Hapo amemsokomeza Dr.Bashiru kuwa civil servant na foreign service office kwa wakati mmoja.Kuna kipindi nilikuwa nafikiri Magufuli anaharibu mambo kwa ushamba tu, kwa ujinga, kwa kutojua, kwa ubishi, na kwa kutosikiliza watu..
Jamaa Atashika nafasi zote mbili nani alidhania kuwa jiji la Dar litakufaKatibu mkuu wa CCM ndo katibu mkuu Kiongozi...
Kumbuka huyo alikataa hata kuitwa Mtukufu, vile vile alikataa sura yake kuwekwa kwenye Sarafu ama noti...Japo Mkapa alikuwa balozi lkn sijawahi kusikia mtu akimwita balozi sijui kwa nini
Ninadhani wale walihudumu kwenye ubalozi kabla ya kuwepo katika hizo nafasi,kwa hiyo walitoka na vyeo hivi huko walikokuwa.NisahihisheJf ya siku hizi ina vilaza sana. Balozi Kijazi alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Balozi Sefue alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Vipi kuhusu Balozi Mahiga alipokuwa waziri alikuwa balozi wa nchi gani pia?
Unakumbuka ziara alizokuwa akizifanya kukagua miradi ya serikali na maagizo aliyokuwa akiyatoa kwa wakandarasi na mawaziri? .. sasa amekuwa km kiongozi.. yetu machoMaswali yangu ya msingi kuhusu hadhari ya kuchanganya siasa na utumishi wa umma bado yapo pale pale.
Akishateuliwa Balozi anapatiwa Diplomatic Passport ili katika misele yake ya Ng'ambo apite expressway...bila hivyo he doesn't qualify to hold one.Najiuliza sipati jibu
Duh! Najua unajua, ila unataka kujua zaidi.Kama ilikuwa hivyo, hakujawahi kuwapo na rais aliyefanya hilo kwa wazi kabisa kwa ngazi ya kumteua Katibu Mkuu wa Chama kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.
Hii ndiyo mara ya kwanza mnaambiwa wazi kabisa kwamba "utumishi wa umma unaenda kuongozwa na kada wa juu kabisa wa chama sasa"
Wewe ni mpumbavu kweli, Halafu unaita watu vilaza.Jf ya siku hizi ina vilaza sana. Balozi Kijazi alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Balozi Sefue alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Vipi kuhusu Balozi Mahiga alipokuwa waziri alikuwa balozi wa nchi gani pia?
Katiba inasema Jiwe ndio mwenye mamlaka yote.Katiba inasemaje?
Ulitaka katibu mkuu kiongozi awe salum mwalimu?Kwa hiyo anakuwa Katibu Mkuu wa Chama na Katibu Mkuu Kiongozi kwa wakati mmoja au anaacha kuwa katibu mkuu wa CCM?
Vipi kuhusu muongozo wa utumishi serikalini unaotenganisha mambo ya chama na utumishi wa umma serikalini?
Hata kama atajiuzulu Ukatibu Mkuu CCM, huu uteuzi unaonesha kwamba utumishi serikalini unaenda kupelekwa kichama chama zaidi.
Katibu Mkuu Kiongozi na wakati huo huo Balozi? Kivipi? Ataiwakilisha nchi kwenye nchi gani? Mbona kuna utata hapa? Tafadhali fafanulieni kabla wananchi hawajahoji!!!
Hivi huwezi kuwa Chief Secretary bila kuwa balozi? alafu I'm thinking out loud ..... Pale lumumba iyo nafasi atapewa nani obviously lazima ajiuzulu ukatibu wa CCM.
Ulitaka katibu mkuu kiongozi awe salum mwalimu?
Vilevile alikataa habari zake sio lazima ziwe za kwanza kusomwa kwa tv/ radioKumbuka huyo alikataa hata kuitwa Mtukufu, vile vile alikataa sura yake kuwekwa kwenye Sarafu ama noti...
Hata Rais Biden anafanya u chama.
Kateua watu wa chama chake kwenye serikali yake.
Na ikitokea nafasi ya ujaji kwenye mahakama kuu akiwa bado ni Rais, atateua jaji mwenye itikadi kama yake.
Hakuna cha ajabu wala kibaya alichokifanya Magufuli hapo.