Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Nyie mnaojifanya kumtetea ndo mnaongeza taharuki mnatutegeshea li picha mnalifanya kama live broadcasting.Semeni ukweli tu kupunguza Tension kwa wananchi wake kwani mlitegemea huyo rais hataweza kuumwa ama kufa.KWENYE MAISHA YA KIUMBE HAI YOYOTE KUUGUA AMA KUFA NI HATUA TU.
 
Wachaga mmeumbuka na nia yenu hovu kwa rais wetu mpendwa. rais kabana milija ya wizi wenu ndio maana mlikuwa mnamuombea mabaya.

Hamtakaa mchukue nchi hata mueneze chuki kwa kiasi gani.
Chuki kama hizi ndio matokeo yake haya tunayoyaona.
 
Mkuu punguza jazba ikulu waanze kuhangaika na kujibu habari za kitoto namna hi huo ni ujinga!! Hili tu linatosha kwa watanzania kujifunza na huu ni ulimbukeni wa social media haya mambo sidhani Kama yalikuwepo miaka ya kina nyerere.
Unafikiri walioshikwa na hofu nibwazushi tu. Romours jama hizi zina atgari kubwa hata kiuchumi. Unajua excgange spot rate kwenye biasgara za kimataifa ilivyoathirika na hizin romours? Huu ni uhujumu uchumi kwa ikulu na kurugenzi kukaa kimya
 
Nilishasema na nitaendelea kusema upinzan wa nchi za kiafrika wakiwemo na Chadema Ni sawa na magenge ya wahuni kama magenge Mengine tu.. hayana hoja za kujenga tofaut na uhuni uhuni tu haya Sasa leo live mliemusema mgonjwa anaapisha watu wapige kazi aibu kwenu chama Cha umbea nyie. Punguani wawili tu zitto na kigogo ndo wanawashika vichwa maji vyenu nyotee!!! Shame upon you. upinzani wa kihuni kihuni tu ndo maana hamuendelei kisiasa tumewachoka na hata hatuna hamu na nyie sisi wananchi.
 

Who cares about the whole nonsense?

Not me!

I gotta more pressing shit to do,and thats taking a shit in my toilet!

Taking a shit is more vital than watching that depressing nonsense!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…