Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Maybe........!!
 

Kumkebehi Lissu kuvaa raba mtoni si sawa na kufurahia kilichomtokea Lissu pale Dodoma.

Vivyo hivyo, kumcheka na kumkebehi Rais Magufuli kuhusu uzungumzaji wake wa lugha ya Kiingereza si sawa na kufurahia uzushi wa mauti yake.

Linganisha vitu vinavyolingana na kufanana.

Uliwahi kuona popote pale ambapo mimi nilifurahia na kuchekelea Lissu kutandikwa risasi zote zile?
 
Kuna mikoa kama ya Kanda ya Ziwa, kilimanjaro Mtwara na Mara ambapo wakazi wake hutumia zaidi lugha zao za asili kuliko kiswahili. Je katika mazingira hayo tunaweza kusema kiswahili kimeleta manufaa ?
 
Kwa sasa nguvu ya vyombo vya habari inazorota.

Haya majibizano tunayofanya sasa hivi moja kwa moja hapa JF tu yanaondoa nguvu za vyombo vya habari.

Siku hizi kila mtu muandishi wa habari.

Ukiwa na smartphone ukaona kitu, ukapiga picha na video, ukatuma Whatsapp, tayari ishakuwa habari.

Vyombo vya habari vina nguvu, lakini watu nai wana nguvu.
 
Dah! Mama anawajibika huyu. Yaani kamaliza tu mambo Zanzibar, kawahi kuja kushuhudia uapishaji πŸ˜€πŸ˜πŸ€”πŸ€”
 
We kauli za kuombea ufe na watu wengine walishanunua ma kreti ya bia kushangilia kifo chako utakuja ukiwa na furaha kama siku zote.HILI JAMBO RAIS WETU LAZIMA ALIOTE LEO.
Kwenye siasa ni kawaida tu, he don't care! Anapiga kazi....yesu mwenyewe kuna watu walimchukia itakuwa magufuli?yaani saivi ndio ata tight vizuri kabisa ...anajua dawa imewaingia[emoji373][emoji373][emoji374][emoji374][emoji382][emoji382][emoji381][emoji381]
 
Rais hapewi kazi kufanya mabaya, anapewa kazi kufanya mazuri.

Akifanya mazuri, kafanya kazi yake. Hilo tunategemea. Ndicho kitu sawa cha kufanya.

Akifanya mabaya, hakufanya kazi yake. Hilo hatukutegemea. Si kitu sawa cha kufanya.

Sasa wewe umeona mtu anapiga kelele nyumba inaungua moto. Anasema iteni zimamoto nyumba isiteketee.

Unamwambia sawa, una point, lakini mbona husemi nyumba imepakwa rangi nzuri?

Unataka mtu anayesema nyumba inaungua moto aache kusema nyumba inaungua moto, aanze kuzungumzia rangi nzuri ya nyumba, wajenzi waliijenga vizuri, wenye nyumba wamepanda maua mazuri sana nje?
 
Kuna hawa watu, niliona post zako hadi nikashangaa kama kweli upinzani kuna watu wenye akili timamu
- Lema
- Heche
- Zitto
- Mashinji
- Lissu
Ila namuomba mh. Raisi awakanyage kwelikweli, safari hii asione huruma hata kidogo kwa hawa
Anajuwa kipira chake kikifyatuka safari hii ni basi tena bora ajiachie pumzi ya kusimamia mwakani manake jamaa anashangaa kweli uso ule hata hana nuru kabisa aache visa na binadamu wenzake aliowauwa wanatosha
 
Na hili ndio hawataki kujiuliza bali kupeana vijembe kuwa mbona hajafa? Hakika huo ni utoto na hauondoi tatizo hilo.
Hivi kesho kukipambazuka kaugua hoi tunarudi tena kulekule kuombeana mabaya badala ya kheri.
Tatizo watu wanaweka siasa chafu sehemu ya falsafa safi na mantiki nyoofu.

Pande zote mbili. Hao wanaozusha kifo na hao wanaotetea udikteta.

Tumekuwa taifa la ushabiki wa kinazi kwenye mambo ya msingi.

Ndiyo maana watu wanazusha rais kafariki.

Na wengine wanamtetea rais aliyeangusha mapato ya exports za bidhaa za kilimo kwa 55% ndani ya mwaka mmoja kwa kuingilia biashara ya korosho.

Ni kama vike tumepigwa upofu wa ubongo na kufanywa tujadiliane kwa minajili ya kutetea timu zetu tofauti, bila kujali ukweli.
 
We unaijua nguvu ya beberu au unasema tu Hatuwezi endelea bila wao kuanzia masoko,technology, misaada wanasaidia bajeti za Africa 50% wanajitahidi Africa iendelee isimame ikisimama atutokuwa mzigo kwao kuwategemea kila kitu Anayehudumia wakimbizi Africa ni nani?,anayesaidia wagonjwa wa ukimwi,malaria,Ebola ni nani kama si wao.Wangeumbwa na roho ya kiafrica tungeshatoweka duniani.Ukitoa Libya ya Ghadafi ni nchi gani Africa imeendelea baada ya Uhuru?Huwezi sema MTU akusaidiae anakuonea wivu.Kipi tunaweza miaka 60 ya Uhuru Africa kufuta tu nyumba za nyasi watu wanaishi kwenye nyumba za nyasi na matembe utadhani panya tumeshindwa,kuchimba mitaro tu mitaani mwetu ili maji yasituame yakazalisha madimbwi atuwezi kipi tumeweza?
 
Adui wa kwanza wa Magufuli ni Magufuli.
 
Kwahiyo ndio afe kwakuwa kuna sehemu hakufanya kazi yake vizuri?mapungu yapo machache kulinganisha na mazuri mengi anayofanya.na hilo la uchumi kuporomoka nina uhakika ripoti ijayo itakuwa nzuri,mapungufu yatafanyiwa kazi,ilikuwa mistake ya msimu,msimu ujao utakuwa mpya.orodhesha na mazuri basi kidogo...naona umeshupalia upande mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…