ukatibu mwenezi wa CCM!
Hii nchi kweli yule aliyenacho huongezewa na yule ambaye hana, hata kile kidogo atapokonywa!
Jf ya siku hizi ina vilaza sana. Balozi Kijazi alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Balozi Sefue alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Vipi kuhusu Balozi Mahiga alipokuwa waziri alikuwa balozi wa nchi gani pia?Katibu Mkuu Kiongozi na wakati huo huo Balozi? Kivipi? Ataiwakilisha nchi kwenye nchi gani? Mbona kuna utata hapa? Tafadhali fafanulieni kabla wananchi hawajahoji!!!
Anajiandaa kupewa mradi kama akina kijaziHuo Ubalozi amempa ili wasifu uendane na Marehemu Kijazi ?
Japo Mkapa alikuwa balozi lkn sijawahi kusikia mtu akimwita balozi sijui kwa niniUbalozi wa Tanzania siku hizi umeshuka thamani sana, usishangae hata Msigwa akateuliwa Balozi.
Si kama ule wa enzi za Balozi Magombe, Balozi Mbapila, Balozi Mahiga, Balozi Nyang'anyi, Balozi Malecela, Balozi Mwinyi, Balozi Mkapa.
Nimejiuliza sababu ya ubalozi mpaka sasa sijaelewa, au labda wanataka akienda nje kufanya deals awe na "Diplomatic immunity".
Sefue alikua balozi USA kabla ya kua katibu mkuu....kasome wasifu wake kabla ya kuleta undezi wako hadharaniJf ya siku hizi ina vilaza sana. Balozi Kijazi alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Balozi Sefue alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Vipi kuhusu Balozi Mahiga alipokuwa waziri alikuwa balozi wa nchi gani pia?
Before walikuwa balozi ndio maana wanaitwa hivyo hata waliostaafu wanaitwa balozi....Jf ya siku hizi ina vilaza sana. Balozi Kijazi alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Balozi Sefue alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Vipi kuhusu Balozi Mahiga alipokuwa waziri alikuwa balozi wa nchi gani pia?
Chochote atachofanya Rais Magufuli wapo wataolalama!Yeep
Mara nyingi vyeo vya namna hii ni lazima na muhimu kwa Rais kumpa mtu ambaye ni swahiba na mwanausalama...
Hawa makatibu wakuu wa marais huwa wanajua siri nyingi sana za nchi...
Hivyo watu waache kulalama