Unajimwambafai sana ujue...nakuchora tu...you act like (catalyst).haya mapungufu machache yasikutoe povu,wewe si umeshafanya maamuzi sahihi,pambana na hali yako huko marekani,and yet umesema kwamba watu wako wa karibu ambao wako huku wamenufaika tu magufuli,kausha....Wapi nimekwambia uje Marekani?
Unaota?
Tanzania unaijenga kwa kuufumbia macho ukweli?
Halafu we kidada! We ni Kenge ! Tafuta mwenyewe hizo post ! Mxiuuuu !Pimbi mkubwa.. tupe hizo post walizo post. Una roho mbaya kama ya meko
Nina haki ya kujieleza, usitake kunifunga mdomo.Unajimwambafai sana ujue...nakuchora tu...you act like (catalyst).haya mapungufu machache yasikutoe povu,wewe si umeshafanya maamuzi sahihi,pambana na hali yako huko marekani,and yet umesema kwamba watu wako wa karibu ambao wako huku wamenufaika tu magufuli,kausha....
Kweli we kifusi ! Humu mitandaoni tumo wangapi ?Ndo ajue kabisa hapendwi...
Maana mda wote kwenye kasheshe hilo katika comment 10 karibia 8 zinaomba mabaya kwake
hili jambo si kawaida
Hilo la mauzo ya bidhaa za kilimo kupungua kwa asilimia 55 ndani ya mwaka mmoja ni suala linalorekebishika,biashara ndio ilivyo kuna kupanda na kushuka,imeshaandaliwa mikakati ya kukabiliana na hii ishu ya korosho kwa mwaka ujao,Nina haki ya kujieleza, usitake kunifunga mdomo.
Mauzo ya bidhaa za kilimo kupungua kwa asilmia 55 ndani ya mwaka mmoja tu, kiasi kikubwa kwa sababu serikali imeingilia kijinga biashara ya korosho, si mapungufu machache.
Hapo sijaingia kwenye kukataza mikutano ya kisiasa iliyoruhusiwa na katiba.
Unasemaje hayo ni mapungufu machache, kwa kuanzia na mifano hiyo miwili tu.
Fikra zako ndio ndogo ,ujaelewa nilichokiandika unabisha tu au unajibu kama huelewi ndio maana na wewe soon utazushiwa uwongoLeadership is a body which you cannot carry everybody along....inatakiwa muelewe hii kanuni... otherwise kwa fikra zenu ndogo mtafikiri mnaonewa kila siku.....
Kwa nini serikali inafanya mistake ya kijinga hivyo kwenye korosho, mistake ambayo hata watu tusio na uzoefu na nafasi za kiserikali tuliona itaipa nchi hasara?Hilo la mauzo ya bidhaa za kilimo kupungua kwa asilimia 55 ndani ya mwaka mmoja ni suala linalorekebishika,biashara ndio ilivyo kuna kupanda na kushuka,imeshaandaliwa mikakati ya kukabiliana na hii ishu ya korosho kwa mwaka ujao,
Kusuhu mikutano ya kisiasa, sidhani kama ingesaidia chochote ,sana sana ingeleta uchochezi tu.kama kuna mapungufu yaongelewe wakati wa kampeni,na sisi wananchi tutahukumu kwa karatasi ya kura.hivi wewe kiranga ukipewa maiki kwenye mkutano wa kisiasa hapa Tanzania,utaongea nini? Hizo takwimu za korosho[emoji23][emoji23]?..au...?
labda mitandaoni ndio wameudedi ! Mitaani watu wanadunda tuu, wala hawajui uvumi huo.ila mimi Mshana Jr alinitisha na lile lipicha lake,niko tofauti na Magufuli ila sio kiwango cha kumuombea kifo..i'm sure jana kuna watu pressure zilipanda juu..na wengine wameudedi kiukweli kweli sababu ya kilichokua kinaendelea....kwa kweli aliyeanzisha huu uvumi..ni malicious....alichofanya sio powa kabisa
Tushawajua wachawi ninyi kwendeni kule....mbafFikra zako ndio ndogo ,ujaelewa nilichokiandika unabisha tu au unajibu kama huelewi ndio maana na wewe soon utazushiwa uwongo
Hivi kweli wewe nyoka wa kijani unawajua ? Walivyo wapole !Yes, kama CCM yalivyo mapumbavu hayana kikomo, yanawaza kuua tu, nyambaf, green snakes
Maandishi mengi point sifuri.....Kikwete alitaka kuzimia Jangwani akashindwa kumalizia hotuba, kuna video live zilionesha mpaka Youtube zilikuwepo.
Sikusikia watu kusheherekea na kuzusha kifo.
Ameenda kutibiwa Marekani tezi dume akatangaza, dunia nzima ikajua, sijaona kuzushiwa kafa.
Kwahiyo hili la korosho litabi hivyo hivyo,ninaposema kuna hatua zimeanza kuchukuliwa zimeanza kweli,inawezekana kurekebishwa, usiongee kana kwamba tumevunja glass.Kwa nini serikali inafanya mistake ya kijinga hivyo kwenye korosho, mistake ambayo hata watu tusio na uzoefu na nafasi za kiserikali tuliona itaipa nchi hasara?
Unaandika ni suala linalorekebishika, linarekebishika vipi?
Unaelewa unachoandika au unaleta wishful thinking?
Muhammad Ali, wakati huo akiitwa Cassius Clay kabla ya kusilimu kuwa Muislamu, akitoka katika mashindano ya Olimpiki nafikiri ilikuwa mwaka 1960 Rome aliposhinda dhahabu, aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu matatizo ya ubaguzi wa rangi Marekani.
Kama kijana mdogo mwanamichezo mwenye miaka 18 tu, ambaye hakuwa na uzoefu mkubwa katika uwanja wa siasa (naive), alijibu kifupi tu kwamba kuna watu wenye uwezo mkubwa sana wanayashughulikia matatizo hayo na yatatengemaa tu.
Baadaye akabadilika na kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali na jamii ya Marekani kuhusu matatizo ya ubaguzi wa rangi.
Tukaona ile habari ya kusema kuna watu wenye uwezo mkubwa wanayashughulikia matatizo haya, yatatengemaa, ilikuwa ni kauli ya mtu asiyejua mambo tu.
Kwa nini jibu lako nisilione ni naive kama la Cassius Clay, jibu la mtu asiyejua mambo tu?
Unaelewa kukataza mikutano ya kisiasa ni kuvunja katiba, na rais kaapa kuilinda katiba, na kwa kukataza mikutano ya siasa, rais si tu kavunja katiba, bali pia, amekiuka kiapo chake cha urais?
Nani kafa na kukuachia wewe kiti cha kuwa mtoa pointi hapa JF?Maandishi mengi point sifuri.....
stop making noise improve your argument.
Kwa hiyo unakubali serikali yako ilifanya mistake ya kijinga kwenye korosho?Kwahiyo hili la korosho litabi hivyo hivyo,ninaposema kuna hatua zimeanza kuchukuliwa zimeanza kweli,inawezekana kurekebishwa, usiongee kana kwamba tumevunja glass.
Hili la katiba,kwakweli nisingependa kulizungumzia sana,kuhusu kuvunjwa katiba itavunjwa sana.yaani itavunjwa halafu itarudishwa tena 2035.ndio maana wanaombea afe.kuna mambo ambayo hatujazoea yatatokea baadae. ( nina uhakika).
Yaah!! Nakubali kwamba serikali yangu ilifanya mistake ya kiufundi kwenye suala la korosho.( sio la kijinga).Kwa hiyo unakubali serikali yako ilifanya mistake ya kijinga kwenye korosho?
Hatua zilizoanza kuchukuliwa ni zipi?
Katiba ya Tanzania unakubali ivunjwe?
Umenena vyema na ndio maana hata chaguzi zote huwa wanaona kelele za mitandao zitawapa kura trust me wengi kuna uchaguzi wa serikali za mitaa unakuja utaambiwa wameibiwa kura. Tatizo tathimini zao za mitandaoni zinawapotezaHilo nalo ni tatizo.
Washiriki wa mitandao ya kijamii ni wachache mno.
Hata humu JF, wachangiaji wa mada si wengi kivile ukilinganisha n idadi ya mada na kelele za baadhi ya wachangiaji, kiasi cha kuweza kupata taswira iliyo potofu na uhalisia wa jambo!